Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,446
- 829,810
- Thread starter
- #41
Tuna utashi na ndoto japo si asilimia mia moja... Ndio maana kuna baadhi huwa tunakemea ama kustuka usingiziniMkuu heading ni hiyohiyo "ukiona choo ndotoni usikitumie".
Sasa ndiyo nikakuuliza kwani ndani ya ndoto huwa tuna utashi ama maamuzi ya kufanya?
Ninavyoelewa ni kuwa ndoto huratibu yenyewe pa kwenda na cha kufanya.
Wewe huletewa tu matokeo ya ndoto ilikokwenda na ilichoenda kufanya.
Sasa kuikontro cha kufanya ilikokwenda wakati wewe haupo, ilikuacha usingizini ni vigumu.
Hii nazungumzia ukikiona choo ndotoni... Hili si jambo la kawaida...
Unakiona choo kisha unavutika kukitumia.. Si kwamba umebanwa na haja la hasha unakiona ndotoni kisha unataka kukitumia
