Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,269
10,000 +
10,000 +
Na nini?
Juzi nilikua zangu nmekaa sehemu nakula rost ya kitimoto na Red Wine, wakati naendelea kula pale ghafla akatokea dada mmoja ambae ni jirani yangu lakini hatuna mazoea kivile, nikamsalimia akaitika, nikamkaribisha aje kula (Kama mnavyojua wabongo unamkaribisha tuu mtu kimazoea mda mwingine hatumaanishi)
Akavuta kiti akakaa, nashangaa anamuita muhudumu "Muuudumu niletee Glass na tishuuu! "nikashangaa sana, Wine yangu nilitaka ninywe mwenyewe sasa imepata muhuni tunaipiga mande!, nikasema sio tabu, Glass ikaletwa tukawa tunakunywa huku tunapiga story.
Kiukweli Dada aliniboa sana, ananiletea story nyingi, mara aniambie "hapa kuna vyumba ujuee"
Kiukweli mimi sipendi mtu aniongeleshe sana hua nasikia kama kichwa kinauma.
Nilimaliza kula, nikapiga glass moja ya mwisho, nikanawa, nikamuita muhudumu nikalipa bili, nikamuaga yule dada nikamuacha na chupa ya wine pale anywe.
Nashangaa naondoka ananishika mkono eti anataka nimuachie hata ya soda, nikasema sio shida, kwakua nilikua na chenchi nikampa 500 ya Coin akanywe hiyo soda, alitoa macho kama kapigwa shoti, kwa mawazo yake sijui alijua nitampa shingapi.
Mambo mengine bana.
Sio kwamba anakuwa hajala. Ila hela ya soda muombaji anaweza kuwa kamaanisha wine, sasa elfu 10 wine gani labda ile tamu ya kikristo (altar wine)😂😂😂😂😂 wengine huomba “hela ya soda” lakini ukweli ni kwamba hajala hivyo anaomba pesa ili apate mlo. Mimi inategemea muombaje kaombaje, lakini kwa kujua muombaje anaweza kuwa anaomba pesa ya kula mara nyingi hutoa elfu 10.

Inategemea ntu -na- ntu, , low class nampa Jero, Middle Class nampa buku bee na high class nampa MsimbaziJuzi nilikua zangu nmekaa sehemu nakula rost ya kitimoto na Red Wine, wakati naendelea kula pale ghafla akatokea dada mmoja ambae ni jirani yangu lakini hatuna mazoea kivile, nikamsalimia akaitika, nikamkaribisha aje kula (Kama mnavyojua wabongo unamkaribisha tuu mtu kimazoea mda mwingine hatumaanishi)
Akavuta kiti akakaa, nashangaa anamuita muhudumu "Muuudumu niletee Glass na tishuuu! "nikashangaa sana, Wine yangu nilitaka ninywe mwenyewe sasa imepata muhuni tunaipiga mande!, nikasema sio tabu, Glass ikaletwa tukawa tunakunywa huku tunapiga story.
Kiukweli Dada aliniboa sana, ananiletea story nyingi, mara aniambie "hapa kuna vyumba ujuee"
Kiukweli mimi sipendi mtu aniongeleshe sana hua nasikia kama kichwa kinauma.
Nilimaliza kula, nikapiga glass moja ya mwisho, nikanawa, nikamuita muhudumu nikalipa bili, nikamuaga yule dada nikamuacha na chupa ya wine pale anywe.
Nashangaa naondoka ananishika mkono eti anataka nimuachie hata ya soda, nikasema sio shida, kwakua nilikua na chenchi nikampa 500 ya Coin akanywe hiyo soda, alitoa macho kama kapigwa shoti, kwa mawazo yake sijui alijua nitampa shingapi.
Mambo mengine bana.
nitakununulia nikupe sio nikupe helaNaomba hela ya soda
😂😂😂
Ni soda zileee yani zile soda za wakubwa😂😂😂😂
Kama soda zile soda zileee nasubiri ila Kama soda za watoto...Bora nirudi kulala.