jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,957
- 9,431
Mkuu Mshana Jr habari za masiku!? Naomba kuuliza hivi Mtu ukiota unapambana na nyoka mweusi,tena yuko very aggressive,kila ukijaribu kumkwepa yeye bado anakuja kwa hasira Kama vile umechukua mayai yake, hiyo ndoto inamaana gani!?