Ukiniacha najiua

Ukiniacha najiua

kuwa na kawaida ya kumfanyia surprise, mtafute kabla hajakutafuta...

defend yourself before you are asked to...

kwa mfano, kama day 1 utakuwa uko busy sana, mtafute mapema sana lets say saa kumi na moja alfajiri, piga nae story za kimahaba for a long time kabla hujaeleza point yako, mweleze nini utafanya na saa ngapi utakuwa free..

kwa kifupi tu ni kwamba, jaribu kuwa unamueleza ratiba zako hasa unapokuwa very tight... then unapopata uhuru, mtafute kabla hajakutafuta!!!..

hapo utakuwa umepunguza lawama kwa kiaisi kikubwa sana!.. kumbuka wahehe ni wepesi wa kujiua! lol.
 
Mwambie apunguze wivu bana,mpe ukweli ukitaka kuchepuka unaweza bila hata yeye ku notice,wanaume hatutawaliki labda ang'oe mgegedo awe anabaki nao yeye kwenye pochi yake
Au wewe ndo wa kwanza nini kutoa bk yake?
 
kwakweli nimekuelewa ndugu.. ngoja nianze na hilii sasa kwa maana akinitishia kujiua usiku huwa mrefu sana kwangu... najawa na mawazo tele.. Inafikia kipindi najuta kwanini nilianzisha uhusiano nae (mhehe)
 
Ukitaka kuishi vizuri na mwanamke basi jali sana hisia zake.Pia naona ni mtu ambaye hajawahi kuwa ktk uhusiano na watu wengi (hajatumika kivile).
 
Mapenzi ya kitoto, kitoto siwezi. Wewe na yeye mtakapo fikia umri wa kuona swala la maendeleo yenu ni muhimu kuliko I love u so much, upo wapi? unafanya nini? mbona toka hasubuhi ujanipigia simu? upo na nani? mbona ujaniambia kama unaenda mjini?
 
Pole mkuu najua timbwili la mwenye wivu ulipitiliza, mwenzio nlijiibia cmu mwenyewe nikabadili line lkn wapi nkasusa kutumia kwa madai imeharibika nikanunuliwa mpya, pona yangu wazazi wake walihama tz na uhusiano wetu haukuchukua mda ukavunjika kutokana na gharama za mawasiliano.
Kumwacha mtu km huyu unahitaji akili ya ziada aisee.
 
daaa kweli upele humkuta asiye na kucha aisee maaana.

maana tukipendwa shuguli tusipo pendwa na kutendwa kucha tunajaza thread za kulia lia hum nakuomba ushauri.
MKUU kama umependwa nawe penda hakika utaishi kwa raha sana aiseee.
 
kwakweli nimekuelewa ndugu.. ngoja nianze na hilii sasa kwa maana akinitishia kujiua usiku huwa mrefu sana kwangu... najawa na mawazo tele.. Inafikia kipindi najuta kwanini nilianzisha uhusiano nae (mhehe)

mkuu, ukweli nakwambia, mwanamke kiujumla, ni kiumbe ambacho hupenda surprise!

usisubiri akutafute, hiyo itakuwa chanzo cha lawama...

Be the first to say goodmorning, goodafternoon and goodevening...

jitahidi mkuu tusijemkosa mrembo wetu aisee!
 
Mwambie apunguze wivu bana,mpe ukweli ukitaka kuchepuka unaweza bila hata yeye ku notice,wanaume hatutawaliki labda ang'oe mgegedo awe anabaki nao yeye kwenye pochi yake
Au wewe ndo wa kwanza nini kutoa bk yake?

aaiseeee kumbe.......Acha kumfundisha mwenzio kuchepuka
 
wivu ni homa wakweli...ila ndo nijiue kwajili ya mtu? masihara haya..

mimime
 
Last edited by a moderator:
Wana MUM..khabarin, nimeona ni vyema nikijileta kwamaana ya dunia mengi. Hivi karibuni katika mishemishe zangu za kusaka tonge nilibahatika kutana na dada mmoja mwenyeji wa Iringa na kimasihara sana tukajikuta ndo tushakua wapenzi hivyo (nilikua single kabla yake ) nikajipa moyo na kushukuru Mungu sasa nianze maisha mapya ya mapenzi. Ni mzuri wa haja kisura na umbo.... sasa tabia ndio inaleta shida.... ananipenda naona hilo nami nampenda ILA mwenzangu wivu umezidi UPENDO. Nikichelewa kupokea simu ni ugomvi... nikichelewa kujibu ujumbe mfupi ugomvi... eti nilikua wapi? kama nafanya hivyo basi namsaliti... anataka kila muda tuwe tunaongea mimi siwezi nakataa (sababu nahitaji muda wa kufanya mambo yangu ) kila iitwayo jioni ikifika mimi naye ni ugomvi tuu.. akipigiwa simu anaanza kulia na kuniambia afanyeje ili nijue ananipenda? ama afe ndio nitajua alikua ananipenda? Ananitishia kujiua ana hasira kali mpaka hua naogopa. SASA nimechoshwa na ugomvi wa kila siku maana nimejaribu kumuelewa lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba.... sasa ninataka tuachane lakini ndio hivyo ananitishia kujiua... Je mtu akijiua kwa ajili ya mapenzi nani mtuhumiwa? aliejiua ama aliesababisha? Ninataka kumuacha kwa amani kabisa ingawa ninampenda NIFANYEJE?

Pole, ila story ya mjini ni kwamba hao wakina Ndauli huwa hawatishiagi, kwao ni sheria mkononi. Halafu kama unampenda ni vema ukafikiria njia ya kusolve hiyo shida, kwasababu dawa ya tatizo sio kulikimbia. Kingine Tangia umegundua kuwa anamapenzi ya kweli ndio kitu pekee kinachotakiwa kwenye mapenzi, kasoro hazikosekani, Usipozingatia hili Utakimbia baharini ukapigembizi kwenye volkano. Kama umefatilia matatizo wanayokumbana nayo watu kwenye mapenzi hata humu JF utagundua kuwa wewe huna tatizo kabisa na ukishindwa kusolve tatizo dogo kama hilo basi wewe mwenyewe tayari ni tatizo kwenye mahusiano yenu
 
Mkuu pole. Ingekuwa kabila jingine ungepuuzia kauli zake. Ila hao mh! Jipe muda wa kusomana zaidi. Hakuna mambo yanayokaa vizuri kwa usiku mmoja. Hiyo inaonnyesha bado hamjasomana. Pia mkienda vyema mna future mbele. Tumeambiwa tuishi na wanawake kwa akili, so fanya hivyo
 
kwakweli nimekuelewa ndugu.. ngoja nianze na hilii sasa kwa maana akinitishia kujiua usiku huwa mrefu sana kwangu... najawa na mawazo tele.. Inafikia kipindi najuta kwanini nilianzisha uhusiano nae (mhehe)
huyo rafiki yako ni member wa JF, sasa akielewa mkakati huu uliofundishwa sidhani kama itasaidia. lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom