Ukiona choo ndotoni usikitumie

Ukiona choo ndotoni usikitumie

.
verite.jpeg

Jr
 
Sikutaka kuileta mada hii mapema bali wakati huu.... Nina sababu maalum.... Baada ya muda mchache ujao tutaenda kulala, wala tusitambue yanayoendelea ulimwenguni... Mwili wa utashi utapumzika... Mwili wa roho uta take cover...!
Roho ni 'nafsi huru ' itafanya itakayo na kuenda itakako.. Taarifa utazipata kupitia ndotoni....
Ndoto taarifa
Ndoto maono
Ndoto mvurugano
Unapoona/ unapoota choo ndotoni kuna tafsiri kama tatu... Moja lazima iwe sahihi... Makinika... Usikitumie kwanza...

Choo ni uchafu... Hakuna anayependa uchafu.. Ukiona mtu anapenda uchafu ana walakini
Choo kinanuka... Hakuna anayependa harufu mbaya.. Ukiona mtu anapenda harufu mbaya ana walakini...!
Choo si kitu cha kuonekana hadharani... Kina sehemu yake ya kutunzwa... Ukikiona choo ndotoni si ishara njema(hapa ni kwa tafsiri ya kinyesi)
Choo ni mlango wa kuzimu ( hapa choo ni kile kibebeo cha uchafu wa kinyesi toka kwa mwanadamu)... Choo cha mnyama hakina kinyaa kama cha mwanadamu kwakuwa mnyama ni hayawani...

Epuka kutumia choo ndotoni kwakuwa kama hujajisaidia kitandani basi kuna jambo baya linakutafuta....
Ushirikina tu huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tutabishana bure tu mkuu wakati mimi ndio mhusika niliyetokewa na hali hii na ndio maana nikaomba muongozo hapa, maelekezo yote yapo post ya kwanza ya kuomba ufafanuzi.
Kitendo cha kwanza kulala na kuota..
Tendo la pili kuota nimelala pia naota ndoto ambayo kumbukumbu yake haikukaa kichwani yalikuwa ni mambo gani, huwenda jambo hili likawa nje ya uwezo wako ila usinibishie.
Haya mambo Ni kweli kabisa Mimi naota sana ndoto ndani ya ndoto,wakat mwingine vita,wakati mwingine furaha.lakini hili Jambo Ni kweli tupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu wangu hebu soma hii
Mshana niliota nimepakwa kinyesi mwili mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Mshana niliota nimepakwa kinyesi mwili mzima.

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Mkuu kuna mdau aliuliza humu kuhusu kuota kuokota pesa sikuona majibu yako naomba utusaodie katika hili hasa hasa pale unapoota kuna mahali kabisa ukifika hapo ukifukua basi ni mwendo wa pesa tu iwe ni sarafu au noti,nitangulize shukrani
 
Mkuu naomba nisaidie, inawezekanaje sa ingine unakuta nipo usingizini kwenye ndoto alafu najua kabisa hii ni ndoto mfano naota nataka kuqnguka kwenye shimo au napambana na jambo baya napata ufahamu kwamba pambana utoke hii ni ndoto ata ongea au kemea na napqmbana hadi nastuka, yaani upo kwenye ndoto na unajua kabisa hii ni ndoto, sio wakati wote lkn ni zile nyakwti nnapokua kwenye ndoto za mahangaiko
 
Hapa kuna dhana tatu hivi
1. Roho yako imeenda kutangatanga na kukutana na misukosuko
2. Umelala vibaya hivyo njia ya hewa imezibwa
3. Umetembelewa na wachawi
Sorry kwa kuchelewa kukujibu
 
Mkuu kuna mdau aliuliza humu kuhusu kuota kuokota pesa sikuona majibu yako naomba utusaodie katika hili hasa hasa pale unapoota kuna mahali kabisa ukifika hapo ukifukua basi ni mwendo wa pesa tu iwe ni sarafu au noti,nitangulize shukrani
Ndoto mara nyingi huwa na tafsiri zaidi ya moja..kuota unaokota pesa kunaeza kuwa na tafsiri mbili au tatu
1. Kuna jambo utalifanikisha vizuri
2. Kuna pesa au kitu chako cha thamani utakipoteza (baadhi ya ndoto tafsiri yake huja kinyume)
3. Ndoto ya kawaida kutokana na matendo ama fikra zilizopita
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom