Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 400
- 1,004
The top 5Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Tengua mmoja tu bila kumpeleka sehemu nyingine kwenda kuendeleza maduduAcha nipitie maoni ya wadau.
Halafu akapewa Unaibu Waziri Mkuu! Anafanya maajabu gani huko?!Nishati umeme!!?unaweza ukaamua kuchapa mti hadi hasira ziishe!
Hii nchi Kuna watu wanatia hasira jamani nyie acheni TU!
Tuanze na wewe usiyekuwa waziri.Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Cabinet nzima Hadi Mwenyekiti wao tupa kule kabisaWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Huwa unasoma mada na ukaelewa? Baki kwenye mada, ningetaka niongelewe mimi ningeenda kwenye jukwaa husika mkamuongelea Precious Diamond mpaka mchoke. Mbona akili ndogo tu inahitajika hapa Mkuu?!🤦♂️Tuanze na wewe usiyekuwa waziri.
Wewe binafsi kwa nafasi yako uliyonayo hapo ulipo, je umetekeleza majukumu yako kwa kiwango gani?
Start by being honest with yourself!
Mmoja anayewazidi wote ni nani kwa upande wako Mkuu?dah ninge pewa kazi ya utoa Roho, mbona viongozi wenye hoja za uongo wange isoma namba.
Bwana TozoWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Mkuu mi sio mbaguzi, nitawapa wote haki yaoMmoja anayewazidi wote ni nani kwa upande wako Mkuu?
KassimWakuu kwema, nyuki wa mama mpo?