Ukiona wamarekani wanakuchukia ujue uko sahihi

jembepori

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
618
Reaction score
194
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"
 
ni kweli kabisa mkuu,yameshanitokea haya sana naunga mkono magu azidi kukamua.

On top of that, jaribu kufuatilia Balozi wa marekani ni nani katika duru za siasa za marekani
 
tunachotakiwa kama nchi ni kujitambua tu wala si kuwatetemekea kwani hata wao wanajua jinsidunia ilivyoendekea kifikra na kimwamko wa mambo ila wanabeep tu!!!
 
ni kweli tupu ndugu yangu.naanza kuwachukia hawa wamarekani. bora tujiendee china au russia ingawa russia watakupenda wakiwa wanahitaji chochote kwako.
 
ni kweli kabisa mkuu,yameshanitokea haya sana naunga mkono magu azidi kukamua.

On top of that, jaribu kufuatilia Balozi wa marekani ni nani katika duru za siasa za marekani

Wanahofu kuwa mikataba yao ya madini BARICK a.k.a ACCACIA MINING Itapitiwa upya unyonyaji wanaoufanya hii kampuni ya BUSH FAMILY upo ukingoni
 
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"

= kushughulika

Ni wapi Wamerekani walipoonesha chuki kwa Magufuli au Tanzania?

Ulikuwa unasinzia msalani?
 
Pamoja na hzo sababu ni za msing sana,lakn dalili hata kupongeza kuwa rais NO! Dr.uwe mjanja km sungura
 
DR.Magu,wakiona unawachunia,wataanza kuleta zawad za maua na suti,vipokee,wakitoka yatunze stoo,suti zao usivae
 
Inaweza kuwa sawa lkn umeiangalia in negative way peke yake,kwa nini nasema hivyo kwanza sababu walizotoa ni za msingi,hivi wewe unafurahia mambo yanayoendelea Zanzibar ? Pili wewe unaona ni sawa kwa hizi sheria za cyber crime? Tuache unafki mengine tunajitakia.,

Kila siku wanasema zanzibar ni nchi leo nchi nyingine ikatatue mambo yao
 
= kushughulika

Ni wapi Wamerekani walipoonesha chuki kwa Magufuli au Tanzania?

Ulikuwa unasinzia msalani?

hiyo ni concept mzee.......kumchukia magufuli siyo mpaka wamtukane live.....nilichosema ni kwamba historia huwa inazungumza na kamwe wamarekani hawatakuja kupigia makofi fikra zs kijamaa.........

hilo la msalani sijafundishwa kulisemea.......
 
Hapana.Wamarekani hawamchukii Magu.
Wanachukia matendo ya Jecha na sheria ya mitandao.
 
Inaweza kuwa sawa lkn umeiangalia in negative way peke yake,kwa nini nasema hivyo kwanza sababu walizotoa ni za msingi,hivi wewe unafurahia mambo yanayoendelea Zanzibar ? Pili wewe unaona ni sawa kwa hizi sheria za cyber crime? Tuache unafki mengine tunajitakia.,

ishu siyo unafiki mkuu.....ni kuwa realistic.....hiv hata kama suala la zanzibae bado ndo wanyime hela.........yan we unadhan wao hawana matatizo yao ya ndani?.........nani anawashinikiza kuyatekeleza?.........watoke zao unless uwe na interest nao
 
Hapana.Wamarekani hawamchukii Magu.
Wanachukia matendo ya Jecha na sheria ya mitandao.

sasa si waende kwa jecha........na hili la mtandao ndiyo mambo ya kupelekea kuzuia pesa kweli???!!
 
hiyo ni concept mzee.......kumchukia magufuli siyo mpaka wamtukane live.....nilichosema ni kwamba historia huwa inazungumza na kamwe wamarekani hawatakuja kupigia makofi fikra zs kijamaa.........

hilo la msalani sijafundishwa kulisemea.......

Ni nani alikudanganya kuna ujamaa Tanzania?

Soma ilani ya uchaguzi ya CCM na pia pitia ripoti ya Kinana alipomaliza ziara ya zaidi ya miaka miwili Tanzania nzima, ndiyo utaelewa anachokifanya Magufuli.
 
kwa taarifa yako....ujamaa au ubepari ni imani and not otherwise.......na huwa sikuzote hupimwa kwa matendo......wewe unadhan ni kwa nini wamarekan wazungu walikuwa wana mwita obama socialist.....kwenye lile sakata la bima ya afya?.......
 
Back
Top Bottom