Ukiniacha najiua

Ukiniacha najiua

na hao watu wa huko wanajiuaga kweli usifanye nae masihara we unaona kama utani lakini mwenzio yuko serious,kisheria aliyejinyonga ndio mwenye makosa na sababu ndio itakufanya wewe uwe na makosa

inamaana msababishi nae anashtakiwa na jamhuri?
 
Jitahidi kumpenda tu na ridhia kwa kiasi unachoweza yale anayoyataka kwani ukija mpata asiyekupenda kadhia yake ni shuruba kuu kwako.

jitihada nimeonesha na nazidi kuonesha ila naona kwake somo gumu
 
kwani we ndo mwanaume wake wa kwanza bwana, angekwa wa kujiua angejiua tokea huko alikotoka, huyo anatishia nyau na kwa kuwa ameshajua akitamka hivyo unakaa sawa. Ila kiukweli mapenzi ya hivyo huwa yanachosha si tu kwa wanaume hata wanawake asipojirekebisha iko siku atakukosa tu

kweli dada..yananichosha mnooo... ikifika usiku badala ya kulala kwa amani naanza waza kama kutakucha salama sababu ya vitisho vyake... imekua karaha badala ya raha... haya sio mapenzi ni mateso.. natafuta njia ya kujitoa kiustaarabu lakini nazo zinakwama... NIMEPATIKANA...NAJUTA NILIANZAJE
 
daaa kweli upele humkuta asiye na kucha aisee maaana.

maana tukipendwa shuguli tusipo pendwa na kutendwa kucha tunajaza thread za kulia lia hum nakuomba ushauri.
MKUU kama umependwa nawe penda hakika utaishi kwa raha sana aiseee.

sio kwamba simpendi.. LA, Ninampenda tena sana tu. tatizo ni kama nilivyosema juu... wivu umezidi kila usiku ni ugomvi anataka niwe natoa ripoti ya kila jambo ninalofanya kama natoa ripoti polisi... HAPANA MIMI SIWEZI..NASEMA SIWEZI
 
Kwani wewe ndo umemuumba??? Mwache ajiue akakutane na aliyemuumba halafu akiulizwa atoe sababu za kijinga km hizo za mapenzi
 
Mkuu pole. Ingekuwa kabila jingine ungepuuzia kauli zake. Ila hao mh! Jipe muda wa kusomana zaidi. Hakuna mambo yanayokaa vizuri kwa usiku mmoja. Hiyo inaonnyesha bado hamjasomana. Pia mkienda vyema mna future mbele. Tumeambiwa tuishi na wanawake kwa akili, so fanya hivyo

nashukuru ndugu..nitatilia maanani.
 

Pole, ila story ya mjini ni kwamba hao wakina Ndauli huwa hawatishiagi, kwao ni sheria mkononi. Halafu kama unampenda ni vema ukafikiria njia ya kusolve hiyo shida, kwasababu dawa ya tatizo sio kulikimbia. Kingine Tangia umegundua kuwa anamapenzi ya kweli ndio kitu pekee kinachotakiwa kwenye mapenzi, kasoro hazikosekani, Usipozingatia hili Utakimbia baharini ukapigembizi kwenye volkano. Kama umefatilia matatizo wanayokumbana nayo watu kwenye mapenzi hata humu JF utagundua kuwa wewe huna tatizo kabisa na ukishindwa kusolve tatizo dogo kama hilo basi wewe mwenyewe tayari ni tatizo kwenye mahusiano yenu

nimekupata...nashukuru ndugu
 
Hachelewi kujinyonga kama kiongozi wao.
Kama huna wivu jua hauna mapenzi ya dhati

kila mtu anawivu kwenye suala zima la mapenzi, sema wengine huweza kuudhibiti kwa kutokuuonesha waziwazi... nami ninao lakini ni vigumu kuuonesha kwake ndio kinachomfanya awe mbogo eti simpendi.
 
kuwa na kawaida ya kumfanyia surprise, mtafute kabla hajakutafuta...

defend yourself before you are asked to...

kwa mfano, kama day 1 utakuwa uko busy sana, mtafute mapema sana lets say saa kumi na moja alfajiri, piga nae story za kimahaba for a long time kabla hujaeleza point yako, mweleze nini utafanya na saa ngapi utakuwa free..

kwa kifupi tu ni kwamba, jaribu kuwa unamueleza ratiba zako hasa unapokuwa very tight... then unapopata uhuru, mtafute kabla hajakutafuta!!!..

hapo utakuwa umepunguza lawama kwa kiaisi kikubwa sana!.. kumbuka wahehe ni wepesi wa kujiua! lol.

Uko right mkuu
 
Mwambie apunguze wivu bana,mpe ukweli ukitaka kuchepuka unaweza bila hata yeye ku notice,wanaume hatutawaliki labda ang'oe mgegedo awe anabaki nao yeye kwenye pochi yake
Au wewe ndo wa kwanza nini kutoa bk yake?

hapana, si wa kwanza..lakini ye anasema ananiamini na kunipenda kuliko wenzangu walopita...
 
Pole mkuu najua timbwili la mwenye wivu ulipitiliza, mwenzio nlijiibia cmu mwenyewe nikabadili line lkn wapi nkasusa kutumia kwa madai imeharibika nikanunuliwa mpya, pona yangu wazazi wake walihama tz na uhusiano wetu haukuchukua mda ukavunjika kutokana na gharama za mawasiliano.
Kumwacha mtu km huyu unahitaji akili ya ziada aisee.

hahaaaa umenifurahisha kujiibia simu...
 
Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke basi jali sana hisia zake.Pia naona ni mtu ambaye hajawahi kuwa ktk uhusiano na watu wengi (hajatumika kivile).

ndio najaribu itafuta historia yake ya nyuma ingawa sipendi kuijua..inanibidi niitafute sasa.
 
Inaweza kuwa utoto. Inaweza kuwa hajui maana ya maisha. Nimeona dalili za ww kumuacha, lkn km umedhamiria kuoa usifanye hivyo. Hata unaowaona wanafuraha mbele yako na wamekaa kwa muda mrefu ktk ndoa kuna majaribu mengi nyuma yao. Moja ya njia sahihi ni kumtembeza kwa marafiki wako wenye ndoa zenye upendo na furaha ili ajifunze. Huko anaweza kupata hadithi za shida walizopitia. Pia ataambiwa kuwa hata walipo bado kuna karaha ktk baadhi ya nyakati ila huzivumilia zipite. Kuona na kusikia ni njia nzuri ya kijifunza. Usimwache maana utamkumbuka utakapoyaona ya firauni huko mbele. Hayo unayoyaona ni ya Musa tu kwa sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom