Hapana sio total unconscious bali ni subconscious... Usingizi ni namna ya kupumzisha mwili huku fahamu zikiwa liveUliyoandika ni kama hayatekeleziki!
Binadamu akiwa amelala au usingizini anakuwa katika hali ya unconscious ni kwa jinsi gani basi atafanyia kazi huu ushauri wako?
Is it subconscious or unconscious?Subconscious and unconscious seem like they would have similar meanings. In some contexts, they do. In others, it’s important to know the difference between these terms.Hapana sio total unconscious bali ni subconscious... Usingizi ni namna ya kupumzisha mwili huku fahamu zikiwa live
Okay so when you go limp it this unconscious or subconscious? That's unconscious..., you cannot be waked up in seconds and come up fully conscious immediatelyIs it subconscious or unconscious?Subconscious and unconscious seem like they would have similar meanings. In some contexts, they do. In others, it’s important to know the difference between these terms.
Unconscious means not awake or lacking awareness.
Subconscious refers to thoughts, actions or brain processes of which a person is not directly aware.
Hapana sio total unconscious bali ni subconscious... Usingizi ni namna ya kupumzisha mwili huku fahamu zikiwa live
hapana kuzimia ni tofauti kabisa na kuwa usingizini... Kuzimia ni involuntary action huna amri na hicho kitendo na unakuwa hujui lolote mpaka unapozindukaBinadamu akiwa usingizini au katika hali ya kuzimia ni unconscious na huamka au kushtuka pale tu ambapo kunakuwa na stimuli ( mchocheo) wa kutosha kutoka nje au ndani ya mwili.
Na akizirai?
hapana kuzimia ni tofauti kabisa na kuwa usingizini... Kuzimia ni involuntary action huna amri na hicho kitendo na unakuwa hujui lolote mpaka unapozindukaAkizirai ni temporary unconsciousness, coma ni prolonged state of unconsciousness.
Haha sawa mkuuInawezekana kabisa ni kama zile ndoto za kuota unataka kufanyiwa jambo baya kisha unakemea kwa jina la Yesu aliye hai
Dripboy said:Aaaaah mimi nimeshakitumia sana hicho miaka ya giza na mpaka nikaozesha godoro 😝😝😝😝
Asante sana![]()
Vivuli vitatu
Naandika nikiamini Ulishawahi kujiuliza kuhusu kivuli chako ama la kusikia walau kuhusu ushirikina unaohusisha kivuli. ...Lakini naamini kabisa hukuwahi kudhani kuwa unavyo vivuli vitatu Vivuli hivi vitatu havionekani muda wote bali wakati wa jioni jua linapozama au usiku kwenye mbalimwezi...www.jamiiforums.com
Mkuu heading ni hiyohiyo "ukiona choo ndotoni usikitumie".Hebu someni heading kwa kutulia mtanielewa