Ukioa mke sio bikra, umeoa mpenzi wa mtu

Kama ni kitu chema kutolewa kiholela, sidhani ka ungeona shida kunijibu.
Kutolewa na nani? Kile kitu kimewekwa na Mungu ili kutoka, iyo kitatoka kwenye mazingira gani ajuae ni M/Mungu lakini hakuna sehemu mliyoambiwa oeni ma bikira hivyo basi bikra isitumike kama fimbo ya kuwasema sema wanawake
Bikira ni dhana pana sana hata wanaume inawahusu sasa kwann kila siku muwaseme wanawake? Alafu hicho sio kigezo cha uaminifu mtu mwaminifu hapimwi kwa bikra aliayonayo
 
umekasirishwa kweli
 
Sa ivi hata single mothers huwa wana maneno ka hayo uliyoandika. Yote ni katika kuhalalisha uzinifu kabla ya ndoa.
 
Bila ya kuwataja hao wamama hujisikii raha! Tunza bikira yako utampata tu
 
Sijawahi kuona umuhimu wa bikra . . .ulikua mzigo tu kwangu nashindwa kufanya mambo ya msingi
 
Virginity is lack of opportunity... Sometimes

Kwakweli nikipata mwanamke BIKRA sioi, jinsi walivyonitesa sitaki tenaa..
Nataka aliyefanya yote akachoka ameamua kutulia sasaa, ila asiwe ametoa urithi tu
Mwisho wa siku ili maisha yaende ni kuheshimiana ndani ya nyumba ile lov u 2 iliishia foolsh age.
Hahhaah mkuu punguza jazba kwanza,
meza mate alafu uanze kutuelezea mikasa ulokutana nayo mpaka uwachukie bikra
 
Back
Top Bottom