oooh yeah
im brave enough to admit that! i need help!
utapata tiba hahahaha
Gojaga nize
Usidhani hiyo dhambi itakuacha kwa mawazo hayo ya uharibifu.
Shetani alikuja ili kuua, kuharibu na kuchinja. Haya ww endelea na huo mpango wa kipepo kabisa. Mwambie ukweli kuwa una mchumba tayari ushamtilea mahali au mchague yy completely.
N hayo tu, uliwakutula ubebe.
Mkuu hii sio hukumu kweli?
umekusudia kuoa au kutimiza tamaa ya mwili? Kama umekusudia kutimiza tamaa ya mwili, piga mazoez, soma mambo kedekede vitabuni, mtandaoni na shughuli zingine ili zikukeep buisy,. Na kama umekusudia kuoa, kijana hatufanyi pupa kihivyo kwani mke wako utambue atakuwa nawe muda wa miaka zaidi ya arobaini mbele na nikitafakari naona wewe umelewa na kuangalia kigezo cha mvuto tu na tena unakimbiza mambo kama unakimbia mvua ya masika wakati mvuto unanunuliwa dukani, umesahau kuchunguza vigezo ambavyo kuvibadilisha ni vigumu. Miongoni mwa vigezo hivyo ni 1.tabia 2.uaminifu 3.upendo wa kweli(sio kupenda vitu na umaarufu bal akupende wewe ). Fikiria kwanza kabla hujafanya chochote kutokana na msukumo wako unaokusumbua

Wanasema life is adventure ...you never know till you know...
Hutajua ukweli hadi yatokee
so jaribu uone
i guess im a bad boy!