Hizi hapa dalili za Mpenzi (Mwenza) anayechepuka

Hizi hapa dalili za Mpenzi (Mwenza) anayechepuka

mmmuhumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2017
Posts
493
Reaction score
480
Hizi hapa dalili za Mpenzi/Mwenza anayechepuka.
Mtu kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja imekuwa ni jambo siyo la kushangaza kwasasa. Siyo suala jema katika mahusiano hususani ukiwa huna uhalali nae huyu mwanamke mwingine au huyo mwanaume mwingine. Wengi wamefanyiwa unyama kwa kufumaniwa, kuhisiwa na kupewa onyo kwa kuonekana dalili tu.

Hebu zijue nawe kama unachepuka basi uache, uwe na mipaka na kama unampenda huyo mtu utambue upo kwenye mstari mwekundu.

Kutaka mambo msiyozoea kuyafanya. Iwe ngono na utaratibu mwingine wa maisha tena ghafla na hata kukulazimisha kama kwenye ngono, kutoka pamoja au kwenda mahali, kukuzuia kufanya jambo fulani nk.

Kukosa muda nawe kinyume na awali. Mwanaume au mwanamke anapoanzisha penzi jipya huwa muda wake anauhamisha sana kule kupya, akiwa na lengo la kujenga kuaminika na kuonekana yuko siriazi nae.

Uume kushindwa kusimama unapojaribu kuuamsha ikiwa hujakutana naye kimwili muda mrefu au muda tu mfupi. Ambayo siyo kawaida yake na akiwa hana msongo wala changamoto yoyote ile nawe. Wanaume wingine, wakishakutana kimwili na wanawake nje, huwa wanasumbuliwa na usingizi mzito na uume wake usinyaa na hauwezi kusimama mpaka uchukue muda mrefu na hata ukisimama hauwezi kunyooka ndindindi. Wengine wasiowazoefu kuchepuka ujawa na wasiwasi kama atashtukiwa hivyo mzigo kufeli.

Matumizi ya fedha yasio heleweka kwa mwenza wako. Kwa wanandoa, unakuta mwanaume au mwanamke, mmezoea kushirikishana kwenye fedha na vyanzo vya uchumo wenu, lakini unakuta pesa inatumika na siyo kwenye vyanzo na huoni matokeo chanya ya pesa iyo wala maelezo ya kueleweka. Hata wanawake siku hizi uchukua pesa na kuhonga wanaume wanaochepuka nao, kwenda lodge kustarehe nao nk.

Kuwa na wasiwasi anapokuwa nawe tofauti na awali. Kama simu yake muda wote ipo mkononi, hataki uiguse, ukiingia ujumbe kama vile ameona nzi karibu na jicho lake. Ukaongea na mtu hana amani na mazungumzo anajikanyaga kanyaga au kutoa kwenda mbalo kuzungumza. Jamani kuna watu mpaka chooni anaenda na simu japo yupo kwake mpaka kuoga. Simu kama bunduki ama kisu cha komandoo.

Kuanza kuona kinyaa babdhi ya matendo ya mapenzi iwe faragha au sio faragha. Kama kunyonya uume, kulamba uke, kukupa mate, kunyonya au kunyonywa matiti nk. Kinyaa kinakuja kwa mtu kuahibishwa na mazingira mapya au kujishtukia.

Kuanza ratiba mpya isiyo rasmi ya safari za hapa na pale. Ambazo anapenda kwenda mwenyewe kwa kukupa taarifa au bila kukupa taarifa.
Kukuchunguza sana kupitiliza. Ilivyo, mhuni ana wivu sana, kwakuwa mwenyewe anafanya hivyo uona naye anafanyiwa kama yeye unavyofanya. Mara nyingi mkuki ni kwa nguruwe tu kwa binadamu ni mchungu.
Kuwa mvivu na tendo la ngono na kulichukia ghafla. Kama hujamkwaza na huna kosa lolote naye wala hana ripoti ya kusema anaumia au lah. Basi chunguza vyema hapo siyo bure uenda kiu hana kwakuwa yuko mtu anampa maji.

Kukulinganisha na mtu mwingine na kuyalinganisha maisha yenu na wengine. Ukiona unalinganisha na mwanaume/mwanamke fulani, uwe unamjua ama haumjui basi jua mawili anaruka nae au anamtamani kuruka nae.

Mama mkwe/Baba mkwe kumtaka mwanae mara kwa mara nyumbani. Jiulize kidogo na kama inawezekana mzuie, wakina mama wengine ni wa kidigitali uwauza watoto wao na uwafichia maovu watoto wao. Tena haswa kwenye kipato.

Hujamkaza/ hajakukaza muda ila chini anamichubuko. Uume umechubuka yale maeneo husika ama uke umechubuka maeneo husika, yaani ukimgusa tu anaumia au unaona hali fulani ya mchanga mchanga wakati zile nyama hazina mfupa zimeundwa mwororo.

Kwa mazingira ya ghafla tu anakufanyia jambo ambalo wewe unalipenda ila mara kwa mara tena mara nyingi hapendi kulifanya na huwa mnavutana mno, sasa karudi tu na kuanza kulifanya. Lazima ujiulize kulikoni, lazima kuwa na sababu za kufanya.

Mwanaume/ mwanamke kumtaa kumshika na kumbeba mwanae wakati amerudi nyumbani. Kwa tamaduni za jadi, watu wapo wanaoamini mtu akitoka kufanya mapenzi na mtu mwingine haruhusiwi kumshika mtoto atamharibu. Imani hii nayo siyo haba inaweza kuwaumbua watu maana uchungu wa mwana aujua mzazi. Paugumu hapo, ukisika mtu anamkataa mwanae ndio hapa.

Kukuza mambo madogo, vijikesi haviishi na kukutoa kasoro kwa vitu ambayo ulikuwa navyo tokea anakutongoza ama unamtongoza. Kama urembo wako, tabia yako, faragha, kipato chapo, muda, kazi, shughuli zako, nduguzo, rafikizo, huduma yako nk

Kupenda kukushtakia ovyo kila anayemtongoza. Bwana, mtu mzima hachugwi, tutasema ni utoto, mahaba ya dhati au ulimbukeni tu, mmh! Anayetongozwa na akamkubali huwa hawezi kutamja na kwanza anayetongozwa hapaswi kusema labda iwe ametishiwa kufanyiwa unyama na huyo mtu ni lazima amshirikishe mwenziye kumlinda. Kama wewe umempenda lazima wengine watamtongoza tu japo inauma ila ndiyo ukweli, hivyo kukubali au kukataa ni uamuzi wake.

Mwanaume anakipato na kazi lakini hakujali wala hana muda wa kujua wewe unaishije, watoto wala ashtuki. Iwe unaishi nae au mbali. Basi jua yupo mtu anatumia badala yako. Komaa kama anashindwa kuhudumia bora akuache.

Una mpenzi/mwenza ofisi hayupo na nyumbani hajarudi. Unakuta kazini kaaga anaumwa na nyumbani kaaga yupo kazini. Mmh! Hapa unapigwa siyo bure.

Kwahiyo, makala hii siyo ya kuibua wewe kuwa kama pasati kumchunga mwenza wako au mpenzi wako bali kuishi kwa mipaka ukijua unapaswa kuwa makini na kuwa na msimamo kuepusha mazingira kama haya kuwepo na ukiyaruhusu yatakutesa. Na kama wewe unachepuka basi acha na kama umeshindwa basi ishi kwa mipaka, mapenzi yanaumiza usimtese uliyesema unampenda na kama lipo jambo linakukwaza basi zungumza naye, mshirikishe changamoto zako na shirikiana naye kuzitatua.

20221206_204733.jpg
 
Wenye hela wana vipimo, kinakuonyesha kila kitu, mara ya mwisho kufanya, kwa mwaka unafanywa na wanaume wangapi, na kina uwezo wa kukupa majibu sahihi kuanzia miaka 3 mpk 4, kuna watu ni konyo ma mae
 
Hii ni level ya chini sana ukinikuta mimi pro. Aloo utapata tabu sana unaweza sema ww ndo unanicheat kumbe mm ndo nakucheat kiufupi mimi ni cheater ndoige
Ni kweli ila matendo ujenga mazoe, ni rahis kuja kukamatwa padogo sana had utashangaa ulijisahau wapi
 
Wanandoa tunausoma huu Uzi kimachale Sana.
Ngoja niachane tu nao maana naona majengo ya serikali yameanza kuniita kwa mbali.
Ni hatari, usiombe kukuta unapigwa ai, bora tu iwe hujui, inaumiza na hata kam unafanya bas ni mkuki kwa nguruwe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom