Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Na kuhakikishia utarogwa kabisa acha kuchezea watoto wa watu!
 
Kama ipo hiyo bikira basii jipange..! But siamini witchcraft kwa design hiyo but pia hakuna lisilowezekana under sun
 
yamtokayo mtu ni yale yaujazayo moyo! Anayempenda Mungu, moyo wake utajaa mambo mema na ndo yatakayomtoka kinywani hata akikurupushwa ucngzn! Mtumishi wa shetani i.e mshirikina naye mauchawi na upuuzi km huo ndo utaujaza moyo wake...na akikurupushwa atajiropokea ya mlengo huo!!! ...akili kichwani mwako! hatanii huyo!

Halafu km huna haja naye kivile na una wako...huna haja ya kumbikiri! mwache tu! ingekuwa ukibikiri mtu unakuwa billionea na utamu unabaki nao kwa mwaka mzima ...then ningekutia moyo ulale naye....but sio hivyo!

mwisho, usichukulie poa hili jambo! limekaa km utani hv! kumbuka watu wengi wameangamizwa na vitu ambavyo walividharau mwanzoni!
 
Bebe nang'ho lekaga shi..

aache sio...yamekuingia eeh! acha sasa...otherwise utarudishwa Shy twn/Rock city ukiwa hata hukumbuki jina lako nani!!!


mf Suleiman aliyekuwa na hekima za kupitiliza alisema 'laana isiyo na sababu haimpati mtu' Hebu jiulize yenye sababu je!!!!!
 
kwanza nakushauri mwache huyo Mchumba halisi... chukua huyo kuku mlozi.... atakuwa anakuloga hadi ndani ya ndo..hutachepuka ng'ooooo... ukienda tu Nje dushe linaanguka
 
Kaka huyo Msichqna anaitwa nani? Heb niambie usinifiche.. Coz ninamjua na ninaweza kukupa hstoria yake kama utakuwa Muwazi kwangu trust Me
 
Au ni PM tuelezane Vzur Maana yawezekana Uko na Mschana wa watu bila ww kujijua
 
wewe mgonge! mimi namachungu nao na nawaswaga sana, ila usisahau kufunua kizibo. 0713... ndio hata kuloga.atakuwacha uwe kumbukumbu.
 
Kaka huyo Msichqna anaitwa nani? Heb niambie usinifiche.. Coz ninamjua na ninaweza kukupa hstoria yake kama utakuwa Muwazi kwangu trust Me

Nasita kuamini kama Dar salaam imekua ndogo kiasi hiki..
 
Okay.. Lakn Kaka.. Angalia Mimi nakushauri Usije Ukafanya hicho kitu. Mwache tu. Kwanza utakua umejiepusha na Mengi pia utakua Umeepuka kumkosea Mungu kwasababu anakataza Mambo kama hayo she z not your Wife.. Ni Binti tu Umekutana nae Respect Her. Utakua Umefanya Vibaya sana kusex nae. Na dhambi hii Utakuja kukitesa sana baadae.
 
I know her Trust Me.. Hii ni Dar lkn watu tunaishi nao Mtaani dats y nakuambia kwa kujiamini I know her ungekua Muwazi kunitajia jina tu ninge kuthibitishia.
 
Hakulogi bana.......we mzindue halafu kula kona........

duuh...panga?..duhhh...

kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. kwahiyo wewe unafurahiiiii mwenzio azinduliwe kisha amwagwe..tupa kuleeee.

duhhhh....panga!
 
Back
Top Bottom