Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Polepole alikuwapo tangu ile 2015 hadi 2021 (miaka 6), na SSH amekuwapo tangu iliyoanza 2015 hadi leo 2025 (miaka 10)
NB: Kiroho nafasi zao kutubu zipo, ila kibinadamu kuna deni zaidi baada ya kutubu
 
Somet
Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.🥺🥺🥺
imes unaweza kusema wapinzani wa Tanzania hawajui wanataka nini
 
Tanzania hatuna wapinzani wanaojua walipotoka na wanapoenda na hii ni moja ya sababu mimi NIKAAMUA KUINGIA KWENYE MBIO ZA URAIS WA TANZANIA
mimi sijashangaa walivyofurahia chadema kuhusu issue ya polepole kwa sababu najua hawajui nini wanachopigania

Nauhakika polepole angekuwa ndani ya mfumo kama angekuwa katibu mwenezi, amepitishwa kwenye kinyanganyiro cha ubunge kwenye level ya wilaya, asingeandika haya aliyoandika leo
Upinzani Imara upo, ndo maana Chadema imezuiwa kufanya siasa. Hata mwenyekiti wao akawekwa mahabusi mpaka uchaguzi uishe. Hiyo ni dalili kuwa upinzani una nguvu kubwa. Ukiuachia utambe majukwaani unaondoka madarakani asubuhi
 
Kwa hiyo mleta mada ulitaka wapinzani wafanyeje?
Wakae kimya?
Wampinge Polepole?
Wahuzunike Polepole kuachia ngazi?
 
Kuzuiwa kulianza wakati wa magufuli na polepole akiwa mwenezi hatukuona mahali popote akilalamika
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
kuna sakati maadui huwa wanaungana for common interests. mimi nasema, akitokea kiumbe yeyote hata malaika anayemtingisha huyu mama, mimi nitaungana naye. watanganyika changamkeni, huu ni wakati muafaka kupigania maslahi na rasilimali zenu toka kwa usultani.
 
Sasa ulitaka aendelee kushiriki Uovu huo?
Ndiyo maana amejitathimini akaoni ni bora aachie ngazi!
Hoja kwamba alishiriki hayo uliyotaja,mbele za Mungu mtu akigundua makosa yake harafu akaamua kuyatubu na kuamua kuyaacha,tayari anakuwa amefanya vizuri.
Alitubu wapi. Polepole ni mkristo. Toba huwafanywa mbele ya Askofu au Padre au Mchungaji. Tukipata ushahidi huo ndo tutamwelewa.
 
Kwa hiyo mleta mada ulitaka wapinzani wafanyeje?
Wakae kimya?
Wampinge Polepole?
Wahuzunike Polepole kuachia ngazi?
Soma uelewe kwanza context ya uzi. Usikurupuke. Read between lines ujue hoja iko wapi.
 
kuna sakati maadui huwa wanaungana for common interests. mimi nasema, akitokea kiumbe yeyote hata malaika anayemtingisha huyu mama, mimi nitaungana naye. watanganyika changamkeni, huu ni wakati muafaka kupigania maslahi na rasilimali zenu toka kwa usultani.
Utaratibu uko hivi. Kama umefanya makosa au ulikuwa sehemu ya maovu. Unakiri Kwanza au unatubu kwanza. Angefanya hivo kwanza angeeleweka. Sasa hivi kapiga msamba au sarakasi tu.
 
kama anatusaidia, huyo hahitaji hata kukiri, tunamsamehe au tunasahau tutakuja kukumbushana mission ikikamilika. huyu mama anatuonea sana Watanganyika na aliyemshauri afute makanisa na kupiga wakatoliki ndio amlaumu.
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.

Utekaji na Wizi wa kura ulasisiwa na Kikwete. Magufuli alikuza tu tatizo.
 
Kuhusu kutubu.Kuna mmoja aliwahi kuambiwa na askofu Kakobe atubu.Dah!Yule mtu alikuwa mkali sana alivyoambiwa atubu.Sasa huyo Polepole naye atatubu kweli au atakuwa anaandika nyaraka tu za kueleza ..."SIMJUI MTU HUYU"...!?
 
Back
Top Bottom