Uso wa nyoka
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 4,791
- 2,381
Unamshauri atende uovu...ama hakika akirogwa uchawi utakufuata na wewe.
Akili zenu nyote sawa...hivi mtu akisema KUNA WATU WANAVICHWA UKUBWA WA BESENI LAKINI AKILI NI TONE anakosea??
HALO RAFIKI UTATUZI WATATIZO LAKO UPOGUSA_HAPA_UONE_MAJIBU_KAMILI_NA_YA_UHAKIKA[/SIZE]
Mkuu hii sio hukumu kweli?
Tatizo ashajua mpaka ofisini kwako hachelewi kuja kukuharibia kazi huyo, mie kuna demu moja la kichaga lilinikomalia nkaliambia naenda kusoma china likasema nikifika nimfanyie mpango aje huko nkamwambia poa......nilibadili line tu hajanipata mpaka leo, kwetu hapajui, marafiki zangu hawajui, huu mwaka wa nne na nshaoa zangu
Usidanganywe na muonekano bro hawa viumbe wanajua kuigza hyo bikra atakuwa n artificial cku ya kugegeda angalia damu itakayotoka mana artificial znajurkana asije kukuingza mkenge
Kama hauna mpango nae kwa maana na future its better ukwambia kabisa (wanaume wakweli hua tunasema mapema, so kama na ww ni mwanaume wakwel mwambie).
Alaf she deserve to know the truth kua uko kwenye relationship na status ipoje iwe kazi kwake kuamua... Hakikisha anakua aware na kila kitu kabla haujashiriki nae tendo
Dah Enzi zile nimeenda Sumbawanga...kule Lyambalyamfipa nikafanya yangu ..mtoto wa kifipa mgumu hatare nikaona hapa kilainishi ni kutangaza ndoa si akaingia kwenye 18 nikafumua. Halafu huyo mbio....weee niulize kilichonitokea ...panya wakaondoka na dushe mchana kweupe acha nimkimbize kaingia kwenye kichuguu.
Nikasaka jembe acha nichimbue kichuguu masaa sita ndio namfikia ile nataka kumshika katoka tena mbio na dushe naziona kabisa. Nikaanza mbio tena..si ndo nakutana na muungwana akaniambi we acha ujinga zinduka kuna mtu ulimdanganya ndo kakufanyia mambo bora ukamwombe msamaha... Akili kurudi ikabidiniende tena Ufipani nikamdondokea mtoto huku chozi zito na uso wa huruma.
Baada ya majadiliano na familia yake wakanidai mbuzi..nikawaambia hata ngombe ishirini ntatoa ilimradi dushe iludi .mbuzi akafuatwa.
Mara ukaletwa ungo umejaa.. mwanzo nilidhani sausage za kienyeji.. kumbe dushe za kutosha nikaambiwa nichague yangu. Aya maisha aya basi tu.
kabila gani huyo demu??

Ni ya nani mkuu ebu nieleze! ole wako ushindwe kunieleza ...nakutumia panya.Mkuu iyo story sio yako acha kudanganya watu
Kama hauna mpango nae kwa maana na future its better ukwambia kabisa (wanaume wakweli hua tunasema mapema, so kama na ww ni mwanaume wakwel mwambie).
Alaf she deserve to know the truth kua uko kwenye relationship na status ipoje iwe kazi kwake kuamua... Hakikisha anakua aware na kila kitu kabla haujashiriki nae tendo
Aiseeeee!!umeongea point sana mkuuKama hauko serious waachie watakaokuwa serious. Endelea na nung'aembe lako linalokusumbua. Pesa na cheo chako zisikufanye ufanye uovu Mkuu namna hiyo. Bikra ni agano hivyo usiingie ktk agano ambalo huwezi kulisimamia la sivyo wewe ni mfu na utakufa tu nakwambia wala hutapata amani siku zote za maisha yako ya ubatili duniani.