Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

Naona umekomalia hilo mkuu. I'm not cheap. Ni vile hunijui ndio maana unanichukulia poa, but mimi sio cheap kama unavodhani. Huo ni mtazamo wako, wewe wasema.
Cheap tu kwenye macho ya huyo unae mpenda Bisha hivo hivo uone sasa
 
Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??

Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.

The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.
Nimeipenda sana comment yako ulivyoiweka,

Eti hanijibu anakaa kimya tu, kama kusoma hujui( i mean namwuliza mtoa mada) angalia basi picha halisi.

hahahahhaha you made my day kwa kweli.

Hivi bado kuna wadada wenye akili mbofumbofu eeeee,

Never repeat the mistake you made at first, ulivyomchunia ungeendelea tu na mwanaume yeyote aliye serious kukuoa hawez omba game siku ya kwanza.

Just take note.
 
Ha ha haaaaa Jamni mbavu zangu!!!!!!! nimeshajirekebisha naomba unitafute tena.
 
Bibie...Kupenda mtu inachukua muda. Sikurupukagi hata siku moja. I take my time to see if there's chemistry or not. Mie sio mwanamke wa kushobokea mtu kisa pesa & umaarufu. Nimezaliwa kwenye pesa, najua kuzisaka hazinipi kiwewe. Na kama kudate matajiri, nimedate... ningekuwa nawehuka na utajiri si ningeshaolewa long time? Halafuu naanzaje kumtafuta mtu ambaye sijampenda? Alinitongoza yeye na kuniomba nafasi kwa adabu kabisaaa. Hio ni baaada ya kuona sishobokei chenchi zake au umaarufu wake. U feel me? Hunijui, don't judge me!

NANUKUU:: Mwaka juzi nikiwa msibani nilikutana na kijana mmoja maarufu mjini akanitongoza na kutaka nikalale naye siku hio hio mi kwa kujiheshimu nikampotezea. Kusema kweli jamaa yuko vizuri, sio tu maarufu ila mpunga anao pia...HAYA MAELEZO TU NI WAZI UMESHOBOKEA UMAARUFU NA PESA, Mwanamke anaejitambua angalau angesema ukimuona Mpole, Mtanashati ni mtu wa Mungu na hata familia yao ni watu wanaojiheshimu (Wewe umewehuka na Mpunga na umaarufu).

KITU CHA PILI, Si kweli kama jamaa alikutokea kwa adabu acha kujipa moyo Mwanaume ambae anakupenda kwa dhati, na kukuheshimu hasa hana haraka na papuchi, lakini kama ungekuwa unajitambua ile siku ya kwanza kuonana na kukuomba papuchi kuna grade alikuweka hakutaka kupoteza muda sabab hakuwa na malengo na wewe.

Kama ulidate na watu matajiri bado tunarudi pale pale wewe UNACHOANGALIA MSHIKO, Hao wengine wa 3 uliwaweka pending sabab ni decent na wana maisha yao ya kawaida, lakin Macho yako yanakutoka kwa watu wenye pesa, na watu design hizo hawana mpango ni wachezeaji wakishakuvua chupi basi visingizio tele, KIUFUPI HUYO MTU WAKO MAARUFU AMESHAKUVUA CHUPI KAMA ULIVYOVULIWA NA HAO MATAJIRI WENGINE, Kwahiyo na yeye muweke kwenye hesabu kama ni wa 68 au 69 ila hana mapenzi na wewe, na wala hamna ndoa hapo, tayari alishakueleza ana girlfriend wake, ni wazi anampenda yeye zaidi ndio maana alithubutu kukutamkia, ati unaangalia Chemisry kama unaangalia Chemistry.

Siku uloshawishiwa na dada zako na ndugu zako, mpaka dada akaamua kukuunganisha ni wazi mwanaume alikuwa ameshakupoteza, mwanaume anaependa kwa dhati hasa, baada ya kutopokea simu angeendelea kusumbua kwa simu, na hata msg, lakin ulipoacha kupokea na yeye akapotezea, mpaka ukashindwa jinsi ya kujirudisha baada ya kushawishiwa na mwanaume kwa vile alikuwa hana shida na wewe alikutamkia kuwa ana g.f. kwa makusudi ili ukate tamaa, lakini kwa vile umewehuka na pesa na umaarufu bado ukaenda mvulia chupi ukidhani una jipya utamuonyesha, MATOKEO YAKE Papuchi kala na kakata mawasiliano , katafute ubuyu ukune.
 
Habari wapendwa wa mmu,

Mimi ni msomaji mzuri sana wa JF majukwaa yote. Nimeonelea nijisajili ili nami niweze kutoa yangu ya moyoni. Kwa kifupi tu mimi ni mwanamke, mwaka huu natimiza miaka 33, ni mfanya biashara kwa hio kwa kiasi kikubwa najitegemea kwa gharama ndogo ndogo. Nachoenda kuelezea ni hali halisi nnayopitia na ninaomba msinihukumu bali mnipe ushauri.

Tokea nivunje ungo, nimeshapitia mahusiano kadhaa, sitopenda kutaja idadi lakini nimewahi kupenda kwa dhati mara 2 tu. Mara ya kwanza ni kwa x wangu ambaye ndio alikuwa bf wangu wa kwanza kabisa. Baada ya kuumizwa sana na huyu x sikuwahi kupenda tena, niliingia kwenye mahusiano ili tu nisiwe mpweke ila sikuwapenda kwa dhati kabisa waliofuata. Huyo x mpenzi wangu wa dhati, ameoa mwaka jana na alinijulisha nami niliridhia kwa kuwa mapenzi yale ya dhati yalishaisha.

Sikuwahi kufikiria kuolewa kabisa baada ya kuumizwa na x mpenzi wangu huyo niliyempenda kwa dhati kwa hiyo niliamua kujisomea na kujipanga kutokuwa tegemezi hata kwa maboyfriend waliofuata. Nimekuja kupenda tena na kwa sasa nataka niolewe nianzishe familia.

Mwaka juzi nikiwa msibani nilikutana na kijana mmoja maarufu mjini akanitongoza na kutaka nikalale naye siku hio hio mi kwa kujiheshimu nikampotezea. Kusema kweli jamaa yuko vizuri, sio tu maarufu ila mpunga anao pia. Kwa upande mwingine huyu jamaa anafahamiana au niseme familia yake na familia ya ndugu zangu wameoleana kwa hiyo kuna kufahamiana zaidi ya kimjini mjini. Yeye alichukua namba yangu ya simu ila mimi sikuchukua.

Kesho yake alinipigia simu na sikupokea kwa kuwa siku hiyo niliuwa safarini na nikaamua kwamba sitopokea namba yeyote mpya. Ikapita kama miezi 3 hivi, nikiwa na dada na rafiki yangu katika story tukajikuta tunamzungumzia huyu mtu maarufu. Kwenye mazungumzo nikawaambia kuwa huyu jamaa aliwahi kunitokea ila mimi sikutilia maanani. Basi ndugu zangu wale wakanisema kweli, "Oooh, unapoteza nafasi, wenzio wanaitafuta, mpigie simu na nini na nini". Kwa kuwa sikua na namba yake, dada yangu akanipa. Nikamwambia dada hata nikimpigia simu nitamuambia nini? Dada yangu akasema hilo niachie. Nitampigia na kuongea nae mimi. Basi nikamuachia hio ligi. Dada akapiga simu, akaongea na mshkaji wakapanga appointment.

Siku ya siku ikafika nikajiweka sawa nikaenda kukutana na jamaa kwa mara ya pili baada ya miezi 3. Kuanzia siku hio tukawa na mawasiliano mara kwa mara. Nilijikuta napata hisia za kumpenda kwa dhati huyu jamaa. Si kwa uzuri, umaarufu au pesa aliyo nayo, la hasha! Akaniomba nimpe nafasi ili anioe, nikamkubalia. Ila alinitahadharisha kwamba ana girlfriend. Nampenda kweli na wala sikumficha, nilimuambia. Nimewahi kulala nae mara moja tu na kwa hakika alifurahia tendo. Sijawahi ktk pita pita zangu kuona mwanaume amefurahia tendo kama huyo. Mwaka jana alikuwa busy sana na kampeni kwa kuwa alihusika kwa ukaribu sana na mgombea wa urais wa chama kimojawapo. Nilimpa nafasi amalizane na mikiki mikiki ya kampeni ila nikaanza kupata wasi wasi na uhusiano wetu kwa kuwa, kama nisipomtafuta mimi basi yeye hanitafuti ng'o! nilijipa moyo kwamba labda yuko busy akitulia atanitafuta lakini wapi. Kwa kuwa nilipenda kweli sikuacha kumtafuta na kumjulia hali.

Katika kipindi hicho, nilitokewa pia na wanaume 3 waliotangaza nia ya kunioa. Kati yao, 2 nilishakuwa na mahusiano nao 1 ni mpya kabisa. Sikuwapa jibu kwa kuwa yupo nnayempenda kwa dhati na ndio nilikuwa namsikilizia. Mwaka huu ikabidi nianze kuuliza kwa uhakika kama nia ilikuwepo au la! Nikaanza na wale 2 niliokuwa na mahusiano nao. Wote walinijibu kwamba niendelee tu na maisha yangu wao wamebadilisha mawazo. Nikashukuru, nikabaki na yule 1 ambae sijawahi kuhusiana nae mpaka sasa na anasubiri nimpe nafasi ila mi nimeogopa, huenda nae anataka anifunue tu chupi kisha asepe kwaio nimemuweka pending. Nikaja kumuuliza huyu mtu maarufu niliempenda kwa dhati msimamo wake majibu yake ni kwamba "ndio nilitaka kukuoa ila maisha yana changamoto na kwa sasa napitia wakati mgumu siwezi kukuelezea".

Nimejaribu kumsisitiza anipe msimamo wake kama pamoja na changamoto anazopitia kama amebadilisha mawazo au la, ili mi nifanye maamuzi, amekaa kimya. Nimemjulisha pia kwamba yupo anayetaka kuleta posa nyumbani kwaio anipe msimamo wake lakini jamaa bado hajibu, amekaa kimya tuu. Nimemtafuta sanaaa... jamaa response yake kwa kweli ni zero. Namuandikia msgs kwenye whatsapp, naona anasoma lakini hajibu. Nampigia simu hapokei..

Hitimisho!
Jamani, mimi nampenda sana huyu jamaa... huyo mwengine sina kabisa hisia za kumpenda. Natongozwa kila ya leo lakini kila nikitongozwa namuwaza tu huyu mpenzi wangu maarufu. Nikipenda napenda kweli. Ningependa kuishi na mtu nnayempenda kwa dhati na sio tu kwasababu ya umri nikimbilie kuolewa na mtu nisiyempenda. Ndoa itanishinda. Kinachoniuma ni kwamba yeye hataki kuwa muwazi kwangu. Aniambie tu msimamo wake, mie nitaridhika na jibu lolote, hata ikiwa kumkosa kabisa mie nipo radhi. Nisaidieni nipo njia panda.

Asanteni na karibuni kwa michango.
Mbona msimamo wake uko wazi aseme kivipiii tena?
Action is Louderrr.
[emoji116] [emoji116]
Breaking someone heart honest is best ...
 
Mwaka jana alikuwa busy sana na kampeni kwa kuwa alihusika kwa ukaribu sana na mgombea wa urais wa chama kimojawapo.

HUYO ATAKUWA MSAGA SUMU.Tafuta maziwa Dada kashakunywesha sumu kasepa
 
Nimeipenda sana comment yako ulivyoiweka,

Eti hanijibu anakaa kimya tu, kama kusoma hujui( i mean namwuliza mtoa mada) angalia basi picha halisi.

hahahahhaha you made my day kwa kweli.

Hivi bado kuna wadada wenye akili mbofumbofu eeeee,

Never repeat the mistake you made at first, ulivyomchunia ungeendelea tu na mwanaume yeyote aliye serious kukuoa hawez omba game siku ya kwanza.

Just take note.

You guys naona mnamkubali sana mwenzenu na comment ya kiume. Nashukuru kwa comment yake pia kwa kuwa amenipa mtazamo kwa upande wa mwanaume.

Mie nasema hivii... I am not desperate at all! Iko wazi kabisa kwamba nilirudi kwake after 3 months or so. Tena kwa kuunganishwa na dadangu. Mwenyewe nisingeweza kufanya hivo cause sikumpenda on first sight. Fact ni kwamba kanitongoza yeye sio mimi. Angekuwa mume wa mtu hapo sawa. He wasn't. What if he was to break up with her? That was none of my concern. I took my chance. He said he wanted to marry me and not date! How would I know for sure kama sio kukubali kwanza?

Then again, sex is just human need. He needed it & I also happened to need it at the time we met. We all quenched our thirsts.
 
NANUKUU:: Mwaka juzi nikiwa msibani nilikutana na kijana mmoja maarufu mjini akanitongoza na kutaka nikalale naye siku hio hio mi kwa kujiheshimu nikampotezea. Kusema kweli jamaa yuko vizuri, sio tu maarufu ila mpunga anao pia...HAYA MAELEZO TU NI WAZI UMESHOBOKEA UMAARUFU NA PESA, Mwanamke anaejitambua angalau angesema ukimuona Mpole, Mtanashati ni mtu wa Mungu na hata familia yao ni watu wanaojiheshimu (Wewe umewehuka na Mpunga na umaarufu).

KITU CHA PILI, Si kweli kama jamaa alikutokea kwa adabu acha kujipa moyo Mwanaume ambae anakupenda kwa dhati, na kukuheshimu hasa hana haraka na papuchi, lakini kama ungekuwa unajitambua ile siku ya kwanza kuonana na kukuomba papuchi kuna grade alikuweka hakutaka kupoteza muda sabab hakuwa na malengo na wewe.

Kama ulidate na watu matajiri bado tunarudi pale pale wewe UNACHOANGALIA MSHIKO, Hao wengine wa 3 uliwaweka pending sabab ni decent na wana maisha yao ya kawaida, lakin Macho yako yanakutoka kwa watu wenye pesa, na watu design hizo hawana mpango ni wachezeaji wakishakuvua chupi basi visingizio tele, KIUFUPI HUYO MTU WAKO MAARUFU AMESHAKUVUA CHUPI KAMA ULIVYOVULIWA NA HAO MATAJIRI WENGINE, Kwahiyo na yeye muweke kwenye hesabu kama ni wa 68 au 69 ila hana mapenzi na wewe, na wala hamna ndoa hapo, tayari alishakueleza ana girlfriend wake, ni wazi anampenda yeye zaidi ndio maana alithubutu kukutamkia, ati unaangalia Chemisry kama unaangalia Chemistry.

Siku uloshawishiwa na dada zako na ndugu zako, mpaka dada akaamua kukuunganisha ni wazi mwanaume alikuwa ameshakupoteza, mwanaume anaependa kwa dhati hasa, baada ya kutopokea simu angeendelea kusumbua kwa simu, na hata msg, lakin ulipoacha kupokea na yeye akapotezea, mpaka ukashindwa jinsi ya kujirudisha baada ya kushawishiwa na mwanaume kwa vile alikuwa hana shida na wewe alikutamkia kuwa ana g.f. kwa makusudi ili ukate tamaa, lakini kwa vile umewehuka na pesa na umaarufu bado ukaenda mvulia chupi ukidhani una jipya utamuonyesha, MATOKEO YAKE Papuchi kala na kakata mawasiliano , katafute ubuyu ukune.
Sawa mama... Hayo ni maoni yako.
Asante!
 
Mwaka jana alikuwa busy sana na kampeni kwa kuwa alihusika kwa ukaribu sana na mgombea wa urais wa chama kimojawapo.

HUYO ATAKUWA MSAGA SUMU.Tafuta maziwa Dada kashakunywesha sumu kasepa
Una maana gani chifu? Tafadhali nieleweshe
 
Shabash!Kwa kichambo hiki mtoa mada ataelewa tuu hata kama ni kipofu wa mapenzi kiasi gani.
 
Mbona msimamo wake uko wazi aseme kivipiii tena?
Action is Louderrr.
[emoji116] [emoji116]
Breaking someone heart honest is best ...
Oh I see! But Karma's a bitch... He will never find true love. He will always come across women with greed for money and will tear him apart. Just like the one he's dealing with right now. Until he's done with her, he's a bit broke.
Najua mtasema ana pesa atapata wengine.... Ila kwa kujitia nuksi na huyu mwizi aliye nae, atawavagaa mianawake mijizi forever.
 
Hiyo ni intressant

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
http://s09.jamiiforums.com/mini/h96A/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
Mwaka jana alikuwa busy sana na kampeni kwa kuwa alihusika kwa ukaribu sana na mgombea wa urais wa chama kimojawapo.

HUYO ATAKUWA MSAGA SUMU.Tafuta maziwa Dada kashakunywesha sumu kasepa
Mi nakwambia mwanaume akikupenda hata awe bize kiasi gani atakutafuta tuu.Mi kuna mbunge alikuwa ananifuatilia kipindi cha kampeni alikuwa ananipigia simu kila siku I mean everyday hadi nikawa nazima sim coz naogopa wanasiasa mie.
Eti Msaga sumu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom