ukipata mwenza kupitia jf........

ukipata mwenza kupitia jf........

polepole kakaangu,miez 2 michache sana kutangaza kwenda kwao.mstadi kwanza... haraka haraka haina baraka!
mkuu shida yangu ni kupata mke coz natarajia miezi michache ijayo nitaenda china kimasomo kama miaka miwili so napenda nikiludi nikute mtoto' ndo maana nikatangaza ndoa.
 
mmmmmmh. Haya wakunga na makungwi tenda hiyooo me nadhan mbumbumbu tukikatisha tunaita baba mbumbu au baba mbuu
 
Kama ni wa kile Lizzy au Ashrat, kama ni wa kiume naniiiii.
 
Mzee naye memba humu? Kaaaazi kweli kweli asije akafuma PM zako maana kina bishanga hatukawii kumwaga sera.

Mzee nae ni Memba humu Jf, ila n'nachoshukuru ni kwamba hajui UserName yangu na ctataka aifahamu.
 
Kama ni wa kile Lizzy au Ashrat, kama ni wa kiume naniiiii.

Ujue una mauzi sana wewe.
Halafu nimekusoma uzuri kwenye uzi wa konnie....am still loved......nakuangalia tu unavyo flipflop......iko siku....
 
Ujue una mauzi sana wewe.
Halafu nimekusoma uzuri kwenye uzi wa konnie....am still loved......nakuangalia tu unavyo flipflop......iko siku....

Sasa hutaki?
Ukimwita Lizzy atakua mjanja, mrembo, mwenye akili kama mimi, ukimwita Ashrat atakua kama Ashrat ambae ana quality zote nzuri za mama na baba Ashrat, ukimwita nanii atakua bonge la mjanja alafu pia atapendwa na kajanja kama nanii tu.

Heheheh. . . UNALO.
 
Hapana ni kidume.....ushaambiwa kasichana ni Konnie kwann huelewi lakini Bishanga??

Konnie? Halafu akitokea kuwa na tabia za konnie si nimeula wa chuya?
 
Sasa hutaki?
Ukimwita Lizzy atakua mjanja, mrembo, mwenye akili kama mimi, ukimwita Ashrat atakua kama Ashrat ambae ana quality zote nzuri za mama na baba Ashrat, ukimwita nanii atakua bonge la mjanja alafu pia atapendwa na kajanja kama nanii tu.

Heheheh. . . UNALO.

Maneno meeeeeeeengi,hayo majina simpi ng'oo,nimwite nannii halafu kaishie kuwa kajizi ka kuku,lo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom