Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Haya Mama, Zichange Tu Ila Usijekosa Wa Kula Nae Tu. Seems U R Frustrated A Bit. Keep Calm, Nakushauri Pia Kaa Kando Kidogo Na Mitandao Ya Kijamii. Take It From Me
Thanks! Yes I'm so frustrated not a bit! Gotta have to spoil myself. Take a vacation outta country kabisaa. That'll do me good. Ila siwezi kukosa wa kula nae asee... Hata shamba boy? Oh please!
 
Up

Upopo sahihi sana,kwani ni rahisi kwa mwanamke Ku love back kama akipendwa kweli na mwanaume.
Lakini theoretical husband atawaumiza wadada wengi.
Mbaya zaidi unaweza kumpata,ukamshobokea agegeda papuchi na kusepa.
Dada nakushauri angalia mwanaume mwenye malengo kuliko kuendeshwa na hisia za moyo.
Hongera Dada na maandalizi mema ya Harusi.
Wacha huyu atafute chemistry na umri unakimbia.
Lol! Yaani unataka nikubali tu kidume yeyote mwenye malengo hata kama simfeel? Yaani ni kusema nikubali kula mavi eti kisa nna njaa, yakh! Hell NO!
 
Last Activity: Apr 13, 2016 at 4:10 PM
Joined: Monday
Messages: 2
Likes Received: 1
Trophy Points: 3
Gender: Female
Birthday: October 11
Hivi ulisema wewe ni msomaji mzuri wa JF?
Msomaji sio lazima awe amejiunga!
Huyu kajiunga ndio kaandika haya!
 
Lol! Vyovyote vile, kuwa muwazi ni vizuri. Ningekubali tu yaishe. Sio kuzuga tuuu na kunienjoy. Kwani mtu kuwa muwazi inamgharimu nini?
Hawezi akawa muwazi kwako anasubiri atakapooa na kufanya starehe zake zoooote aje aombe kukumbushia
 
Sema tu hukushtuka mapema.

Ukiona mwanaume amekutongoza halafu akakwambia ana mke/girlfriend ujue huna chako.

Ni njia inayotumika kuwekeza na kujihami kwa lolote litakalo tokea baadae ili usimlaumu coz atatumia kigezo kwamba alishakueleza ukweli hapo awali.
 
Hawezi kukuoa wewe sababu wewe ni cheap nadhan ndo maneno magumu ambayo inabidi uyakubali hlf uyafanyie kazi.... 1st day kakutongoza hlf kataka kukulala siku hiyo hiyo I wish ungeingia kwenye kichwa chake ujue alikuchukuliaje mpk akakufuata na approach hiyo ya kidharau kias icho au labda unaonekanaje? Safi ulimkataa sasa ulivyo mpuuzi friends wame kidanganya kichwa chako kwamba jamaa ni expensive go get him ni sawa kusema kwamba unampenda Najua wanawake hawajui wanachokipenda ila in short Najua mnapenda mwanaume expensive sasa unapataje kitu expensive while u ar cheap sasa hapo ndo hamjuagi mfanye nn na hasa tatizo lako ndo hilo nkushauri hv inabid ujue kua expensive na kutetea thamani yako full stop, mapenzi ni game tu una laki mfukoni unataka kumiliki benzi we kichaa?unamfutaje mtu aliye kuchukulia wewe kua ni demu wakutongozwa Leo na kugongwa Leo eti unadai thamani yako kwake! Hata nguo ya mtu ukitaka ipate kwa bei rhs njooo kidharau hv as if huna shida nayo uone unavyoipata kirahisi sasa toka na approach yako ya kipuuzi hivo hivo nenda mliman city ishushe thamani nguo uone km itakusaidia kupunguzwa bei..... Huu mwimbo na imba kila siku ht kwa dada zangu home acheni upuuzi jueni thamani zenu hizo hisia zenu bila akili mtagongwa mpk mkome na ndoa ng'oooo
Ukweli mchungu huu basi tu tunajitoaga ufahamu
 
Hawezi akawa muwazi kwako anasubiri atakapooa na kufanya starehe zake zoooote aje aombe kukumbushia
Lol! Kunipata kwenyewe kulimsumbua kidogo na hakua ameharibu, licha ya saivi? Sidhani kama ataweza hata kuniangalia usoni nitakapokutana nae licha ya kuwa jasiri na kuomba mchezo tena. Huyo, kasepa na mia. Na sende mwanakwenda...
 
Sema tu hukushtuka mapema.

Ukiona mwanaume amekutongoza halafu akakwambia ana mke/girlfriend ujue huna chako.

Ni njia inayotumika kuwekeza na kujihami kwa lolote litakalo tokea baadae ili usimlaumu coz atatumia kigezo kwamba alishakueleza ukweli hapo awali.
Eee ni kweli mkuu. Makosa ni yangu. Lakini je, waweza kujizuia kupenda kweli? Kisa ana mke au girlfriend ndio nisimpende? Mbona ye alinitamani na kunipenda wakati ana mtu wake? Alikuwa na haja gani ya kunipenda? Kama ni genye, si mtu unasema tuu...
 
kwa maelezo yako inaonekana unapenda kulalamika pia hutaweza kukaa na mtu maaarufu tulia huyo usiyempenda ndie mme wako
 
Habari wapendwa wa MMU,

Mimi ni msomaji mzuri sana wa JF majukwaa yote.

Nimeonelea nijisajili ili nami niweze kutoa yangu ya moyoni. Kwa kifupi tu mimi ni mwanamke, mwaka huu natimiza miaka 33, ni mfanyabiashara kwahiyo kwa kiasi kikubwa najitegemea kwa gharama ndogo ndogo. Nachoenda kuelezea ni hali halisi nnayopitia na ninaomba msinihukumu bali mnipe ushauri.

Tokea nivunje ungo, nimeshapitia mahusiano kadhaa, sitopenda kutaja idadi lakini nimewahi kupenda kwa dhati mara 2 tu. Mara ya kwanza ni kwa x wangu ambaye ndio alikuwa bf wangu wa kwanza kabisa. Baada ya kuumizwa sana na huyu x sikuwahi kupenda tena, niliingia kwenye mahusiano ili tu nisiwe mpweke ila sikuwapenda kwa dhati kabisa waliofuata. Huyo x mpenzi wangu wa dhati, ameoa mwaka jana na alinijulisha nami niliridhia kwa kuwa mapenzi yale ya dhati yalishaisha.

Sikuwahi kufikiria kuolewa kabisa baada ya kuumizwa na x mpenzi wangu huyo niliyempenda kwa dhati kwa hiyo niliamua kujisomea na kujipanga kutokuwa tegemezi hata kwa maboyfriend waliofuata. Nimekuja kupenda tena na kwa sasa nataka niolewe nianzishe familia.

Mwaka juzi nikiwa msibani nilikutana na kijana mmoja maarufu mjini akanitongoza na kutaka nikalale naye siku hio hio mi kwa kujiheshimu nikampotezea. Kusema kweli jamaa yuko vizuri, sio tu maarufu ila mpunga anao pia. Kwa upande mwingine huyu jamaa anafahamiana au niseme familia yake na familia ya ndugu zangu wameoleana kwa hiyo kuna kufahamiana zaidi ya kimjini mjini. Yeye alichukua namba yangu ya simu ila mimi sikuchukua.

Kesho yake alinipigia simu na sikupokea kwa kuwa siku hiyo niliuwa safarini na nikaamua kwamba sitopokea namba yeyote mpya. Ikapita kama miezi 3 hivi, nikiwa na dada na rafiki yangu katika story tukajikuta tunamzungumzia huyu mtu maarufu. Kwenye mazungumzo nikawaambia kuwa huyu jamaa aliwahi kunitokea ila mimi sikutilia maanani.

Basi ndugu zangu wale wakanisema kweli, "Oooh, unapoteza nafasi, wenzio wanaitafuta, mpigie simu na nini na nini". Kwa kuwa sikua na namba yake, dada yangu akanipa. Nikamwambia dada hata nikimpigia simu nitamuambia nini? Dada yangu akasema hilo niachie. Nitampigia na kuongea nae mimi. Basi nikamuachia hio ligi. Dada akapiga simu, akaongea na mshkaji wakapanga appointment.

Siku ya siku ikafika nikajiweka sawa nikaenda kukutana na jamaa kwa mara ya pili baada ya miezi 3. Kuanzia siku hio tukawa na mawasiliano mara kwa mara. Nilijikuta napata hisia za kumpenda kwa dhati huyu jamaa. Si kwa uzuri, umaarufu au pesa aliyo nayo, la hasha! Akaniomba nimpe nafasi ili anioe, nikamkubalia. Ila alinitahadharisha kwamba ana girlfriend.

Nampenda kweli na wala sikumficha, nilimuambia. Nimewahi kulala nae mara moja tu na kwa hakika alifurahia tendo. Sijawahi katika pita pita zangu kuona mwanaume amefurahia tendo kama huyo. Mwaka jana alikuwa busy sana na kampeni kwa kuwa alihusika kwa ukaribu sana na mgombea wa urais wa chama kimojawapo. Nilimpa nafasi amalizane na mikiki mikiki ya kampeni ila nikaanza kupata wasi wasi na uhusiano wetu kwa kuwa, kama nisipomtafuta mimi basi yeye hanitafuti ng'o! Nilijipa moyo kwamba labda yuko busy akitulia atanitafuta lakini wapi. Kwa kuwa nilipenda kweli sikuacha kumtafuta na kumjulia hali.

Katika kipindi hicho, nilitokewa pia na wanaume 3 waliotangaza nia ya kunioa. Kati yao, 2 nilishakuwa na mahusiano nao 1 ni mpya kabisa. Sikuwapa jibu kwa kuwa yupo nnayempenda kwa dhati na ndio nilikuwa namsikilizia. Mwaka huu ikabidi nianze kuuliza kwa uhakika kama nia ilikuwepo au la! Nikaanza na wale 2 niliokuwa na mahusiano nao.

Wote walinijibu kwamba niendelee tu na maisha yangu wao wamebadilisha mawazo. Nikashukuru, nikabaki na yule 1 ambae sijawahi kuhusiana nae mpaka sasa na anasubiri nimpe nafasi ila mi nimeogopa, huenda nae anataka anifunue tu chupi kisha asepe kwaiyo nimemuweka pending. Nikaja kumuuliza huyu mtu maarufu niliempenda kwa dhati msimamo wake majibu yake ni kwamba "ndio nilitaka kukuoa ila maisha yana changamoto na kwa sasa napitia wakati mgumu siwezi kukuelezea".

Nimejaribu kumsisitiza anipe msimamo wake kama pamoja na changamoto anazopitia kama amebadilisha mawazo au la, ili mi nifanye maamuzi, amekaa kimya. Nimemjulisha pia kwamba yupo anayetaka kuleta posa nyumbani kwaio anipe msimamo wake lakini jamaa bado hajibu, amekaa kimya tu. Nimemtafuta sana, jamaa response yake kwa kweli ni zero. Namuandikia msgs kwenye whatsapp, naona anasoma lakini hajibu. Nampigia simu hapokei.

Hitimisho!
Jamani, mimi nampenda sana huyu jamaa huyo mwengine sina kabisa hisia za kumpenda. Natongozwa kila ya leo lakini kila nikitongozwa namuwaza tu huyu mpenzi wangu maarufu. Nikipenda napenda kweli. Ningependa kuishi na mtu ninayempenda kwa dhati na sio tu kwasababu ya umri nikimbilie kuolewa na mtu nisiyempenda. Ndoa itanishinda. Kinachoniuma ni kwamba yeye hataki kuwa muwazi kwangu. Aniambie tu msimamo wake, mie nitaridhika na jibu lolote, hata ikiwa kumkosa kabisa mie nipo radhi. Nisaidieni nipo njia panda.

Asanteni na karibuni kwa michango.
Mwombe Mungu atakusaidia
 
Sure! Nimeghairi kabisaa swala la mahusiano kwa sasa. Nimeamini hakuna cha mapenzi wala nn. Pesa mbele! Kwa sasa, nazichanga tu. Nikizikusanya za kutosha, watakuja tuu. Siki hizi wanaume hawaangalii tena sura, shepu, tabia, na vile vigezo vingine. Naona kibao kimegeuka, hata wanaume wanaangalia pochi kama imejaa au la. Soo, wacha nisake maela. Nkishakuwa nazo, nami ntafanya kuwatumia tu... Wai!
safi sana ukiwa na pesa ata heshima kwenye mahusiano utapata kuliko kuwa tegemezi
 
Nyie hamjapenda.. Endeleeni kuhukumu. Yakiwakuta, jinyongeni wala msije JF kuomba ushauri.
Hahaaaaa Murete bila maneno makali huwezi msahau huyo mjinga mjinga, af siku nyingine usijitoe mzima mzima hivyo, mapenzi yashaisha kitambo
 
i bet you'rent serious asee, all those signs hujagundua, with that age? no you are joking madam... anyway go find another man, uyo ashapata alichokuwa anatafuta, umeshamvulia what you wanna him to do? labda kama sio famous.. 33yrs and you are telling us those shit? are you sure you didnt know kuwa keshakutema? i feel sorry for you...

ushauri. achana nae... kwani wanaume si wengi tu dada.... mim mmoja wapo but nina 28yrs..
 
Back
Top Bottom