Ukiombwa pesa ya soda unatoa shilingi ngapi?

Ukiombwa pesa ya soda unatoa shilingi ngapi?

Mwanaume unaanzaje kutuma hela ya soda 700 mpaka 1,000.
Kima cha chini iwe 10,500 uongeze na ya kutolea.
Ukiombwa hela ya soda tuma ya crate nzima bana kwa kuzingatia bei elekezi.

mama wawili
 
Huyo dada ana chura?
Kama hana basi pole sana, maana lazima koo lilikuvimba kwa hasira alipokuwa anatafuna kitimoto na kumezea wine yako.

Naamini angekuwa na tako ungekuwa unakenua meno tu na hata ungeongeza chupa ya wine nyingine ili ikurahisishie upate tunda na ugegede.

Pole sana dogo, jero yako imekwenda na maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom