Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Bibie una miaka 33 hujajua tu kuwa huna chako hapo??

Watu maarufu na wenye hela kama mimi profile zao huwa ni kumega tu na kuacha, unapomtamkia tu suala la ndoa kengele inagonga kichwani.

Yawezekana anao kama tisa hivi, na wote wanajisifia kama wewe kuwa walimpa mahaba mpaka akafurahia haswaa.

Kifupi umeshapigwa chini, jiongeze tafuta mahali serious, achana na watu maarufu, watu serious na ndoa huwa ni watu decent ambao nyie wakina dada huwa mnawaona " washamba fulani hivi"

Na huo ndio ukweli mchungu, hutaki unaacha
Mkuu umempa ukweli halisia, kama ana akili na alifundwa, ataufanyia kazi ushauri wako.
 
dah pole sana nadhani ni wakati wa kubaki kama ulivyokwanza ili uangalie aliyebora. hakuna kitu kibaya kama kuanzisha uhusiano ambao hauna faida. kuanzisha mahusiano ili mradi uonekane upo katika mahusiano.

nilichokiona mimi kwa huyo superstar ni kwamba hakuwa na lengo na wewe bali kuichungulia chupi yako kisha kuondoka.

pia hata wewe hakuwa katika mawazo yako bali kutokana na ushawishi wa ndugu zako ulijikuta umeingia bila kufikiria.
kule kulala naye na kumpa mapenzi Yako, ilikuwa tiketi ya kumuondoa katika moyo wako.

Jiulize utakuwa mstareheshaji watu mpaka lini? chunguza kwanza kabla ya kuamua na usiwavulie chupi tena mpaka mmoja wao atakapokuoa. MUNGU AKUSIMAMIE
 
Wanawake bhana me hata siwaelewagi

We first time amekutongoza akaomba game bado hujamjua huyo jamaa ni wa aina gani. Anakuambia anagirl friend anampenda bado hujajua tu kusudi, mwisho wa siku ameomba game simple jamaa limegegeda afu apokei cm zako bado hujajua. Alafu unamiaka 33 we itakuwa mchaga unataka ela za huyo jamaa
Lol! Haya.. Asante kwa mchango wako
 
Asante kwa busara zako mkuu.. Ubarikiwe
 
Pheeew!!!
 
Habari wapendwa wa MMU,

Mimi ni msomaji mzuri sana wa JF majukwaa yote.

Nimeonelea nijisajili ili nami niweze kutoa yangu ya moyoni. Kwa kifupi tu mimi ni mwanamke, mwaka huu natimiza miaka 33, ni mfanyabiashara kwahiyo kwa kiasi kikubwa najitegemea kwa gharama ndogo ndogo. Nachoenda kuelezea ni hali halisi nnayopitia na ninaomba msinihukumu bali mnipe ushauri.

Tokea nivunje ungo, nimeshapitia mahusiano kadhaa, sitopenda kutaja idadi lakini nimewahi kupenda kwa dhati mara 2 tu. Mara ya kwanza ni kwa x wangu ambaye ndio alikuwa bf wangu wa kwanza kabisa. Baada ya kuumizwa sana na huyu x sikuwahi kupenda tena, niliingia kwenye mahusiano ili tu nisiwe mpweke ila sikuwapenda kwa dhati kabisa waliofuata. Huyo x mpenzi wangu wa dhati, ameoa mwaka jana na alinijulisha nami niliridhia kwa kuwa mapenzi yale ya dhati yalishaisha.

Sikuwahi kufikiria kuolewa kabisa baada ya kuumizwa na x mpenzi wangu huyo niliyempenda kwa dhati kwa hiyo niliamua kujisomea na kujipanga kutokuwa tegemezi hata kwa maboyfriend waliofuata. Nimekuja kupenda tena na kwa sasa nataka niolewe nianzishe familia.

Mwaka juzi nikiwa msibani nilikutana na kijana mmoja maarufu mjini akanitongoza na kutaka nikalale naye siku hio hio mi kwa kujiheshimu nikampotezea. Kusema kweli jamaa yuko vizuri, sio tu maarufu ila mpunga anao pia. Kwa upande mwingine huyu jamaa anafahamiana au niseme familia yake na familia ya ndugu zangu wameoleana kwa hiyo kuna kufahamiana zaidi ya kimjini mjini. Yeye alichukua namba yangu ya simu ila mimi sikuchukua.

Kesho yake alinipigia simu na sikupokea kwa kuwa siku hiyo niliuwa safarini na nikaamua kwamba sitopokea namba yeyote mpya. Ikapita kama miezi 3 hivi, nikiwa na dada na rafiki yangu katika story tukajikuta tunamzungumzia huyu mtu maarufu. Kwenye mazungumzo nikawaambia kuwa huyu jamaa aliwahi kunitokea ila mimi sikutilia maanani.

Basi ndugu zangu wale wakanisema kweli, "Oooh, unapoteza nafasi, wenzio wanaitafuta, mpigie simu na nini na nini". Kwa kuwa sikua na namba yake, dada yangu akanipa. Nikamwambia dada hata nikimpigia simu nitamuambia nini? Dada yangu akasema hilo niachie. Nitampigia na kuongea nae mimi. Basi nikamuachia hio ligi. Dada akapiga simu, akaongea na mshkaji wakapanga appointment.

Siku ya siku ikafika nikajiweka sawa nikaenda kukutana na jamaa kwa mara ya pili baada ya miezi 3. Kuanzia siku hio tukawa na mawasiliano mara kwa mara. Nilijikuta napata hisia za kumpenda kwa dhati huyu jamaa. Si kwa uzuri, umaarufu au pesa aliyo nayo, la hasha! Akaniomba nimpe nafasi ili anioe, nikamkubalia. Ila alinitahadharisha kwamba ana girlfriend.

Nampenda kweli na wala sikumficha, nilimuambia. Nimewahi kulala nae mara moja tu na kwa hakika alifurahia tendo. Sijawahi katika pita pita zangu kuona mwanaume amefurahia tendo kama huyo. Mwaka jana alikuwa busy sana na kampeni kwa kuwa alihusika kwa ukaribu sana na mgombea wa urais wa chama kimojawapo. Nilimpa nafasi amalizane na mikiki mikiki ya kampeni ila nikaanza kupata wasi wasi na uhusiano wetu kwa kuwa, kama nisipomtafuta mimi basi yeye hanitafuti ng'o! Nilijipa moyo kwamba labda yuko busy akitulia atanitafuta lakini wapi. Kwa kuwa nilipenda kweli sikuacha kumtafuta na kumjulia hali.

Katika kipindi hicho, nilitokewa pia na wanaume 3 waliotangaza nia ya kunioa. Kati yao, 2 nilishakuwa na mahusiano nao 1 ni mpya kabisa. Sikuwapa jibu kwa kuwa yupo nnayempenda kwa dhati na ndio nilikuwa namsikilizia. Mwaka huu ikabidi nianze kuuliza kwa uhakika kama nia ilikuwepo au la! Nikaanza na wale 2 niliokuwa na mahusiano nao.

Wote walinijibu kwamba niendelee tu na maisha yangu wao wamebadilisha mawazo. Nikashukuru, nikabaki na yule 1 ambae sijawahi kuhusiana nae mpaka sasa na anasubiri nimpe nafasi ila mi nimeogopa, huenda nae anataka anifunue tu chupi kisha asepe kwaiyo nimemuweka pending. Nikaja kumuuliza huyu mtu maarufu niliempenda kwa dhati msimamo wake majibu yake ni kwamba "ndio nilitaka kukuoa ila maisha yana changamoto na kwa sasa napitia wakati mgumu siwezi kukuelezea".

Nimejaribu kumsisitiza anipe msimamo wake kama pamoja na changamoto anazopitia kama amebadilisha mawazo au la, ili mi nifanye maamuzi, amekaa kimya. Nimemjulisha pia kwamba yupo anayetaka kuleta posa nyumbani kwaio anipe msimamo wake lakini jamaa bado hajibu, amekaa kimya tu. Nimemtafuta sana, jamaa response yake kwa kweli ni zero. Namuandikia msgs kwenye whatsapp, naona anasoma lakini hajibu. Nampigia simu hapokei.

Hitimisho!
Jamani, mimi nampenda sana huyu jamaa huyo mwengine sina kabisa hisia za kumpenda. Natongozwa kila ya leo lakini kila nikitongozwa namuwaza tu huyu mpenzi wangu maarufu. Nikipenda napenda kweli. Ningependa kuishi na mtu ninayempenda kwa dhati na sio tu kwasababu ya umri nikimbilie kuolewa na mtu nisiyempenda. Ndoa itanishinda. Kinachoniuma ni kwamba yeye hataki kuwa muwazi kwangu. Aniambie tu msimamo wake, mie nitaridhika na jibu lolote, hata ikiwa kumkosa kabisa mie nipo radhi. Nisaidieni nipo njia panda.

Asanteni na karibuni kwa michango.
mjini kuna jam ngoja iishee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu kambi7.. Afadhali nimecheka leo na reply yako
Lol!
 
mi nawashangaa sana wanawake wanapolalamika kuwa kanivua chupi kisha kaniacha, au anataka tu kunivua chupi, kwani sie wanaume huwa tuna du huku tumevaa pichu zetu. hata sie twavua pia bwana.
 
mi nawashangaa sana wanawake wanapolalamika kuwa kanivua chupi kisha kaniacha, au anataka tu kunivua chupi, kwani sie wanaume huwa tuna du huku tumevaa pichu zetu. hata sie twavua pia bwana.
Mkuu nisome vizuri. Sijalalamika kuvuliwa pichu. Hajanikuta bikra.. Wote tulivuana tukafurahia tendo na wala hio hainiumi. Pia, nikipata genye na nikataka kukata kiu hayo ni maamuzi yangu. Inategemea nimependezwa na nani anikate kiu. Kwa hiyo usichukulie kwamba kutiwa ni ishu saana. Naweza kutumia hata dildo nikiamua. Kinachonikwaza ni yy kutoa ahadi ya uongo tena mbaya zaidi mbele za watu. Halafu namuuliza hasemi msimamo wake. Huoni ni kuharibiana chances mkuu?!
 
Chaguo maalum kwenu nyote nyie mlionihukumu. Na uzi umefungwa!
 
Back
Top Bottom