Ukiona wamarekani wanakuchukia ujue uko sahihi

hiyo ni concept mzee.......kumchukia magufuli siyo mpaka wamtukane live.....nilichosema ni kwamba historia huwa inazungumza na kamwe wamarekani hawatakuja kupigia makofi fikra zs kijamaa.........

hilo la msalani sijafundishwa kulisemea.......

Hivi kukusanya kodi na kudhibiti wakwepa kodi ni ujamaa tu unaofanya hivyo?
Mtu mmoja kuvunja sheria na Kuvuruga uchaguzi ndio ujamaa?
Hivi ujamaa ni lazima utekelezwe kwa kukiuka haki za watu?
Ubepari umetawala dunia lakini hata hao wamareni wanaweka sheria za kudhibiti wakwepa kosi na wala rushwa.
Kwa hiyo Magufuli na Serikali yake wanatekeleza wajibu wao wa kusimamia sheria.
 
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"

Ujinga wetu wa utawala wa kiafrika ndiyo jinsi tunavyozidi kutawaliwa na mzungu.

Kama tujinyoosha kila kitu kikaenda sawa huyu mzungu hatatokea kuja kutupangia mambo yetu ya ndani.

Suala la Zanzibar kila kitu kinyooshwe aliyeshinda apewe haki yake na huyu aliyeshinda atende mema ktk uongozi wake, huyu mzungu hatakuwa na mwanya wa kutuingilia ingawa wana hila sana wakituona tumetulia kwa amani.

La msingi tuwe na uongozi bora wenye mshikamano kwa maslahi ya taifa ili tuwakwepe hawa wazungu kwa sababu njaa yao ni kubwa kuliko tunavyofikiri
 
Watu wanapenda sana kuchanganya mambo hadi kufikia kuanza kuingiza masuala ya burundi. Suala la Burundi ilikuwa tafsiri ya wakati gani kuanza kuhesabu vipindi viwili vya rais kuongoza. Nkurunziza alidai kuwa ni pale jina lake lilipopitishwa na tume ya uchaguzi. watu wakabisha. ubishi ukafikishwa kwenye makahama ya katiba ambayo iliridhia kuwa nkurunziza angeweza kugombea. katika utawala wa kisheria, mahakama ikitoa uamuzi inabidi kuuheshimu. sasa tuna toa povu kulikoni. kwa upande wa wanasiasa wa burundi, ni wazi rais nkurunziza anakubalika sana kuliko wengine wote hasa vijijini. hata leo uchaguzi ukirudiwa na wasimamizi waka UN, bado nkurunziza atapeta kwa mbali.

katika mgogoro unaoendelea tungeshauri wakae kitako na kutafuta suluhu badala ya kuchochea maasi ya wanajeshi au wengine kuingia msituni. hakuna atakayesalimika wakati wachochezi wa vurugu hizo wakiwa wamejichimbia huko kigali, wako salama. tutafakari.
 
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"

Kamanda umedadavua vizuri.Pamoja na menngine hasara ambazo Tanzania inazipata kutokana na kufutwa kwa uchaguzi Zanzibar ni
1.Kutia doa juhudi za Rais wetu Mpya Dr.Magufuli katika kulikwamua taifa hili.
2.Tanzania kuwekwa katika kapu moja na Burundi ya Nkuruzinza.
3.Tanzania kuingia gharama ya shilingi bilioni tisa za kurudia uchaguzi wa urais.
4.Tanzania kukosa msaada wa shillingi trilioni 1.1 kutoka Marekani.

Faida za kufutwa uchaguzi wa Zanzibar ni kupata fursa tena ya kumuwezesha Dr. Shein aendelee kuwa Rais.Tafakari.
 
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"

wewe hizo ni porojo tu. marekani hawezi hangaika nawe kanchi kajinga masikini, marekani ana reserve ya kula miaka 100 ijayo ahangaike nawe ambaye hata reserve ya mwezi huna. labda tungekuwa tumefikia kiwango cha juu cha maendeleo labda tuna jiandaa kurusha satellite anga za juu au tunarutubisha urani, ndo marekania angeanza kutuchukia, kwa kudhani kwamba sasa tunaanza ingia kwenye anga zake,

alafu hicho chama chenu kinajinasibu kushinda uchaguzi kwa mizengwe kina falsafa gani inayoeleweka ya kuongoza uchumi, siasa za nchi, ili kiweze kufanikiwa. siyo mabepari siyo wajamaa, hakuna mumu wowote unaoeleweka unaonngoza uchumi, hata huyo Raisi wenu hana dira anashika hili anashika lile ili mradi tu media imsifie, siku zinaenda na Bahati watz kwa sababu ya umasikini na ujinga hawajui kitu wana subiri miaka mitano mingine wamuone diamond na wema siku zinaenda
 
Kabisa kiongozi uko sahihi,Hizo fedha za MCC kama wakikomaa kukusanya kozi zaidi ya 1 trilioni na ushee miradi itajengwa kwa fedha za watanzania.Li lilo muhimu ni kutumia fedha vizuri tuu
 
Back
Top Bottom