Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

Kweli kabisa, pia anakua na limitations kibao mfano usinipigie nipo kazini, ntakucheki baadaye. Ukikosea kidogo tu anakua na hasira na wewe sana.
Kumekucha 😅!!!

Ukiambiwa utachekiwa acha mapepe sasa we tulia atakucheki! Tatizo ni pale unapoanza usumbufu wa kutaka kupiga piga simu lazma akumaindishe😂
 
Hivi hayo mambo yanatokea rika zotee ama ni rika ya vijana tu? maana binafs nilisumbuka around 10’s mpk mid 20’s baada ya hapo sioni kama kuna jipya la kusumbua sana, ndio yapo na yanaumiza ila sio mapya hivyo hayashangazi kabisa
Raha ya mapenzi ukishaumizwa mara ya kwanza unakuwa mjanja😅!!!

Huwezi kulia mara 2 yani ikija awamu ya pili unajiongeza tu yani na wanasema ukiona mapenzi hayakuumizi tena jua ushakuwa malaya.
 
Yaani babe hawezi hata kuperform jukwaani bana, na ukijiroga ulick nipples za changu umeibiwa kila kitu hadi boxer uliyovaa😂
Ule naona ni uchafu na lack of respect! Mademu wapo kibao bora ukatongoza decent woman tu mkawa kwenye mahusiano ya kupunguzana uzito tu.

Mbona wapo mamanz wanaelewa tu sema sasa watu wanataka slay queen gharama zinakuwa juu! Hawakopeshagi mbunye wale mwendo wa PAYE (Pay As You Eat)😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom