Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

Juzi tu hapa walinishika, nikajua deni lilikuwa 30k kumbe nishapigwa na fine 30k jumla nilikuwa nadaiwa 60k, imebidi tu nilipe.
 
Asante sana mkuu,nimekuta nina deni hata la mwaka juzi na wale wana niliwapa ganja ya maji wakaushe🙄
 
Back
Top Bottom