Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

kama anatusaidia, huyo hahitaji hata kukiri, tunamsamehe au tunasahau tutakuja kukumbushana mission ikikamilika. huyu mama anatuonea sana Watanganyika na aliyemshauri afute makanisa na kupiga wakatoliki ndio amlaumu.
Hawaonei wadanganyika bali alishajua ni wajinga sana na wana umaskini wa kifikra.

Zaidi alishawajua wadanganyika ni wabinafsi sana. Ndiyo maana anawageuza geuza kama chapati.
 
Kuhusu kutubu.Kuna mmoja aliwahi kuambiwa na askofu Kakobe atubu.Dah!Yule mtu alikuwa mkali sana alivyoambiwa atubu.Sasa huyo Polepole naye atatubu kweli au atakuwa anaandika nyaraka tu za kueleza ..."SIMJUI MTU HUYU"...!?
Ndiyo maana alipokiuka ushauri wa Askofu Kakobe na badala yake akaanza kumtesa na kumfilisi mtumishi wa mungu. Mungu akamwondoa.
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Naona ule msemo wa nyani haoni kundule kwa sasa unamfaa sana slow slow, au baada ya kukaa ubalozini anadhani Watanzania waliokuwepo wakati huo wake hawapo Tena duniani hakuna anayekumbuka aliyoyatenda.
 
Kuhusu kutubu.Kuna mmoja aliwahi kuambiwa na askofu Kakobe atubu.Dah!Yule mtu alikuwa mkali sana alivyoambiwa atubu.Sasa huyo Polepole naye atatubu kweli au atakuwa anaandika nyaraka tu za kueleza ..."SIMJUI MTU HUYU"...!?
😁😁

Pole pole kaona system imemuweka kushoto minyama wanakula wenzake tu kajikuta anapandwa na kisukari

Eti Leo hii pole pole ana hubiri kuhusu haki na utawala Bora Aaghh my foot 🤣 Dunia Ina kwenda Kasi mnooo!!!🙌🙌
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
precedence ❌️
precedent ✅️
 
Tunaunga mkono ukweli; haijalishi umesemwa na Polepole, Samia, wewe au ye yote.
 
😁😁

Pole pole kaona system imemuweka kushoto minyama wanakula wenzake tu kajikuta anapandwa na kisukari

Eti Leo hii pole pole ana hubiri kuhusu haki na utawala Bora Aaghh my foot 🤣 Dunia Ina kwenda Kasi mnooo!!!🙌🙌
Hata mimi sarakasi yake imenifanya nione maruweruwe. Hata nimepotea njia ya kurudi kwetu
 
😁😁😀 Huyu Jamaa ni mwehu sikuwahi kutegemea hili , Jambazi ana mlaumu Jambazi Kwanini kaiba na kuua

Ama kweli jangili akifiwa hulia machozi halisi na sio bandia
 
Naona ule msemo wa nyani haoni kundule kwa sasa unamfaa sana slow slow, au baada ya kukaa ubalozini anadhani Watanzania waliokuwepo wakati huo wake hawapo Tena duniani hakuna anayekumbuka aliyoyatenda.
Sijui katuona sisi ni mabaga fresh. Si kwa msamba ule
 
Au aliivuta sana wakati anakula kwa usawa wake ikakatika??
Seems before jiwe haja rest in peace aliahidiwa makubwa na mwenzake so Jamaa walipo pindua meza ikamchanganya sana akili maana yale aliyo ahidiwa yote yakaenda na Maji hapo ndio tatizo lilipoanzia
 
Polepole aungwe mkono kwa ushujaa wake. Yes, huko nyuma alikosea lkn sasa kajisahihisha na amechukua msimamo makini na unaopongezwa na kila mtanzania.

Hata enzi za Yesu wapo wauaji na amajambazi yaliyobadilika na kuwa watakatifu.
 
😁😁😀 Huyu Jamaa ni mwehu sikuwahi kutegemea hili , Jambazi ana mlaumu Jambazi Kwanini kaiba na kuua

Ama kweli jangili akifiwa hulia machozi halisi na sio bandia
Acha tumpe boost la ku trend kwa siku mbili then atapotea mazima.

