Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

Uliyoorodhesha yoote yana miaka zaidi ya 40 nchi hii yanafanyika... kwani ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI IMEANZA LINI?
Kwenye siasa adui yako ni adui yetu ila ni mwenzetu...
Kwenye siasa hakunaga ushabiki wa Simba na Yanga wa kudumu wamba hauhami,,, Ukiashajiingiza kwenye siasa jambo kubwa la kujifunza ni unafki... kwasababu siasa ni maslahi hakuna imani ya kudumu .. Huyo mwanasiasa unayemtaka wewe hayupo duniani ila kuna Wanaharakati wanaodumu na misimamo yao..
 
Kwa hiyo unataka tuamini kuwa sarakasi na msamba wa ndugu Polepole ni ushujaa na Uzalendo?????
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Unayakumbuka ya JECHA SALUM JECHA? kipindi hicho nani alikuwa rais na Mwenyekiti wa CCM.?
Je, uanayakumbuka ya Ulimboka na Mwangosi? Je kipindi hicho nani alikuwa amir jeshi mkuu.?
Je unayakumbuka mauaji ya Arusha 2010? Nani alikuwa Amiri jeshi mkuu kipindi hicho?
Muaji ya Igunga kwenye uchaguzi wa marudio 2011 unayakumbuka?
 
Hpa ndio umemaliaza mkuu Hawa ndio watanzania tena tunaowaita wasomi
 
Unayakumbuka ya JECHA SALUM JECHA? kipindi hicho nani alikuwa rais na Mwenyekiti wa CCM.?
Je, uanayakumbuka ya Ulimboka na Mwangosi? Je kipindi hicho nani alikuwa amir jeshi mkuu.?
Je unayakumbuka mauaji ya Arusha 2010? Nani alikuwa Amiri jeshi mkuu kipindi hicho?
Muaji ya Igunga kwenye uchaguzi wa marudio 2011 unayakumbuka?
Hoja yako ni nini hasa.
1. Je, polepole alikuwa nje ya mfumo wakati hayo yote yanafanyika au alikuwa amelala ndo kaamuka?

2. Je, maovu yote hayo yaliyofanywa na mfumo wa ki-CCM kurudi nyuma ni sahihi kwako na kwamba ni vitu vya kawaida??

3. Je, unaungana na mama yako, huwa kuteka, kutesa, kuua na kuumiza wanaompinga ni mambo ya kawaida na kwamba vifo hivyo ni vya kawaida?????
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Watanzania wanahitaji Dikteta aina ya JPM sio Demokrasia aina ya mama. Ndio maana pamoja na list yako ndefu ya kumdermonize JPM, waliomchukia wanahesabika waliomkubali hawahesabiki na wameongezeka zaidi baada ya JPM kufariki.
Udikteta wa JPM ulikuwa na lengo la kuirejesha nchi kwenye discipline. Na matunda yake wananchi wengi tuliyaona
Alivyoingia mama aliamua kufanya U-turn na kurudisha mfumo JK, watz wakawa wancheck tu kuona atafika wapi.
Tazama kakopa trilioni 48 kasoro miatatu peke yake na kina Mwigulu wanajitafunia kwa urefu wa kamba zao na bado tunaumizana na matozo.
 
Kwa hiyo unataka tuamini kuwa sarakasi na msamba wa ndugu Polepole ni ushujaa na Uzalendo?????
Polepole siyo Shujaa wala Mzalendo ila anapigania Maono yake.. Kama kawaida ya wanasiasa lazima a-inject jamii kwenye agenda ili jambo lifanikiwe kama wenzake wanavyofanya...
 
Watanzania wanahitaji Dikteta aina ya JPM sio Demokrasia aina ya mama. Ndio maana pamoja na list yako ndefu ya kumdermonize JPM, waliomchukia wanahesabika waliomkubali hawahesabiki na wameongezeka zaidi baada ya JPM kufariki.
Udikteta wa JPM ulikuwa na lengo la kuirejesha nchi kwenye discipline. Na matunda yake wananchi wengi tuliyaona
Alivyoingia mama aliamua kufanya U-turn na kurudisha mfumo JK, watz wakawa wancheck tu kuona atafika wapi.
Tazama kakopa trilioni 48 kasoro miatatu peke yake na kina Mwigulu wanajitafunia kwa urefu wa kamba zao na bado tunaumizana na matozo.
Uwe unasoma between lines na kuelewa context. Kichwa cha habari kinajieleza.

1. Unawezaje kumtofautisha mwendazake Polepole na Hangaya????. Je, Hangaya na polepole hawakuwepo kwenye utawala wa mwendazake na maovu yote yale???

2. Je, Hangaya yuko chama kingine tofauti na cha mwendazake????

3. Je, maovu ya Hangaya ni matakatifu kuliko ya mwendazake???
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Yote yalifanywa sawa... Lakin Kuna matokeo yalikuwa yanaonekana ya ustawi wa jamii...
Nchi ni wananchi sio kwa ajiri ya kikundi Cha watu.. ukiangalia Hali ilikuwa awali na hii, Hii imezid kiwango. Kipindi kile utekaji ulikuwepo maendeleo yalikuwa yanaonekana haki kwa wananchi ilikuwa ikitendeka kwa wingi wao, fedha za wananchi zilikuwa zinawarudia kwa maendeleo yanayoonekana. Pole pole angeonekana hajaiva kisiasi kama angekuja juu kuhusu minority issues. Kwa sasa Hali sio shwali kabisaa watu wanaumia na hakuna maendeleo
 
Polepole siyo Shujaa wala Mzalendo ila anapigania Maono yake.. Kama kawaida ya wanasiasa lazima a-inject jamii kwenye agenda ili jambo lifanikiwe kama wenzake wanavyofanya...
You got my point. This is what I mean. He is trying to seek for political mileage. Na CCM ni ile ileeee. Full stop.
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu.

Mwana CCM yeyote hana uhalali wa kumkosoa Samia kuhusu utekaji,utawala wa sheria,democrasia ndani na nje ya chama.Kama ni msema kweli,haya mambo yote muasisi ni Jiwe.Inawezekana ni kweli hali sio nzuri katika maeneo hayo,lakini ukiyalinganisha na ya awamu ya tano,sasa hivi tuko vizuri saanaaa.Kila unapotaka kukosoa jambo lolote katika awamu hiii basi liangalie lilikuwaje ktk awamu ya tano na je,wewe ulikosoa?
 
Mtu amejitafakari akaona ageuke asiendelee na uovu ww unaanza kumjudge na yaliyopita?? Ww ndo zuzu la mwisho na unahitaji ukomboz wa fikra
 
Waliotekwa, kuumizwa, kupotezwa na kuuawa kipindi cha mwendazake hawazidi 10. Kwa utawala huu ni zaidi ya watu 80.

Hapo nani zaidi???
 
Mtu amejitafakari akaona ageuke asiendelee na uovu ww unaanza kumjudge na yaliyopita?? Ww ndo zuzu la mwisho na unahitaji ukomboz wa fikra
Kwa hiyo ukiwa jambazi ukaua watu na kupora mali zao. Siku ukijitokeza hadharani kuwataja majambazi wenzako unakuwa shujaa na mzalendo??

Pili, huenda wewe ukawa miongoni ya wajinga 90%
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.

Na mimi ngoja nikuulize

Wakati hayo yanatendeka pole pole alikuwa na wadhifa Gani serikalini?
 
Uwe unasoma between lines na kuelewa context. Kichwa cha habari kinajieleza.

1. Unawezaje kumtofautisha mwendazake Polepole na Hangaya????. Je, Hangaya na polepole hawakuwepo kwenye utawala wa mwendazake na maovu yote yale???

2. Je, Hangaya yuko chama kingine tofauti na cha mwendazake????

3. Je, maovu ya Hangaya ni matakatifu kuliko ya mwendazake???
Tangia mwanzo Polepole alionesha tofauti na Mama. Hata kupewa ubunge na kutumwa ubalozi ilikuwa kama njia ya kumuondoa au kumyamazisha.
Polepole hakutofautiana na JPM kama ambavyo watz walio wengi hawakutofautiana naye kwa sababu JPM alikuwa na udikteta wa kuleta discipline serikalini na viongozi kuwajibika kwa wananchi.
JPM hakukubali kuendeshwa na JK na kundi lake.
 
Na mimi ngoja nikuulize

Wakati hayo yanatendeka pole pole alikuwa na wadhifa Gani serikalini

Swali zuri kabisa:
1. Pole pole alikuwa na wadhifa ndani ya serikali ya mwendazake kama mkuu wa Wilaya ya Ubungo. Pia mkuu wa wilaya ndo mwenyekiti wa Kamati ya siasa na ulinzi ndani ya chama na serikali. Hivyo alikuwa mshirika mkuu.

2. Pole pole hakuwa na wadhifa serikalini, lakini kwa kuwa mfumo tulionao ni mfumo wa chama na serikali. Hivyo kuwa yeye ndani ya chama ngazi ya juu ambaye walihudhuria vikao vyote vya maamuzi ya chama ni wazi kuwa alikuwa mshirika mkubwa sana kwenye serikali ya mwendazake.

3. Msemaji wa chama ni cheo kinachokupa mamalaka ya kukemea maovu hadharani na chumbani yanayofanywa na serikali ambayo hayaendani na msimamo wa chama. Maana yake akiwa msemaji wa chama hatukuwahi kusikia akikemea maovu ya serikali ya mwendazake kwa kuwa naye alikuwa sehemu yao na mshirika mkuu.

4. Vile vile kuwa ndani ya serikali kwa takribani miaka 4 ya utawala wa sasa ni dhahiri kuwa maovu yote yaliyofanywa ndani ya utawala huu na yeye ni sehemu ya hayo maovu. Na kwa kuwa chama na serikali ni kitu kimoja kwa mfumo wa ki CCM ni dhahiri kuwa alikuwa mshirika mkuu wa chama. Kwa nini apige kelele wakati wa mbio za kuchagua na siyo kabla???
 
Tangia mwanzo Polepole alionesha tofauti na Mama. Hata kupewa ubunge na kutumwa ubalozi ilikuwa kama njia ya kumuondoa au kumyamazisha.
Polepole hakutofautiana na JPM kama ambavyo watz walio wengi hawakutofautiana naye kwa sababu JPM alikuwa na udikteta wa kuleta discipline serikalini na viongozi kuwajibika kwa wananchi.
JPM hakukubali kuendeshwa na JK na kundi lake.
Kwa hiyo utawala wa kupiga watu Risasi hadharani na wengine kuwaua gizani na wengine kuwapoteza kabisa wasijulikane walipo na wengine kuwatesa na kuwabambikia kesi mbaya ilikuwa ni udikiteta wa kuleta discipline????

Kwa kuwa na mtawala wa sasa hivi anafanya yale yale kwa nini usiseme naye udikiteta wake ni wa kuleta discipline serikalini????
 
Back
Top Bottom