Ukiona dalili hizi jua mahusiano yako yashakufa yanasubiri kuzikwa tuu

nakerekwa utaskia "ntakutafta baadae nipo buzzy"
Hahahahah ukishaona u busy umezidi anza kufungasha virago tu tafta mwenzio ambaye nae atakuwa busy na wewe😅!

Ku deal na mtu ambaye anajifanya yuko busy mpaka wewe umtaftage tu ni upuuzi. Love is two way traffic kama haoni umuhimu wa kukutafuta basi nawe jali mambo yako zaidi. Thats respect!
 
Hahahahah ukishaona u busy umezidi anza kufungasha virago tu tafta mwenzio ambaye nae atakuwa busy na wewe!

Ku deal na mtu ambaye anajifanya yuko busy mpaka wewe umtaftage tu ni upuuzi. Love is two way traffic kama haoni umuhimu wa kukutafuta basi nawe jali mambo yako zaidi. Thats respect!
Ewaaaah hapo kweli sasa.
 
af juz tyuuh mpare kaniuliza iv mbna 2nd yr tumesumbuan San, au ndo km kweli uzi wa JF ulivosema, nlicheka mie.
Yaan natak niijue ID yake mie,
Hahahahahah ina maana yupo humu af hamjuani😅?

Mwaka wa pili kuna pepo mchafu huwa anazengea mahusiano yenu! Akifanikiwa tu anawatenganisha haikuwa rahisi😅
 
Hahahahahah ina maana yupo humu af hamjuani?

Mwaka wa pili kuna pepo mchafu huwa anazengea mahusiano yenu! Akifanikiwa tu anawatenganisha haikuwa rahisi
ila nlimpa heka heka huyu mtu, km sio upendo wa dhati kwangu, na mie kuwa na akili timamu wallah tungetemana, af kisa falla m1 asiye hata na maan, msieeew zake.
 
ila nlimpa heka heka huyu mtu, km sio upendo wa dhati kwangu, na mie kuwa na akili timamu wallah tungetemana, af kisa falla m1 asiye hata na maan, msieeew zake.
Shukuru Mungu tu, ungekuwa unajiliza liza kwenye sms sahizi 😅😅😅 kuomba 2nd chance!
 
Tangu nimeumizwa nikiwa na 25yrs hadi sasa naitafuta 36yrs nafurahia mapenzi, ile ilikuwa shule sasa mimi ni mjanja siwezi kuumia kizembe ila niliowaumiza ni wengi sana.
Raha ya mapenzi ukishaumizwa mara ya kwanza unakuwa mjanja!!!

Huwezi kulia mara 2 yani ikija awamu ya pili unajiongeza tu yani na wanasema ukiona mapenzi hayakuumizi tena jua ushakuwa malaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom