Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Ivi inakuaje mtu anatamka kabisa ana triple ID afu mod wanamwacha tu? make siku izi ndo kamekua kamchezo. Au siku izi ni ruksa?!
 
Tukija kwenye mada, huyo alishawahi achwa, akatengeneza bikra nyingine, ivo hataki kupata maumivu ya kuachwa tena.

Mkuu kwa alivyo outside look, anaonekana hajaguswa though sina uhakika. Na pia ni binti local flani ivi na ndio kilichonivutia maana hana mambo mengi though ni mazuri wa sura na figure, ni mtu wa church sana.
 
Mkuu jaribu kuisikiliza tone aliyoitumia wakati anakwambia!

Ukikubali kwamba kweli ile tone imetoka moyoni mwake na alikuwa anamaanisha, kimbia kaka.

Otherwise piga kazi.

Kitu cha kujichunga ni kwamba kama kweli hajawahi kufanya ukafanya naye harafu ukamwacha, chuki yake itakuwa kubwa juu yako na anaweza kufanya lolote baya kwako, labda apate wanaume mwingine mapema wa kumsahaulisha.
 
Ivi inakuaje mtu anatamka kabisa ana triple ID afu mod wanamwacha tu? make siku izi ndo kamekua kamchezo. Au siku izi ni ruksa?!

Wapi kuna sheria kwamba kuwa na ID nyingi ni kosa?

Soma sheria za JF vizuri mkuu.
 
Ivi inakuaje mtu anatamka kabisa ana triple ID afu mod wanamwacha tu? make siku izi ndo kamekua kamchezo. Au siku izi ni ruksa?!

Mkuu mbona unamchongea mshikaji? We mpe ushauri wa jinsi ya kukabiliana na binti mchawi.
 
Kama hauko serious waachie watakaokuwa serious. Endelea na nung'aembe lako linalokusumbua. Pesa na cheo chako zisikufanye ufanye uovu Mkuu namna hiyo. Bikra ni agano hivyo usiingie ktk agano ambalo huwezi kulisimamia la sivyo wewe ni mfu na utakufa tu nakwambia wala hutapata amani siku zote za maisha yako ya ubatili duniani.
 
Wanasema life is adventure ...you never know till you know...

Hutajua ukweli hadi yatokee

so jaribu uone
 
Sijui ni roho gani imewaingia vijana! Yaani unawaza kabisa kumuumiza mwenzako, kaka kitu chochote unachokifanya huku ukujua sio kitu kizuri hio ndio dhambi na dhambi ina athari kiroho na kimwili kuanzia wewe mtoto wako na mjukuu wako na mjukuu wa mtoto wako,ni vyema ungemuacha binti wawatu awe na amani brodher
 
nina mchumba ila kwasababu ya migogoro nilisitisha zoezi............................. hayo mapenzi mapya yanakuweua wewe, hata huyo ukimzoea utasema bora jana, Anyway fumua hiyo bikra mchina ataweka TU NYINGINE UKIMWACHA.
 
Utauziwa mbuzi kwenye gunia ww, umeambiwa tu kuwa ana bikra ndo unaanza kutangaza umethibitisha?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom