Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

aise una moyo ww mdau mpaka nimeshindwa kushangaa yani matendo yote hayo hauwezi kusoma alama za nyakati cheza na muda tu utakuta mwana sio wako aise
Mkuu, Kipenda roho, hula nyama mbichi. Yap! Kwa kuwa nilipenda, nilifunga macho. As the english say... LOVE IS BLIND & CRAZY!
 
Olewa Na Utapenda Mbele Ya Safari. Mwenzio Anavizia Vibinti Vichanga Sasa. Anaogopa Atakuumiza Akikuoa So Anawaza Umuache Wewe. Kama Vipi Njoo Kwangu, Utanipenda Bila Shaka
 
Olewa Na Utapenda Mbele Ya Safari. Mwenzio Anavizia Vibinti Vichanga Sasa. Anaogopa Atakuumiza Akikuoa So Anawaza Umuache Wewe. Kama Vipi Njoo Kwangu, Utanipenda Bila Shaka
Lol! Asante kwa offer yako. Ila kuolewa sio lazima.
 
Pole sana mrembo atakuja tu gentlemen mwingine cha kukushauri jipe break ya mahusiano walau six months kujitafakari umekosea wapi na kipi unatakiwa kufanya
Sure! Nimeghairi kabisaa swala la mahusiano kwa sasa. Nimeamini hakuna cha mapenzi wala nn. Pesa mbele! Kwa sasa, nazichanga tu. Nikizikusanya za kutosha, watakuja tuu. Siki hizi wanaume hawaangalii tena sura, shepu, tabia, na vile vigezo vingine. Naona kibao kimegeuka, hata wanaume wanaangalia pochi kama imejaa au la. Soo, wacha nisake maela. Nkishakuwa nazo, nami ntafanya kuwatumia tu... Wai!
 
All the best kwenye utafutaji wa njuruku
 
Sawa... Nae ni binadamu hana lolote special. Yatamkuta tuu. Nna uhakika, kwa ubaradhuli wake huu hajaniumiza mimi tuu. Lazima kaumiza wengine kawaumiza same.
Bt lkn muache kudharau wale ambao wanawapenda wakiwa hawana pesanaweka madarau tambua mtu maarufuu anakua n wengi
 
KABLA SIJATOA USHAURI WANGU..WEKA PICHA YAKO AU HATA PICHA ZA DADA ZAKO NA MARAFIKI WAKO WA KARIBU NITAKUJIBU.

SHOW ME YOUR FRIENDS AND I WILL TELL WHO YOU ARE....
INAWEZEKANA WEWE MAMA SUKARI KWANINI WATU WASIJE-KUKUNYWEA CHAI BANA...KILA MWENYE HAMU NA CHAI YUAJA KUCHUKUA SUKARI JAPO KIJIKO KIMOJA.
 
Kwa Sasa Utasema Si Lazima Ila Ule Wakati Ukifika Usije Sikitika. Ur Mind Must Be Supple Now. I Still Propose
Kusema kweli, asante sanaa! Wakati ndio huu... Kama unapita na upite tu. Ndoa zenyewe za cku hizi majanga matupu. Ni ya wazazi wangu na ndugu zangu wa kuzaliwa ndio naona zina afya. Nuingine zinazonizunguka zote ni majipu tu.
 
K
Nimewazaaa nikaona nikama vile dimond akwambie nakupenda kuliko zari ahaaaaaa wakati unajua haiwezekani coz hata leo dogo akifulia anaenda kuchuma kwa zari. Mjanja yule ndo maana alimuimbia je utanipenda? Na kweli ataachwa chezea wa nigeria wewe!

Sasa diyaaa unasubiri nn pole sana kwa kupenda kupitiliza, ohh umesema ni maarufu? Sasa dia huoni hiyo sio type wako? Huoni huyo anafukuzia watoto wa wakubwa akiwemo binti wa mgombea alokuwa anampigia debe??

nisikilize kwa makini kamwe usifanye makosa haya from now.

1: usipende mwanaume hensam
2. Usipende mtu maarufu
3. Na kwa sasa usipende mtu unaemzidi umri,
4, huyo usiempenda nae achana nae coz umesema humpendi sasa huoni unampotezea mda kwa wanaompenda!?

Mwasho angalia mtu mwingine mapema iwezekanavyo tena leo hii futa no zake!
Kwahiyo mumeo si handsome, sasa ukitumia vigezo vipi?
 
Muretee Unasema Mi sijawai pendaaa Thubutu...mbona we naona hujapenda mpaka unashika Simu unaandika Mimi nilipata Love insane....uchizi Wa mapenzi....nikasimama Na Masomo...iyooo iilikuwa kitambo...sasa kwa kuyajjua mambo hayoo yalicyoo ndoo Maana nikkakwambia straight bila hayaa..halafu my Sweety friend Murete ni kwamba una matter sijasema huwezi pata hapana la hasha unapata but chances zinapunguaa Unajifananisha.Na Akina JLo. mwenzangu hukoo.Ni Developed Country..Na Hapa Ni Developing country.
don't dare to Compare my Diaaaa...Halafu..usijidanganyewala usisemee Eti Hajakwambiaaa angekwambiaa tu.Upo Dunia Gani my love...sasa huyo Ndo aliyekuacha kuliko hata waliokwambia...kifupi IPO ivi..we Kuna wanaume huwa hauwapendi au unawapuuza huwa hata ukiona SMS zao au calls zao hujisumbui.nao..unaona...so that shit man of yours is gone for good...
 
