Ukiona choo ndotoni usikitumie

Ukiona choo ndotoni usikitumie

Sikutaka kuileta mada hii mapema bali wakati huu.... Nina sababu maalum.... Baada ya muda mchache ujao tutaenda kulala, wala tusitambue yanayoendelea ulimwenguni... Mwili wa utashi utapumzika... Mwili wa roho uta take cover...!
Roho ni 'nafsi huru ' itafanya itakayo na kuenda itakako.. Taarifa utazipata kupitia ndotoni....
Ndoto taarifa
Ndoto maono
Ndoto mvurugano
Unapoona/ unapoota choo ndotoni kuna tafsiri kama tatu... Moja lazima iwe sahihi... Makinika... Usikitumie kwanza...

Choo ni uchafu... Hakuna anayependa uchafu.. Ukiona mtu anapenda uchafu ana walakini
Choo kinanuka... Hakuna anayependa harufu mbaya.. Ukiona mtu anapenda harufu mbaya ana walakini...!
Choo si kitu cha kuonekana hadharani... Kina sehemu yake ya kutunzwa... Ukikiona choo ndotoni si ishara njema(hapa ni kwa tafsiri ya kinyesi)
Choo ni mlango wa kuzimu ( hapa choo ni kile kibebeo cha uchafu wa kinyesi toka kwa mwanadamu)... Choo cha mnyama hakina kinyaa kama cha mwanadamu kwakuwa mnyama ni hayawani...

Epuka kutumia choo ndotoni kwakuwa kama hujajisaidia kitandani basi kuna jambo baya linakutafuta....
Kwani ndotoni anayeota ana uwezo wa kuamua afanye au asifanye kitu fulani? Au na wewe unaandika ukiwa ndotoni mkuu?
 
Barzakh ni mahali ambapo roho huingia baada ya mtu kufariki, unaweza kusema ni kaburi la roho au ni hatua ya kati ya maisha ya roho baina ya maisha ya duniani na maisha ya akhera, Barzakh ni mahali ambapo roho husubirishwa kwa ajili ya ufufuo wa siku ya akhera.

Mtu roho yake ikiingia Barzakh maana yake mtu huyo kishakufa na kamwe hawezi kufufuka.

Ndoto ndani ya ndoto haiwezekani, kama inawezekana basi hata mtoto angejizaa mwenyewe.

Basi tufafanulie hiyo ndoto yako ndani ya ndoto ilikuaje, kumbuka ndoto ya kwanza lazima mtu ulale usingizi na ndoto ya pili lazima ulale tena ndani ya usingizi wa kwanza, kwa hiyo utaona ndoto ni moja tu ambayo ni hiyo ya pili, ambayo ni ndoto ya kawaida tu.

Practically ,huwezi kuota ndoto ndani ya ndoto.
Hapa tutabishana bure tu mkuu wakati mimi ndio mhusika niliyetokewa na hali hii na ndio maana nikaomba muongozo hapa, maelekezo yote yapo post ya kwanza ya kuomba ufafanuzi.
Kitendo cha kwanza kulala na kuota..
Tendo la pili kuota nimelala pia naota ndoto ambayo kumbukumbu yake haikukaa kichwani yalikuwa ni mambo gani, huwenda jambo hili likawa nje ya uwezo wako ila usinibishie.
 
Mshana jr, alieleza aina za ndoto, nami sitotofautiana naye sana lakini ngoja nijaribu kueleza aina hizo za ndoto kwa njia nyingine na jinsi gani zinavyotokea;-

(1) Njozi za matukio- hizi ni zile mtu anazoota kulingana na matukio yaliyomsibu mchana kutwa mfano kama aliona jambo la kutisha au jambo lililomuathiri moyoni na hivyo likakaa akilini hadi kipindi anakwenda kulala na jambo hilo likatokea tena katika ndoto jinsi lilivyo au katika njia iliyotofauti kidogo.

(2) Njozi za shinikizo: Aina hii ya njozi ni zile zinazoshinikizwa na utumiaji wa madawa makali au madawa ya kulevya kama bangi, cocaine, pombe au saa nyingine mtu anaposhiba sana kabla ya kwenda kulala au saa nyingine mtu anapokuwa mgonjwa naye anaweza kupata aina hizi za ndoto, hizi zote aina ya kwanza na ya pili siyo njozi zenye bishara (non inspirational dreams).

(3) Njozi za maono (inspirational dreams): Aina hizi za njozi ni zile zinazobeba jumbe za kiroho kutoka kwa Mungu na hii ni kazi ya malaika Jibril/Gabriel anayoagizwa na Mungu ama kuleta tahadhari au kuleta taarifa yoyote kwa muhusika na mara nyingi ndoto za aina hii zinahitaji ufafanuzi (interpretation) kwa sababu zinakuwa zipo wazi mno zinapotokea lakini lazima zifafanuliwe ili kutoa maana katika maisha halisi ya kimwili kwa sababu hizo ndoto huwa katika ulimwengu wa kiroho, mfano ni hiyo ndoto ya choo aliyoleta Mshana jr.

Hivyo inakupasa uangalie ni katika mazingira gani unaota ndoto zako ili kujua hiyo ndoto ipo katika kundi gani hapo juu.

Ila kusema kwamba mtu aote ndoto ndani ya ndoto ni sawa na kusema mtu alale usingizi ndani ya usingizi ili hiyo ndoto ya pili ipatikane, it is practically impossible but theoretically possible,😁😁. na hapo unazungumzia juu ya ulimwengu mwingine kabisa ulimwengu wa Barzakh kwa sababu ulimwengu wa akhera bado haujaumbwa.
 
Sikutaka kuileta mada hii mapema bali wakati huu.... Nina sababu maalum.... Baada ya muda mchache ujao tutaenda kulala, wala tusitambue yanayoendelea ulimwenguni... Mwili wa utashi utapumzika... Mwili wa roho uta take cover...!
Roho ni 'nafsi huru ' itafanya itakayo na kuenda itakako.. Taarifa utazipata kupitia ndotoni....
Ndoto taarifa
Ndoto maono
Ndoto mvurugano
Unapoona/ unapoota choo ndotoni kuna tafsiri kama tatu... Moja lazima iwe sahihi... Makinika... Usikitumie kwanza...

Choo ni uchafu... Hakuna anayependa uchafu.. Ukiona mtu anapenda uchafu ana walakini
Choo kinanuka... Hakuna anayependa harufu mbaya.. Ukiona mtu anapenda harufu mbaya ana walakini...!
Choo si kitu cha kuonekana hadharani... Kina sehemu yake ya kutunzwa... Ukikiona choo ndotoni si ishara njema(hapa ni kwa tafsiri ya kinyesi)
Choo ni mlango wa kuzimu ( hapa choo ni kile kibebeo cha uchafu wa kinyesi toka kwa mwanadamu)... Choo cha mnyama hakina kinyaa kama cha mwanadamu kwakuwa mnyama ni hayawani...

Epuka kutumia choo ndotoni kwakuwa kama hujajisaidia kitandani basi kuna jambo baya linakutafuta....
NDOTO NI MAKAPI na NENO la MUNGU ni ngano; tualiangalia neno la Mungu linasemaje na sio ndoto imesemaje.
 
Mshana jr, alieleza aina za ndoto, nami sitotofautiana naye sana lakini ngoja nijaribu kueleza aina hizo za ndoto kwa njia nyingine na jinsi gani zinavyotokea;-

(1) Njozi za matukio- hizi ni zile mtu anazoota kulingana na matukio yaliyomsibu mchana kutwa mfano kama aliona jambo la kutisha au jambo lililomuathiri moyoni na hivyo likakaa akilini hadi kipindi anakwenda kulala na jambo hilo likatokea tena katika ndoto jinsi lilivyo au katika njia iliyotofauti kidogo.

(2) Njozi za shinikizo: Aina hii ya njozi ni zile zinazoshinikizwa na utumiaji wa madawa makali au madawa ya kulevya kama bangi, cocaine, pombe au saa nyingine mtu anaposhiba sana kabla ya kwenda kulala au saa nyingine mtu anapokuwa mgonjwa naye anaweza kupata aina hizi za ndoto, hizi zote aina ya kwanza na ya pili siyo njozi zenye bishara (non inspirational dreams).

(3) Njozi za maono (inspirational dreams): Aina hizi za njozi ni zile zinazobeba jumbe za kiroho kutoka kwa Mungu na hii ni kazi ya malaika Jibril/Gabriel anayoagizwa na Mungu ama kuleta tahadhari au kuleta taarifa yoyote kwa muhusika na mara nyingi ndoto za aina hii zinahitaji ufafanuzi (interpretation) kwa sababu zinakuwa zipo wazi mno zinapotokea lakini lazima zifafanuliwe ili kutoa maana katika maisha halisi ya kimwili kwa sababu hizo ndoto huwa katika ulimwengu wa kiroho, mfano ni hiyo ndoto ya choo aliyoleta Mshana jr.

Hivyo inakupasa uangalie ni katika mazingira gani unaota ndoto zako ili kujua hiyo ndoto ipo katika kundi gani hapo juu.

Ila kusema kwamba mtu aote ndoto ndani ya ndoto ni sawa na kusema mtu alale usingizi ndani ya usingizi ili hiyo ndoto ya pili ipatikane, it is practically impossible but theoretically possible,. na hapo unazungumzia juu ya ulimwengu mwingine kabisa ulimwengu wa Barzakh kwa sababu ulimwengu wa akhera bado haujaumbwa.
Nashukuru kwa mchango wako na yote uliyonifafanulia, lakini acha nibaki na ndoto yangu nawe ubaki na imani yako kwasababu tunapoelekea hatutaelewana mkuu tutabishana tu na jambo lenyewe lisilo na ushahidi ulio wazi.
 
Mkuu kwa heshima na taadhima, hapa hatubishani bali tunaelimishana ambapo kila mmoja anatakiwa atoe elimu ya kile anachojua na hapa sio suala la nani anajua zaidi ya mwenzake isitoshe hakuna anayejua kila kitu na ndiyo maana mkusanyiko wa watu wenye mawazo mbalimbali ni muhimu ili tupate kujifunza kile ambacho hatujui-- kumbuka hakuna mtu anayeweza kufuta ujinga wake wote hadi aingie kaburini atakuwa bado hajaelimika.

Nilikuuliza hebu fafanua basi hiyo ndoto yako ilikuwa vipi?!, bado hukufafanua na ndiyo maana ninakuambia wewe uliota ndoto ya kawaida tu miongoni mwa hizo ndoto 3 na sio vinginevyo labda tu hukuwa unajua.

Kuota ndoto ndani ya ndoto tafsiri yake ni kulala usingizi ndani ya usingizi kitu ambacho katika hali ya kawaida ya kulala usingizi na kuamka haiwezekani, kwa maana nyingine usingizi ndani ya usingizi ni kifo yaani Roho ya mtu ndani ya Barzakh huwa ipo Katika hali ya "usingizi fulani" (deep sleep) ambao ni usingizi ndani ya
Usingizi ambayo huwa ni aina mojawapo ya maisha ya roho.

Basi ndugu yangu tusigombane kwa jambo ambalo tunaloweza kuelimishana kwa hoja, ufahamu na uzoefu wako na wangu ambao ni 3/4 ya elimu yote mtu anayoipata akiwa duniani, 1/4 huipata Shuleni.
 
🙏🏻🙏🏻
 
Basi ndugu yangu tusigombane kwa jambo ambalo tunaloweza kuelimishana kwa hoja, ufahamu na uzoefu wako na wangu ambao ni 3/4 ya elimu yote mtu anayoipata akiwa duniani, 1/4 huipata Shuleni.Basi ndugu yangu tusigombane kwa jambo ambalo tunaloweza kuelimishana kwa hoja, ufahamu na uzoefu wako na wangu ambao ni 3/4 ya elimu yote mtu anayoipata akiwa duniani, 1/4 huipata Shuleni.

Mkuu, Wakati fulani mtu yakupasa katika kujitetea ugombane na hii ni katika kumuelewesha muhusika, basi ni juu yako kutafakari ni wakati upi na kwa jambo lipi unatakiwa ufanye lipi kati ya hayo mambo mawili; kugombana au kutokugombana.
 
Kwani ni uamuzi wa mtu kujisaidia au kutojisaidia ndotoni?

Au inategemea na nguvu ya kiroho ya mtu?

Mfano mwingine akifululiza kuzama kwenye maombi anaweza kutojisaidia akiwa mtu wa michanganyo je nguvu atakuwa nayo ? Au zaidi zaidi ni kwa Neema Na rehema za Mungu?
 
Kweli ukiwa ndotoni unaweza kukataa kitu au kukubali, wakati mwingine unaamuwa kuikatisha ndoto kwa kujilazimisha kuamka toka usingizini. Let say umeota unateleza kwenye poromoko la ukingo wa mto sasa unaenda kutumbukia mtoni... Ukiwa usingizini binafsi utaulazimisha mwili uamke ili usitumbukie mtoni.

Kwa hiyo wakati unaota,, unaweza kujizuia kufanya jambo. Kitu kisichowezekana ni kujipangia ndoto,, yani uamue leo uote ndoto ya namna gani.

Is my understanding
 
.
13ea4ba37046460f90fafd1e7713297d.jpg
 
Nje ya mada kidogo. Hivi karibuni nilipata mgeni nyumbani kwangu. Sasa mambo ya mjini, self-contained. Wakati wa kuoga jamaa anadai hawezi kuogea chooni. Na akanishauri nijenge choo na bafu ya nje niachane na habari za kujisaidia chumbani. Nikajaribu kumshawishi aniambie akagoma. Nikaona ndo yale mambo ya Mshana Jr. Walau leo umeleta hii mada ya choo, kama utaona ina mashiko, uitolee maelezo.
 
Umeongea kwa hekima na kwa tafakuri sana.... Hongera kwakweli
Mkuu, Wakati fulani mtu yakupasa katika kujitetea ugombane na hii ni katika kumuelewesha muhusika, basi ni juu yako kutafakari ni wakati upi na kwa jambo lipi unatakiwa ufanye lipi kati ya hayo mambo mawili; kugombana au kutokugombana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom