ukipata mwenza kupitia jf........

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
......... na kisha mkabahatika kupata mtoto,je kwa heshima na kumbukumbu ya jamiiforums huyo mtoto mtamwitaje?
Nahitaji ushauri wa haraka tafadhali.
 
jamani mbona hata mie nimempata mwenzangu humu tatizo hajiamini kabisa' cjui tatizo nn anaona kama namtania na tangu 2fahamiane sasa yapata 2 month ashakuja na kupaona kwangu sasa cjui hakuridhika na maisha yangu?coz hadi sasa nimempa ahadi ya kwenda kwao bt haeleweki then kuna vi2 vingi naona anaficha sana coz nahisi kama ana mtoto bt hajaniambia pamoja na kumwuliza nami nipeni msaada!.
 
mkuu endelea kumchunguza kwanza, ucjipeleke kwao ilhali hujajiridhisha...
 
Hivi Ashadii alijipiga naye life ban kama Husninyo? Angemfaa jackson kwa maushauri katika ishu yake.Ngoja wanajamvi wengine watakushauri vizuri tu.
Kamanda kumbe nawewe una maujanja ya kuvuta mzigo jf,kwa faida ya masingo wa jf embu dadavua mbinu ulizotumia hadi kumpata huyo kimwana?
 
mkuu endelea kumchunguza kwanza, ucjipeleke kwao ilhali hujajiridhisha...
daah m2 mwenyewe nashindwa kumwelewa coz mala aje na tiketi ya ndege eti anafanya kazi zanzibar mala ooh nataka nisome chuo'bt yote kwa yote mimi nilipenda aje kuwa mama watoto pindi muda mwafaka ukifika sasa bado niko njia panda.
 
Back
Top Bottom