KABLA SIJATOA USHAURI WANGU..WEKA PICHA YAKO AU HATA PICHA ZA DADA ZAKO NA MARAFIKI WAKO WA KARIBU NITAKUJIBU.

SHOW ME YOUR FRIENDS AND I WILL TELL WHO YOU ARE....
INAWEZEKANA WEWE MAMA SUKARI KWANINI WATU WASIJE-KUKUNYWEA CHAI BANA...KILA MWENYE HAMU NA CHAI YUAJA KUCHUKUA SUKARI JAPO KIJIKO KIMOJA.
Lol! Siwezi kuji-expose huku. Na ndio maana pia natumia fake id.
Ila, ukweli ni kwamba I'm beautiful, sexy, smart, brave & intelligent to mention a few. Sijisifii ila nikiitokea penye wanaume marijali, lazima udinde kinamna. Ila najiheshimu, kwa hiyo suala la kugawa ni pale nnapotaka mimi, sio kwa kushinikizwa at all.
Marafiki zangu, dada zangu na wengineo wazuri pia.
Asante
 
Up
Imewahi kunitokea na nimeshajifunza my dear.Unachotakiwa kuwa makini ni uhakikishe mwanaume amekupenda yeye.Sio amekutamani .Amekupenda
Tena na wewe ulivyo na msimamo ukipata anayekupenda hatobanduka nakwambia ukweli kutoka moyoni mwangu.
Mwanaume akifa akioza kwako you love him back kuliko kusubiri utayempenda wewe.Huyo ni imaginary husband hayupo duniani.Hata mimi naelekea kuolewa na mtu anayenipenda sana ila mimi nampenda kawaida.Naamini ndoa itakuwa nzuri coz hatanisababishia kichaa.
Upopo sahihi sana,kwani ni rahisi kwa mwanamke Ku love back kama akipendwa kweli na mwanaume.
Lakini theoretical husband atawaumiza wadada wengi.
Mbaya zaidi unaweza kumpata,ukamshobokea agegeda papuchi na kusepa.
Dada nakushauri angalia mwanaume mwenye malengo kuliko kuendeshwa na hisia za moyo.
Hongera Dada na maandalizi mema ya Harusi.
Wacha huyu atafute chemistry na umri unakimbia.
 
Muretee Unasema Mi sijawai pendaaa Thubutu...mbona we naona hujapenda mpaka unashika Simu unaandika Mimi nilipata Love insane....uchizi Wa mapenzi....nikasimama Na Masomo...iyooo iilikuwa kitambo...sasa kwa kuyajjua mambo hayoo yalicyoo ndoo Maana nikkakwambia straight bila hayaa..halafu my Sweety friend Murete ni kwamba una matter sijasema huwezi pata hapana la hasha unapata but chances zinapunguaa Unajifananisha.Na Akina JLo. mwenzangu hukoo.Ni Developed Country..Na Hapa Ni Developing country.
don't dare to Compare my Diaaaa...Halafu..usijidanganyewala usisemee Eti Hajakwambiaaa angekwambiaa tu.Upo Dunia Gani my love...sasa huyo Ndo aliyekuacha kuliko hata waliokwambia...kifupi IPO ivi..we Kuna wanaume huwa hauwapendi au unawapuuza huwa hata ukiona SMS zao au calls zao hujisumbui.nao..unaona...so that shit man of yours is gone for good...
I don't ignore anyone. I traet all people equally no matter their status my dear. Na mimi sio kwamba sikuwahi kuumia huko nyuma. Maelezo yangu yapo clear kabisa niliposema nilishatendwa huko nyuma na ikanikata stimu. Niliapa kutopenda tena... Ila ndio ikatokea sasa. Hata wewe inaweza kujirudia. Omba Mungu ikijirudia ikute huyo unayempenda naye anakupenda pia. Otherwise ni majanga! Oh! Kujifananisha na JLo? My dear, we all living in a planet earth. No body is special. Naweza kua tz leo kesho nikawa pengine tofauti. I know I can get a better man no matter my age from anywhere & at any time. Labda nife leo...
 
Kusema kweli, asante sanaa! Wakati ndio huu... Kama unapita na upite tu. Ndoa zenyewe za cku hizi majanga matupu. Ni ya wazazi wangu na ndugu zangu wa kuzaliwa ndio naona zina afya. Nuingine zinazonizunguka zote ni majipu tu.
Haya Mama, Zichange Tu Ila Usijekosa Wa Kula Nae Tu. Seems U R Frustrated A Bit. Keep Calm, Nakushauri Pia Kaa Kando Kidogo Na Mitandao Ya Kijamii. Take It From Me
 
Back
Top Bottom