ukipata mwenza kupitia jf........

ukipata mwenza kupitia jf........

Funguka Canta binti mtambuzi?
Btw hivi baba hajambo?
Bishanga huyo mtoto mwite bibi Canta akiwa wa kike au Rejao km atakuwa wa kiume,

Baba hata sijui km hajambo au vp mie niko kwa mme wangu huku.
 
Last edited by a moderator:
mkuu shida yangu ni kupata mke coz natarajia miezi michache ijayo nitaenda china kimasomo kama miaka miwili so napenda nikiludi nikute mtoto' ndo maana nikatangaza ndoa.

Hee! mkuu kwa hiyo unataka umuachie mwenzio mzigo akiulea mwenyewe? Acha ubinafsi kaka, una uhakika gani kama hata huyo utakayemuoa atakuwa tayari kwa kupata mtoto kwa wakati huo? Mpe muda mwenzio usimharakishe, utapigwa changa la macho ushangae na roho yako
 
hujambo baba ememyuu?

Safi sana Charminggirl kwa kuendeleza kutumia jina langu naomba uwe na moyo huo huo
Halafu we Bishanga acha umimi kwanini kila ukipewa jina anajibirishia kuita baba naniliu mbona husemi Mama ememyuu???unaona linavyo sound seksiii
 
Naogopa kupigwa changa la macho mkuu niko makini ndio maana nimeshtukia chezo' pia ningehakikisha kwanza ana ujauzito then ndo nasepa' kwani ingekuwa ni wakati muafaka kwangu.
 
Bishanga huyo mtoto mwite bibi Canta akiwa wa kike au Rejao km atakuwa wa kiume,

Baba hata sijui km hajambo au vp mie niko kwa mme wangu huku.
We nae,unalala unamuota rejao?
 
Last edited by a moderator:
Safi sana Charminggirl kwa kuendeleza kutumia jina langu naomba uwe na moyo huo huo
Halafu we Bishanga acha umimi kwanini kila ukipewa jina anajibirishia kuita baba naniliu mbona husemi Mama ememyuu???unaona linavyo sound seksiii

umeona eh,yan liko poa kabisa. cjui bishanga ataka nin tena!
 
Last edited by a moderator:
Katavi ndio limetulia...mwite hivyo.
 
Last edited by a moderator:
kama ni mapacha
Kurwa aitwe - Chit
Doto aitwe - Chat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom