Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Sio kila uzuri wa nje na ndani itakuwa hivyo hivyo. Akija mwingine ofisini siku nyingine mzuri zaidi ya huyo utakuja na mada tena tukushauri?? Komaa na ndoa kaka,tengeneza yule uliyemtolea mahari akae vile unavyotaka. Labda utoto tu akikua ataacha
 
umekusudia kuoa au kutimiza tamaa ya mwili? Kama umekusudia kutimiza tamaa ya mwili, piga mazoez, soma mambo kedekede vitabuni, mtandaoni na shughuli zingine ili zikukeep buisy,. Na kama umekusudia kuoa, kijana hatufanyi pupa kihivyo kwani mke wako utambue atakuwa nawe muda wa miaka zaidi ya arobaini mbele na nikitafakari naona wewe umelewa na kuangalia kigezo cha mvuto tu na tena unakimbiza mambo kama unakimbia mvua ya masika wakati mvuto unanunuliwa dukani, umesahau kuchunguza vigezo ambavyo kuvibadilisha ni vigumu. Miongoni mwa vigezo hivyo ni 1.tabia 2.uaminifu 3.upendo wa kweli(sio kupenda vitu na umaarufu bal akupende wewe ). Fikiria kwanza kabla hujafanya chochote kutokana na msukumo wako unaokusumbua

umemaliza, sina cha kuongezea!
 
Unaweza kuta hiyo bikra ni ya kichawi achana naye huyo yasije yakakukuta makubwa
 
Hamn bikra hapo,,bikra inatolewa kwa mahusian ya mwez mmoj na hamjafahamian vizur..kuw makini changa la macho hilo
 
Heart barker!
Una mchumba umempotezea,huyu naye hauko serious naye!
Rogwa tu!
 
sio kila uzuri wa nje na ndani itakuwa hivyo hivyo. Akija mwingine ofisini siku nyingine mzuri zaidi ya huyo utakuja na mada tena tukushauri?? Komaa na ndoa kaka,tengeneza yule uliyemtolea mahari akae vile unavyotaka. Labda utoto tu akikua ataacha

ushauri
wangu kwako
mleta thread

uchumba ni hatua ya tatu katika kujenga ndoa, ambapo unapitia hatua ya kwanza ya urafiki wa kawaida, 2.urafiki maalumu 3. Uchumba 4.harusi/ndoa yenyewe. Sasa katika kila hatua kuna mambo ya kufanya sio kwamba leo nmempenda msichana fulani naye kanivutia, tayari nnamtamkia kwamba naomba uwe mke wangu wa maisha! Tayari moyo unawaka tamaa kiasi kwamba unataka mfunge ndoa leoleo na kufanya tendo la ndoa leo na kupata mtoto leo! Hapana rafiki. Inakupasa kutulia ,
unajenga urafiki wa kawaida kwanza hapa kuna kazi utazifanya kwake ili kumfahamu kiundani, ah! Nashindwa nkuelezeje kwakuwa naona uko mbio sana!!
 
mkuu,mkishaharubu huko muwe mnatujulisha kabisa misiba itakuwa wapi,siyo si tukae humu tu tunajiuliza flani mbona siku hizi haonekani kumbe keshasepa.HUYO BINTI LAZIMA ATAKUWA MKEREWE HUYO,NDO ZAO HIZO
 
ushauri
wangu kwako
mleta thread

uchumba ni hatua ya tatu katika kujenga ndoa, ambapo unapitia hatua ya kwanza ya urafiki wa kawaida, 2.urafiki maalumu 3. Uchumba 4.harusi/ndoa yenyewe. Sasa katika kila hatua kuna mambo ya kufanya sio kwamba leo nmempenda msichana fulani naye kanivutia, tayari nnamtamkia kwamba naomba uwe mke wangu wa maisha! Tayari moyo unawaka tamaa kiasi kwamba unataka mfunge ndoa leoleo na kufanya tendo la ndoa leo na kupata mtoto leo! Hapana rafiki. Inakupasa kutulia ,
unajenga urafiki wa kawaida kwanza hapa kuna kazi utazifanya kwake ili kumfahamu kiundani, ah! Nashindwa nkuelezeje kwakuwa naona uko mbio sana!!

ushauri mzuri ila dah utatuua macho
 
kuroga=church

umepata demu mpya umeanza kumkosoa wa zamani
walimwengu wa sasa wamechanganyikiwa umepewa taarifa mapema hilo alolosema atatenda amechoka kuchezewa.
 
Gojaga Nize

tamaa mbaya sana...... Acha tamaa ndug yangu sku yakikukuta utamlaumu nani?.....
Narudia tena tamaa mbaya sana achana na huyo mwanamke
 
Last edited by a moderator:
Kama hauko serious waachie watakaokuwa serious. Endelea na nung'aembe lako linalokusumbua. Pesa na cheo chako zisikufanye ufanye uovu Mkuu namna hiyo. Bikra ni agano hivyo usiingie ktk agano ambalo huwezi kulisimamia la sivyo wewe ni mfu na utakufa tu nakwambia wala hutapata amani siku zote za maisha yako ya ubatili duniani.

Mkuu unatisha
 
Hakulogi bana.......we mzindue halafu kula kona........
Unamshauri atende uovu...ama hakika akirogwa uchawi utakufuata na wewe.
Una akili sana gangster lady ila humhurumii mwenzio?
Akili zenu nyote sawa...hivi mtu akisema KUNA WATU WANAVICHWA UKUBWA WA BESENI LAKINI AKILI NI TONE anakosea??
 
Back
Top Bottom