Ukiona wamarekani wanakuchukia ujue uko sahihi

Ukiona wamarekani wanakuchukia ujue uko sahihi

Never on earth marekani hawezi kuwa rafiki mwema kwetu na hajawahi .
Eeeh baba Mungu umjarie kipenzi rais wetu Magufuli afya njema ,aivushe Tanzania kwenda kwenye uchimi wa kati.
Muuongoze aiongoze nchi yetu na Africa pia.
 
Ni toka kwenye nukuu ya Mwl nyerere aliposema kuwa siku akiona wazungu wanampenda(hasa wamarekani) atajua kuna mahala kaanza kukosea...........sasa kwa hili la misaada kuzuia eti kisa zanzibar.....na kukaa kimya kwa marekani bila kutoa pongezi kwa magufuli jinsi alivyoanza ingawa benki ya dunia imepongeza na kutoa pesa kwa ajili ya mirad mbalimbali...........mabepari wameuchuna sababu wanaona zile enzi za kijamaa zinarud...zile enzi za rais kuwapenda wa tz kwa dhat kabisa, enzi za kushughurika na mambo ya wanachi bila kujipendekeza kwa wazungu.....enzi ya tanzania kuwa nchi yenye heshima........enzi ya tanzania kuanza kurudi kule ambapo wamarekani walikuwa wanakuogopa miaka yote.........kamwe marekani haijawahi wala haitawahi kuitakia mema nchinyingine....hasa afrika....zaidi ya kujali interest zake.........kwa historia ya tz tangu mwanzo na haya ya magufuli kwa sasa.....ni dhahili kuwa wamarekani wana hof ns tz ijayo na wenye akili hawashangai kwa lililotokea na tujiandae kwa mengine menhi zaid......hii ni vita ya ki itikadi sababu zingine ni mbwembwe tu!............Tusiogope dunia kwa sasa imebadilika sana...hao wamarekani hawana chao kwa sasa na kamwe hawatafanikiwa katika hii vita na tz.....magufuli upo sahihi na kamwe usirudi nyuma......"mbele kwa mbele"

Una historia gani ya kuwa sahihi tangu dunia imeumbwa. Si ungekuwa na mchago wowote katika dunia hii?

Huna mchango na hujulikani na wenye dunia hii kama akina Marekani, UK, ICC, ICJ nk.
 
Awe mjanja kwa Marekani? Tuna nini sisi!?

Kuna maneno mengine watu wanaropoka tu,sisi ni watu wa dunia ya tatu tusio na ujanja wowote,utaalam tulionao ni Maneno na majungu tu,perepete tunaziweza sana
 
Wamarekani wanajaribu kuweka shinikizo kwa faida yenu watanzania ila watanzania wenyewe hata hawaelewi.Sheria ya mtandao ni mbaya kwa wananchi wa kawaida.Demokrasia imepokwa Zanzibar.Huhitaji kuwa na shahada kung'amua haya.

Ndio maana kipaumbele cha Lowassa kilikuwa Elimu Elimu Elimu.

wamarekani wanafanya kwa faida ya nani?, kwani huko zanzibat maalim seif kaanza kuibiwa leo.....mbona miakayote walikuwa wanatoa misaada? kwa nini iwe mwaka huu tu?, halaf hili la mitandao...sisi tupo hapa jf na watu wanatukana tu na hiyo sheria siipo?.......hivi ingekuwa mbaya kiivyo watu wangeporomosha matusi ya ajabu hum jf......hebu tuachebushabiki......sasa hilo la elimu ya lowassa limekujaje kwenye hii mada?...
 
Nakumbuka Enze Ya Vasco da gama Ilifika Steji Kuna Wakati Mahaba Kwa Vasco Da Gamma Yalizidi Hata Wala Mapanki Walijikuta Wakiandamana Wakipinga Kua Hawali Mapanki. Huyu Nyumbu Anataka Kutuaminisha Kua Kuna Mataifa Yanatupenda Kuliko Tunavyopaswa Kujipenda, Wakati Hata Maisha Bora Ni Kizungumkuti. How Come Bhana? Beki Hasifiwi.
 
