Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Ukiniacha nakuroga hadi kuku

Kama hauko serious waachie watakaokuwa serious. Endelea na nung'aembe lako linalokusumbua. Pesa na cheo chako zisikufanye ufanye uovu Mkuu namna hiyo. Bikra ni agano hivyo usiingie ktk agano ambalo huwezi kulisimamia la sivyo wewe ni mfu na utakufa tu nakwambia wala hutapata amani siku zote za maisha yako ya ubatili duniani.

Mkuu hii sio hukumu kweli?
 
we ni mwehu, kwanza toka muonane ni mwezi mmoja? Are we real serious? ukimla huyo DADA ukamuacha, hata mie nitafanya alichosema .... nyie watu hamfai kwenye jamii ni waharibifu KABISA!
 
Gojaga Nize

Yaani unatuomba ushauri wa wewe kwenda kufanya dhambi?Haya wapagani mpeni ushauri huyu mtumwa wa ngono
 
Last edited by a moderator:
we ni mwehu, kwanza toka muonane ni mwezi mmoja? Are we real serious? ukimla huyo DADA ukamuacha, hata mie nitafanya alichosema .... nyie watu hamfai kwenye jamii ni waharibifu KABISA!

Nimekuelewa, ila hilo neno la mwehu sio sahihi..
 
1. Ulitoa mahari lini na ukasitisha 'process' lini?
2. Huo u_selfish wa "mchumba" wako, umeugundua kitambo au baada ya kutoa mahari?
3. Umesema huyo binti ni mzuri wa sura, umbo na tabia(naamini anakuwa 'hit' by countless people) na ni mwezi mmoja toka mfahamiane na huyo dada, je, unadhani itakuwa rahisi tu kwa binti/mwanamke aliyejitunza maisha yake yote(ku_fall in trap kirahisi namna hii)?
4. Mpango wako na "mchumba" wako ukoje? Umesitisha(yaani utaendelea) au ndiyo umemuacha?
5. Kama hauko serious na binti('mpya'), kwanini umpotezee muda wake?(refer statement yake, muda aliousema na kama kweli ni bikira).
 
Wewe ni nani? a sound Man? educated? potential father/husband? just give me a right name?
 
Tatizo ashajua mpaka ofisini kwako hachelewi kuja kukuharibia kazi huyo, mie kuna demu moja la kichaga lilinikomalia nkaliambia naenda kusoma china likasema nikifika nimfanyie mpango aje huko nkamwambia poa......nilibadili line tu hajanipata mpaka leo, kwetu hapajui, marafiki zangu hawajui, huu mwaka wa nne na nshaoa zangu
 
Utamzindua kwani yeye ana ametoa albamu mpya ? enyi vijana kwa lugha zenu.
 
Mkuu kwa alivyo outside look, anaonekana hajaguswa though sina uhakika. Na pia ni binti local flani ivi na ndio kilichonivutia maana hana mambo mengi though ni mazuri wa sura na figure, ni mtu wa church sana.

Usidanganywe na muonekano bro hawa viumbe wanajua kuigza hyo bikra atakuwa n artificial cku ya kugegeda angalia damu itakayotoka mana artificial znajurkana asije kukuingza mkenge
 
Mkuu angalia sana nyendo zako, wanawake wote mama ya ni mmoja, hakuna mwenye afadhali, wanatofautiana kwa sura na maumbile,,, ila vitwimbili ni same,, so boss sababu umeamua kumtenda mwanamwali we mtende tuu,,, mlozi hajitapi....ila kumbuka unajiloga on urself....mchumbako yuko busy kwa daktari.....
 
Wewe kula mzigo,Kuhusu kukuloga Mimi nitakupeleka kwa mtaalamu wa kinga za kulogwa na kamwe hawezi kukuloga,
 
Kila mara huwa nasema wanaume waharibifu huwa tunapata wanawake descent sana alafu wanaume watakatifu wanaangukia kwenye mikono ya wanawake wabaya.

Good girls like bad boys alafu bad girls like good boys.
 
Mkuu kwa alivyo outside look, anaonekana hajaguswa though sina uhakika. Na pia ni binti local flani ivi na ndio kilichonivutia maana hana mambo mengi though ni mazuri wa sura na figure, ni mtu wa church sana.

mtu wa church sana na uchawi haviendani pamoja.
 
Gojaga nize

Usidhani hiyo dhambi itakuacha kwa mawazo hayo ya uharibifu.

Shetani alikuja ili kuua, kuharibu na kuchinja. Haya ww endelea na huo mpango wa kipepo kabisa. Mwambie ukweli kuwa una mchumba tayari ushamtilea mahali au mchague yy completely.

N hayo tu, uliwakutula ubebe.
 
Back
Top Bottom