piuskimath56
Member
- Oct 24, 2015
- 45
- 2
Bado mimi naamini wamarekani wanaweza kuisadia nchi yetu japo wengine mnaponda na mjue hamuwezi kubishana nao kwa lolote. Sasa mnataka kubishana nao kwa kukataa hizo pesa za maendeleo?
sasa si waende kwa jecha........na hili la mtandao ndiyo mambo ya kupelekea kuzuia pesa kweli???!!
= kushughulika
Ni wapi Wamerekani walipoonesha chuki kwa Magufuli au Tanzania?
Ulikuwa unasinzia msalani?
Magufuli anaonewa tu. Uchaguzi zenj ulifutwa wakati Tanzania na dunia haijui kama Magufuli ataibuka kidedea. Marekani wana yao. Mbona wanamwaga hela kwa kagame. kweli uhuru wa habari au mtandaoi uliopo tz unaweza kulinganishwa na hali halisi huko Rwanda. Thubutu. Mleta uzi huu uko sahihi. Kiongozi yeyote hasa Afrika akionekana anaelekea kutekeleza dhana ya kujitegemea lazima anunuwe. hoja hapa siyo ujamaa, bali kujitegemea. Mbona serikali ya uturuki inawadhalilisha wakurdi utadhani siyo raia wa taifa hilo lakini Marekani na mrafiki zake wanaendelea kuiunga mkono serikali hiyo na kuimwagia misaada. Hizi double standards hazina tija. ni wakati Waafrika tujitambue.
Hivi kwanini unapeenda sana jitoa akili. Kama ni genye zakusumbua nenda Mmu. Kuachika kwako isiwe shida hapa.
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"
hiyo ni concept mzee.......kumchukia magufuli siyo mpaka wamtukane live.....nilichosema ni kwamba historia huwa inazungumza na kamwe wamarekani hawatakuja kupigia makofi fikra zs kijamaa.........
hilo la msalani sijafundishwa kulisemea.......
Marekani haina uchaguzi Bali watalazimika kuipenda Tanzania kama wanavyoikumbatia Israel.Chili no Taifa la Mungu.Ni Taifa la with we ye nguvu wakanyagao watu.Soma Isaya 18.Taifa chili limekuwa kimbilio LA mataifa jirani yanapoingia kwenye migogoro,lilikuwa kituo kikuu cha wapigania Uhuru Afrika,msuluhishi was kimataifa,mtetezi was khaki duniani.Mkono was Mungu uko juu ya Taifa hili.No hivi juzi tu tuliyaona mataifa ya Marekani,China na Mataifa mengine makubwa
haiwezi kuyachukia hayo makundi kwa sababu yeye ndio huyaanzisha.mengineyo kuhusu hayo makundi ni unafiki.USA inawachukia alqaida elshabab na IS, kwa hiyo hayo makundi hayo yapo sahihi