Ni 'theory' kwa hiyo uko sahihi na pia umekosea.Wakati mwingine keep your mihemuko to yourself huna proof.

unataka proof gani hapa?......... yan wewe unadhan maalim seif ndo kaanza kuibiwa mwaka huu?.....yeye kila uchaguz amekuwa akilalamika kuibiwa ila misaada iliendelea kutiririka tu sababu walikuwa wanabenefit........ila sasa wameona upepo umebadilika nao wanaanza ku change gia........eti sheria ya mtandao......hiv haya matusi yenu mnayotukana hapa hii sheria ingekuwa mbaya mngekuwepo hapa tunabishana?..........
 
Bado mimi naamini wamarekani wanaweza kuisadia nchi yetu japo wengine mnaponda na mjue hamuwezi kubishana nao kwa lolote. Sasa mnataka kubishana nao kwa kukataa hizo pesa za maendeleo?

ziko wapi?
 
Kwan magufuli ana fikra za kijamaa?...kama zipi hasa?...kubana matumiz!?..kwan ni nchi za kijamaa peke yake ndo hiwa zinabna matumiz?...Na pia kwan ni nchi za kijamaa peke yake ndo zinapambana na ufisadi....Wazir mkuu mstaafu wa israel yuko jela 3yrs kwa ufisad..je israel n nchi ya kijamaa?...Hizo fikra za kijamaa ni zipi hasa unazozisema

ujamaa ni hali ya kujali watu hasa wanyonge na si kukaa upande wa matajiri na mabepari wafanya biashara.....defition hii wamarekani wanaijua zaidi kukupita..........wenzako wale wanaamini sana kwenye historia na wanajua historia huwa zinajirudia.........hata kwa wajinga but possibility hiyo ipo......so wakiona viashilia tu wanaelewa
 
😅😅😅😅😅 Marekani imchukie Magifuli ili iweje mkuu. Hebu kuwa na fikira huru. Hayo unayoyasema kwa sasa hayawezekani, yanahitaji muda kujipanga si kukurupuka. jembepori

nchi zote unazoziona duniani zina interest mkuu......watu hawakushabikii tu from no where au kukufurahia tu from no where
 
Last edited by a moderator:
Never on earth marekani hawezi kuwa rafiki mwema kwetu na hajawahi .
Eeeh baba Mungu umjarie kipenzi rais wetu Magufuli afya njema ,aivushe Tanzania kwenda kwenye uchimi wa kati.
Muuongoze aiongoze nchi yetu na Africa pia.

Amina mkuu.
 
Hiyo imekuwa tabia ya wamarekani na mabepari duniani. Angalia Libya, Syria, Iraq(wakati wa Saddam). Kama nchi yako iko na resources ambazo kwao ni valuable na kama upo strong hutaki resources zako ziondoke bure, lazima Marekani, Ufaransa, Uingereza waingilie kati.
Tofauti kati ya Marekani na China ni kuwa, wachina wao hawaingilii politics za nchi wanazofanya nao deals, while Marekani anapenda kukuingilia, kudhoofisha utawala na kuchukua chake.
Hakuna watu wabaya duniani kama whites, they're hypocrites. Akikuchekea unaweza kudhani yupo nawe, Kumbe yupo kwa interests za nchi yake. Na kama nchi yako haina kitu, hutamuona.

waambie kaka maana kunawatu hum wanadhan marekani huwa anampenda mtu hivihivi au kuichukia nchi hivivi.......yeye ni maslahi tu bas na hakuna nchi yenye majizi ya rasilimali kama hao......walikuja hapa na pesa za umeme pesa si waliwapa Symbion..........achana na wamarekani
 
Shariff Hamad Shariff ameiomba marekani imsaidie .Marekani nayo imedai ili wamsaidie lazima waangalie cha kuwapa! Ndipo Shariff Hamad Shariff akawapa ahadi ya Mafuta.
 
ni kweli tupu ndugu yangu.naanza kuwachukia hawa wamarekani. bora tujiendee china au russia ingawa russia watakupenda wakiwa wanahitaji chochote kwako.
Pengine hata Nyerere hakuwa sahihi! Kweli urafiki wa J Kenedy kwa Tanzania ulikuwa wa kinafiki? Fikra pevu hudai utafiti kwanza
 
wamarekani wanafanya kwa faida ya nani?, kwani huko zanzibat maalim seif kaanza kuibiwa leo.....mbona miakayote walikuwa wanatoa misaada? kwa nini iwe mwaka huu tu?, halaf hili la mitandao...sisi tupo hapa jf na watu wanatukana tu na hiyo sheria siipo?.......hivi ingekuwa mbaya kiivyo watu wangeporomosha matusi ya ajabu hum jf......hebu tuachebushabiki......sasa hilo la elimu ya lowassa limekujaje kwenye hii mada?...

Mkuu ata ukirembesha vipi bado ukweli ni kwamba kilichojiri Zanzibar kimelitia doa taifa letu.Iwapo CCM wangeshinda uchaguzi ule kamwe Jecha asingefuta matokeo.Uchaguzi umevurugwa makusudi.
Kuhusu hili la sheria ya mitandao kama hawajakukamata watakuja tu kukukamata.Sheria ya mtandao inakinzana na uhuru wa kujieleza.
Hawa jamaa hawampi kila mtu misaada yao.Mfano .mtu kama Nkurunzinza kamwe hatopatiwa misaada.
Atakayefata kwa kukosa ni Kagame.
Kimsingi nchi yetu inahitaji hiyo misaada na hawa mabwana wana nia nzuri.
 
Una historia gani ya kuwa sahihi tangu dunia imeumbwa. Si ungekuwa na mchago wowote katika dunia hii?

Huna mchango na hujulikani na wenye dunia hii kama akina Marekani, UK, ICC, ICJ nk.

mkuu mchango ni mtazamo tu!.......siyo mpaka wewe unijue au hao wamarekani ndiyo niwe nimetoa mchango kwenye nchi yangu na dunia.....mimi ni shujaa....mwana historia na mwanafalsafa......yan hata kama dunia nzima isiponifaham mimi mwenyewe nahifaham....na wala siyo mtu wa kusubiri kupigiwa makofi kwa taarifa yako huwa najipigia mwenyewe na siku nyingine huwa naamua tu kujitoa out......yan najikubali ile mbaya...........si unaona hata hii mada inavyojadiliwa mwenzako najiona bonge la mshindi.........hata kama umeniponda ila si umechangia.........watu walimuua galileo kisa eti kasema dunia ni duara mpaka miaka 500 baadae ndiyo dunia inamkubali..........alipokuwa anauawa na warumi nani alimjua?.....ila yeye mwenyewe alijijua na ndiyo maana alikuwa tayari kukifia alichokifaham.........na sisi leo tunm quote kila mara.......those are philosopy.....
 
Wamarekani wako sahihi kabisa. Magufuli kadhindwa kushughulijia mgogoro wa Zanzibar kabaki na unafiki tu wa kuonea vidagaa Bara
 
Magufuli anaonewa tu. Uchaguzi zenj ulifutwa wakati Tanzania na dunia haijui kama Magufuli ataibuka kidedea. Marekani wana yao. Mbona wanamwaga hela kwa kagame. kweli uhuru wa habari au mtandaoi uliopo tz unaweza kulinganishwa na hali halisi huko Rwanda. Thubutu. Mleta uzi huu uko sahihi. Kiongozi yeyote hasa Afrika akionekana anaelekea kutekeleza dhana ya kujitegemea lazima anunuwe. hoja hapa siyo ujamaa, bali kujitegemea. Mbona serikali ya uturuki inawadhalilisha wakurdi utadhani siyo raia wa taifa hilo lakini Marekani na mrafiki zake wanaendelea kuiunga mkono serikali hiyo na kuimwagia misaada. Hizi double standards hazina tija. ni wakati Waafrika tujitambue.

Sasa Magufuli si ameshakuwa rais, mbona hafuti sheria mbovu ya cyber crime? Mbona hagusi mgogoro wa Zanzibar? Au mnadhani Magufuli ni malaika?
 
Back
Top Bottom