Yeye anaamini utawala wa mwendazake ndo ulikuwa mzuri sana kwa kuwa alikuwa sehemu ya unyama ule. Huyu wa sasa anaendelea tu ule unyama kwa kasi ya SGR.

Tofauti ya hawa wawili ni spidi tu na gear ya kutembelea lakini barabara yao ni moja.
 
For sure
 
Seems before jiwe haja rest in peace aliahidiwa makubwa na mwenzake so Jamaa walipo pindua meza ikamchanganya sana akili maana yale aliyo ahidiwa yote yakaenda na Maji hapo ndio tatizo lilipoanzia
Hilo nalo ni neno. Pengine ana depression. Hata kuokoka kuna hatua. Polepole karuka kama mwewe na kutua kwenye kilemba cha mama.
 
Polepole aungwe mkono kwa ushujaa wake. Yes, huko nyuma alikosea lkn sasa kajisahihisha na amechukua msimamo makini na unaopongezwa na kila mtanzania.

Hata enzi za Yesu wapo wauaji na amajambazi yaliyobadilika na kuwa watakatifu.
Timing yake imempa ujiko, japo kuna maelfu wamepiga kelele zile zile kila siku.

Tofauti yake ni kwamba yeye ni chawa aliyeshiba na akaamua kutoka kwenye gagulo la mama na kujisitiri kwenye kilemba chake.
 
Sarakasi za polepole tumeziona.
Hebu tujikumbushe kidogo ni nani aliyetengeneza precedence ya uchafu wote huu unaolalamikiwa na Polepole????

1. Nani aliyeacha precedence ya kuteka, kupoteza, kutesa na kuua watu wanaokosoa watawala???

2. Nani aliyeanzisha upuuzi huu wa kuvuruga chaguzi kuanzia 2019, 2020, 2024 .....

3. Nani aliyeanzisha utawala wa kidikteta ndani ya chama na ndani ya serikali?

4. Nani aliyeanzisha uminywaji wa Demokrasia hadi kufikia vyama kuzuiwa kufanya siasa?

5. Nani aliyeasisi utaratibu wa fomu moja ndani ya chama?

6. Nani aliyeasisi utaratibu wa uchawa na ukunguni na kutaka yeye tu asifiwe ndani ya chama, serikali na nchi kwa ujumla?

7. Nani aliyessisi uminywaji wa uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa watu kujieleza, uvunjwaji wa haki za watu nk.??

8. Nani asiyeasisi uvurugwaji wa mifumo ya kitaasisi (Serikali, Bunge, mahakama) kwa kuingilia na muhimili uliojichimbia???

9. Na mengine mengi.

Mambo haya yote yalifanyika Ponjoro Polepole akiwa kwenye inner cycle na msemaji wa chama.

Swali: mbona hayo yote yalifanyika akiwa mjumbe wa vikao vyote vya chama na pia msemaji wa chama lakini hatukusikia akilalamika au kukemea maovu yote yale????

Iweje leo Ponjoro Polepole aonekane Shujaa na mzalendo wa kweli ili hali ni mmoja wa waasisi wa mambo yote ya kishenzi niliyoyataja hapo juu!!!!!!

Au ndo kusema kuwa Taifa hili limejaa watu wajinga kwa zaidi ya 90%.??? Kwamba unaweza ukatengeneza tatizo au kuwa sehemu ya tatizo lakini watanzania wale wale ukiwajia kwa mlango wa nyuma wanakushangilia kama mazuzu. Vilee!!!

Kwa ujinga huu itatuchukua miaka zaidi ya 200 kuuondoa ujinga na umasikini wa kifikra. Taifa limejaa wajinga na wapumbavu wengi sana.

Sitashangaa akifanya mwanaccm mwingine sarakasi za polepole tukaendelea kurukaruka kama mazuzu. Nimeona hata wapinzani wanashangilia kweli kweli na kumwona Polepole shujaa wao.

Ama kweli unyani bado umetukaaa.
Unateseka ukiwa wapi ndugu yangu?
Pole sana
 
Back
Top Bottom