Ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja madarakani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ungemuondoa nani?

Precious Diamond

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
397
993
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
 
The top 5
 
Tuanze na wewe usiyekuwa waziri.
Wewe binafsi kwa nafasi yako uliyonayo hapo ulipo, je umetekeleza majukumu yako kwa kiwango gani?
Start by being honest with yourself!
 
Simlaumu waziri yeyote
Mtu yoyote kumuweka popote bila kuwa na sheria zinazombana sana lazima ataharibu hata kama ni mtu mwenye uwezo mzuri ukizingatia wengine wanafanya hovyo yeye pia hataona haja ya kujipa tabu zisizo na msingi
Rais ni mwenye jukumu la kusimamia mawaziri na mambo yakaenda vizuri
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Cabinet nzima Hadi Mwenyekiti wao tupa kule kabisa
 
Tuanze na wewe usiyekuwa waziri.
Wewe binafsi kwa nafasi yako uliyonayo hapo ulipo, je umetekeleza majukumu yako kwa kiwango gani?
Start by being honest with yourself!
Huwa unasoma mada na ukaelewa? Baki kwenye mada, ningetaka niongelewe mimi ningeenda kwenye jukwaa husika mkamuongelea Precious Diamond mpaka mchoke. Mbona akili ndogo tu inahitajika hapa Mkuu?!🤦‍♂️
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Bwana Tozo
 
Kassim
 
Back
Top Bottom