ukipata mwenza kupitia jf........

kwanza pokea like ka 8 hivi kwa kuniita vizuri hivyo nimependa 'cacy' mmh thats sweets nice, by the way umemzidi miaka mingapi?? au ni mkubwa kwako??
Thanx cacy' mie ni mbunifu asilia,mie nimezaliwa 1982 na yeye kaniambia kazaliwa 1987 so gape ni kama 5yr dats all i knw abt her.
 
Ngoja nimwite
nshamjua afu ni rafiki angu sana.

Nimtaje hapa aje?

kongosho hayo umesema weye, usitake mkewe huku ndani akanitupia mikuki ya mbali, mi nitasema kwa mafumbo hivihivi mpaka atajijua! kongosho nampenda huyo 'm' acha kabisa,
 
Thanx cacy' mie ni mbunifu asilia,mie nimezaliwa 1982 na yeye kaniambia kazaliwa 1987 so gape ni kama 5yr dats all i knw abt her.
tena age difference nzuri tu! yupo matured enough! basi nenda mdogo mdogo, with wisdom lakini asikuone upo desparate, somo litaeleweka tu, mie anipendaye aliwahi kuniambia hata nikimkataa, ATAJIPENDEKEZA! How sweet, so usikate tamaa, endelea kujipendekeza tu! tehe tehe!
 
dah dats sweetest word cacy' naweza nami kuanza kujipendekeza'.
 
Ni shamwambia cacy!bt naona kama yeye hana uhakika na anachokifanya na anataka kubahatisha kati ya mimi na mtu mwingine nisiye mfahamu(mtu wake)hata hivyo kama akinieleza kuwa ana mtoto nitafanya maamuzi sahihi juu yake na yatakuwa na faida kwetu sote.

kaka kulinganishwa huko kubaya waweza dhania kuwa umeacha mtoto kumbe wakuja kulea wa mwenzio siwezi uliza ulikuwa wapi kutafuta coz sijui historia yako.nenda taratibu mwite ongea naye kwa kina atafunguka tu. swala la kumature enough kwa muda huo kawa enough sema ni akili ya mtu she is my agement i can sense she is matured enough else
 
Oooh thanx secretary!,bt kila nilipojaribu kumpa uhuru ili afunguke yeye hasemi chochote'mayb nitumie njia aliyosema 'Cacy'Nijipendekeze zaidi ya nifanyavyo sasa.
 
We nenda kiupolepole mwadithie maswaiba yako ya hudhuni yaliyokukuta ataingia laini halafu haya maujanja anayasoma ataanza kupretend
 
kwa ajili ya kumbukumbu ya jamiiforums and the one i love i will let my lover choose a name for our child. whatever she is going to choose will be a gift for her and JF.

Acha longolongo YM bana,sajesti jina tumbandike mtoto.
 
Back
Top Bottom