Heart, asante!You said it all brother! Sio dhambi kufall for a star/famous person... ila tu hawa watu ukichagua kuwapenda then ukubali yote,sio watu ambao unaweza ukaingiza miguu yako yote kwenye mahusiano.Wana mambo mengi ya kidunia,na huwa wanachelewa sana kufanya maamuzi ya msingi ya kimaisha kutokana mazingira yanayowazunguka. Pole sana mdada ...hapo it's clear,he's no longer interested with you.
Natamanni ningekua singleSawa kabisa... Wacha nitembeze yebox2
Learn the hard way ... Accept the truth and let go the feeling. Asikudanganye mtu you can get married even at 40,ili mradi uwe na the right person ulieridhika nae kwa hali zote.. Tunajifunza kutokana na makosa.Heart, asante!
Siwezi kupinga kwamba jamaa hana tena interest. Ukweli huu niliuona ila as the english say, LOVE IS BLIND. Nimeusikiliza moyo zaidi ya kutumia akili
Eee kweli nililiona hili. Ila nilitaka tu nipate mawazo kutoka kwa watu tofauti. Pengine inawezekana ninakosea kuhukumu. AsanteDada kweli kusoma hujui basi hata picha huioni...
Haitaki tochi hiyo......
Hapo umerula , huyo ni mpita njia tu keshaku delete.
Natamani sana angeniambia hivo. Ingenipa ahueni sana kwani kwenye maisha binadamu hapati kile anachotaka bali kile anachohitaji. Na mimi napenda kuwa muwazi na ndio maana nilifurahi alipokuwa muwazi kwa kuniambia ukweli kuhusu girlfriend. Basi angeendelea na huo uwazi basi kusema msimamo wake kuliko kuniacha njia panda.Hahahaaa utafyte anayekupenda hivii mwanamke anapendaga kbl mwanaume hajamtamkia au akimtamkia? Huyo unampendea sifa za dada zako. Aliyeko serious ndo wako huyo kumbuka alishakuambia ninagirlfrnd just imagne kesho kukuambia chukuwa time atashndwa? Always nasema fungueni akili acheni kwenda kinyumbuuuu
Kila mtu ana siku yake rafiki!!..... Hata wewe siku ya kumshobokea mtu maarufu inakuja, believe me rafiki!muda mwingine wanawake huwa tunajishisha thamani mnoo...
Murete eeeee... uuushoo kusoma ujui hata kuangalia picha huwezi? Hivi mtoto wa kike maamuzi huna wewe kbsaaaa ktk maisha yko? Umesubiri kakutongoza umekubali na umefanya tabia mbaya sawaaaa hata mi nafanyaga ila mtu unamuona hasomeki hushtukii umetuliaas unataka akwambie mi sina mpango na wewe kwanza K yko inanuka au imejaa maji so unifai ndio utafungua akili! Ondokaaa kwake kama hutaki basi liaaliaaa kama wa 18yrs.Natamani sana angeniambia hivo. Ingenipa ahueni sana kwani kwenye maisha binadamu hapati kile anachotaka bali kile anachohitaji. Na mimi napenda kuwa muwazi na ndio maana nilifurahi alipokuwa muwazi kwa kuniambia ukweli kuhusu girlfriend. Basi angeendelea na huo uwazi basi kusema msimamo wake kuliko kuniacha njia panda.
Lol! Vyovyote vile, kuwa muwazi ni vizuri. Ningekubali tu yaishe. Sio kuzuga tuuu na kunienjoy. Kwani mtu kuwa muwazi inamgharimu nini?Murete eeeee... uuushoo kusoma ujui hata kuangalia picha huwezi? Hivi mtoto wa kike maamuzi huna wewe kbsaaaa ktk maisha yko? Umesubiri kakutongoza umekubali na umefanya tabia mbaya sawaaaa hata mi nafanyaga ila mtu unamuona hasomeki hushtukii umetuliaas unataka akwambie mi sina mpango na wewe kwanza K yko inanuka au imejaa maji so unifai ndio utafungua akili! Ondokaaa kwake kama hutaki basi liaaliaaa kama wa 18yrs.
Oooiii utajua wewe endelea kungangania after short piriod njoo tupe mrejesho umefkia wapi na loshuuko wako!Lol! Vyovyote vile, kuwa muwazi ni vizuri. Ningekubali tu yaishe. Sio kuzuga tuuu na kunienjoy. Kwani mtu kuwa muwazi inamgharimu nini?
Kidhungu kina wanyewe, hata kama nimeelewa lakini mishipa yote ya fahamu inauma.Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??
Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.
The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.