Ukiniacha najiua

Ukiniacha najiua

Jitahidi kumpenda tu na ridhia kwa kiasi unachoweza yale anayoyataka kwani ukija mpata asiyekupenda kadhia yake ni shuruba kuu kwako.
 
daaa kweli upele humkuta asiye na kucha aisee maaana.

maana tukipendwa shuguli tusipo pendwa na kutendwa kucha tunajaza thread za kulia lia hum nakuomba ushauri.
MKUU kama umependwa nawe penda hakika utaishi kwa raha sana aiseee.

Kupendwa kwingine ni adhabu aisee
 
kwani we ndo mwanaume wake wa kwanza bwana, angekwa wa kujiua angejiua tokea huko alikotoka, huyo anatishia nyau na kwa kuwa ameshajua akitamka hivyo unakaa sawa. Ila kiukweli mapenzi ya hivyo huwa yanachosha si tu kwa wanaume hata wanawake asipojirekebisha iko siku atakukosa tu
 
Mkuu hatuna haja kuchangia umemaliza...busara zako ziko kiwango cha juu....Ni Kuweli sis wanaume tunahitaji wanawak ambao mapenzi yao yako kiwango cha juu...ndugu yetu amepta mtu wa aina hio...huyu dada kwa huyu kaka ndio kila kitu kwake yawezekana katika maisha yake...ndio kitu cha juu chenye thamani kwake....ingawaje kujiua si njiaya suluhisho....ila kweli mkuu wako watu wanaopenda namna hii...Sioni chengine ni mapenzi ya hali ya juu!
 
wivu umezidi upendo/ ni uvivu badala ya vitendo / kama hunitaki ni vema uniweke wazi/ nijue nitambue kwani mademu wako shazi/
 
Wana MMU..khabarin, nimeona ni vyema nikijileta kwamaana ya dunia mengi.

Hivi karibuni katika mishemishe zangu za kusaka tonge nilibahatika kutana na dada mmoja mwenyeji wa Iringa na kimasihara sana tukajikuta ndo tushakua wapenzi hivyo (nilikua single kabla yake ) nikajipa moyo na kushukuru Mungu sasa nianze maisha mapya ya mapenzi.

Ni mzuri wa haja kisura na umbo.... sasa tabia ndio inaleta shida.... ananipenda naona hilo nami nampenda ILA mwenzangu wivu umezidi UPENDO.

Nikichelewa kupokea simu ni ugomvi... nikichelewa kujibu ujumbe mfupi ugomvi... eti nilikua wapi?

kama nafanya hivyo basi namsaliti... anataka kila muda tuwe tunaongea mimi siwezi nakataa (sababu nahitaji muda wa kufanya mambo yangu ) kila iitwayo jioni ikifika mimi naye ni ugomvi tuu.. akipigiwa simu anaanza kulia na kuniambia afanyeje ili nijue ananipenda?

Ama afe ndio nitajua alikua ananipenda? Ananitishia kujiua ana hasira kali mpaka hua naogopa.

SASA nimechoshwa na ugomvi wa kila siku maana nimejaribu kumuelewa lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba....

sasa ninataka tuachane lakini ndio hivyo ananitishia kujiua...

Je mtu akijiua kwa ajili ya mapenzi nani mtuhumiwa?

Aliejiua ama aliesababisha? Ninataka kumuacha kwa amani kabisa ingawa ninampenda NIFANYEJE?

Huyo ua we mwenyewe kabisa kwa sababu akijiua atakutaja kwenye ujumbe atakaouacha
 
na hao watu wa huko wanajiuaga kweli usifanye nae masihara we unaona kama utani lakini mwenzio yuko serious,kisheria aliyejinyonga ndio mwenye makosa na sababu ndio itakufanya wewe uwe na makosa
 
Na isitokee,kwasababu naishi kwa amani sana hivi nilivyo
Mh..bby la bby, kumbe unanichezea tu halafu uniachee..hunipendi wala huna wivu na mimi. Ngoja nkutafutie mchepuko
 
Ana miaka mingapi mkuu! au unadate na katoto hakajielewi bado!Kuna muda hata wapenzi wanahitaji kupeana space jamani kila mara bby! bby ! ni vizuri kujiongeza muda mwingine sasa naona huyo mtu akili haijakomaa
 
Wana MMU..khabarin, nimeona ni vyema nikijileta kwamaana ya dunia mengi.

Hivi karibuni katika mishemishe zangu za kusaka tonge nilibahatika kutana na dada mmoja mwenyeji wa Iringa na kimasihara sana tukajikuta ndo tushakua wapenzi hivyo (nilikua single kabla yake ) nikajipa moyo na kushukuru Mungu sasa nianze maisha mapya ya mapenzi.

Ni mzuri wa haja kisura na umbo.... sasa tabia ndio inaleta shida.... ananipenda naona hilo nami nampenda ILA mwenzangu wivu umezidi UPENDO.

Nikichelewa kupokea simu ni ugomvi... nikichelewa kujibu ujumbe mfupi ugomvi... eti nilikua wapi?

kama nafanya hivyo basi namsaliti... anataka kila muda tuwe tunaongea mimi siwezi nakataa (sababu nahitaji muda wa kufanya mambo yangu ) kila iitwayo jioni ikifika mimi naye ni ugomvi tuu.. akipigiwa simu anaanza kulia na kuniambia afanyeje ili nijue ananipenda?

Ama afe ndio nitajua alikua ananipenda? Ananitishia kujiua ana hasira kali mpaka hua naogopa.

SASA nimechoshwa na ugomvi wa kila siku maana nimejaribu kumuelewa lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba....

sasa ninataka tuachane lakini ndio hivyo ananitishia kujiua...

Je mtu akijiua kwa ajili ya mapenzi nani mtuhumiwa?

Aliejiua ama aliesababisha? Ninataka kumuacha kwa amani kabisa ingawa ninampenda NIFANYEJE?

Hii ni laana ya babu yetu Mkwawa!

Nina uhakika hakutishii, ipo siku utathibitisha hili!
 
Ana miaka mingapi mkuu! au unadate na katoto hakajielewi bado!Kuna muda hata wapenzi wanahitaji kupeana space jamani kila mara bby! bby ! ni vizuri kujiongeza muda mwingine sasa naona huyo mtu akili haijakomaa

20 miaka. nami nahisi akili bado teta kwelii...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom