Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.🥺🥺🥺
Ndio ni shujaa
 
Siasa ni maisha ataachaje sasa ili hali amejipa bonge la advertisement. Ka trend dunia nzima. Mama kaachwa na gagulo lake la chawa.
hahahaha ! basi atafute chama kingine kutokufanya hvo kunaondoa imani kwa CCM.japo nzuri ilikuwa ni kuachana na siasa.
 
Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.🥺🥺🥺
Huyu janja habahatishi kumbuka hata kuingiakwake ccm kulivyokua anakitu japo siasa nisiasa
 
Watasema siasa haina adui wa kudumu. Lowasa alikuja na kuzungusha mikono eti ndo mabadiliko na baadae akatuacha akarudi zake .

Polepole atakuja na kuzungusha shingo, safari hii madaktari wajiandae kupokea wagonjwa wa shingo.
MR. POLEPOLE HARAKAHARAKA ameyakanyaga mazima (miscalculation)

style ya usaliti wake unamfanya asiwe ni asset ya chama chochote TZ
 
Back
Top Bottom