full stop no comment!Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??
Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.
The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.
Tumia akiri hata kama ulikimbia upande Wewe Ndo Wa kwanza sijui Wa Pili kuchangiaa huu Uzi..una quote lithread lolotee ipii kuwaumiza JF ma nini unalipa Wewe gharama za uendeshaji Wa kujaa manafasi....umenikeraa sana Na.woooooote weenye Tabia kama yako.Jibu tu basi itajulikana una jibu thread Iyo.Subiri kidogo, nakuja!
Acha ujingaaaa Na wewe...kwani ni wangapi humu wanaanzisha New Id's ili wakiongeaa laoo msiwasakame kwa kuwajuaaa kwa hiyoo unajidanganya mwenye New Id's ni mpyaaa humu...jamani unatia hurumaaa dudeLast Activity: Apr 13, 2016 at 4:10 PM
Joined: Monday
Messages: 2
Likes Received: 1
Trophy Points: 3
Gender: Female
Birthday: October 11
Hivi ulisema wewe ni msomaji mzuri wa JF?
Nimewazaaa nikaona nikama vile dimond akwambie nakupenda kuliko zari ahaaaaaa wakati unajua haiwezekani coz hata leo dogo akifulia anaenda kuchuma kwa zari. Mjanja yule ndo maana alimuimbia je utanipenda? Na kweli ataachwa chezea wa nigeria wewe!
Sasa diyaaa unasubiri nn pole sana kwa kupenda kupitiliza, ohh umesema ni maarufu? Sasa dia huoni hiyo sio type wako? Huoni huyo anafukuzia watoto wa wakubwa akiwemo binti wa mgombea alokuwa anampigia debe??
nisikilize kwa makini kamwe usifanye makosa haya from now.
1: usipende mwanaume hensam
2. Usipende mtu maarufu
3. Na kwa sasa usipende mtu unaemzidi umri,
4, huyo usiempenda nae achana nae coz umesema humpendi sasa huoni unampotezea mda kwa wanaompenda!?
Mwasho angalia mtu mwingine mapema iwezekanavyo tena leo hii futa no zake!
Pole kwa kukutia aibu mwanamke mwenzangu. Inawezekana hujawahi kupenda au tunatofautiana katika kudhibiti hisia. Hana haja ya kuniambia live kwamba hanipendi. Wenzake wawili wamekuwa wastaarabu mno kuniambia kwa lugha nzuri tu. Mfano "Endelea na mipango yako,mimi kwa sasa siko tayari", mwingine "Samahani kwa kukupotezea wakati, mimi siko tayari wewe endelea na maisha yako". Unaona wenzake wametumia ustaarabu tu, na wala mie haijanikera. Nimefurahi na namshukuru Mungu. Kama alikuwa wazi kuniambia kwamba ana girlfriend, anashindwaje kuwa wazi kuniambia kwamba hapa mpango na mimi? Nitamlazimisha? Itamgharimu nini akisema kwa mfano coz kama kunipotezea keshanipotezea. Anyways, nimekuelewa dadangu, binadamu tuko tofauti, labda yeye hio ndio style yake ya ku-break up.Dada umenitia Aibu sana mwanamkee mwenzio....ivi unataka aje akwambie Live hakupendi au Kuna la Zaidi..Mimi sikushauri uende kwa mtu usiyempenda kwani naye hutadumu naye..ila angalia umri my dear..sisi wadada ni kama maua huchanua Na kunyauka..ukinyaukaaaa biasharaa utakuwa imeishaa hapooo.Fumba Machoo nenda kwa huyoo Wa Pili walau for future kwa sababu the way you are going you will come to suicide yourself..ili tusikupotezee nenda kwa huyoo jamaa.....I'm telling you..Mi nimekusoma saana..Kuna Pepo mchafu Anakuwinda .Wanaume Na sisi wanawake ni vitu viwili..pia Usishindane Na muda.Take it!
Umri ni namba tuu. Siko desperate kiasi cha kuwa na mtu kisa umri. Nitangoja tu, aje nitakaeridhika nae hata kama sijampenda kwa dhati. Asante kwa mchango wakoPole Dada naon huyo jamaa alishapata chake katiweka maan angekuwa n nia na ww asingekaa kimy umri unaenda acha hyo siyo Riziki yako utawapoteza wote baada ya hapo hakun ataekufuata tena
Sikuwahi kutegemea kama nitashobokea mtu maarufu, haukuwa mpango wangu na kweli nilijizuia sana. Ila mapenzi yakija hayaangalii status, sura, rangi, kabila, umri wala nini. Don't judge me, u don't know me.acha shobo na watu maarufu utalia milele
Ni kweli lakini umeshasema zamani. Zama zinabadilika chief. Hizi ni zama tofauti. Nitaoa soon.. Kuolewa sio mpango tena. Ngoja nizichange kwanza. Nitapita na yule nnayemtaka na kummudu. Haina shidaaZamani mwanamke alikuwa akitafutiwa Mme na wazazi wake na ndoa zilikuwa zinadumu
Haikujalisha kama alimpenda au hakumpenda
Endelea kutafuta unayempenda kwa dhati mama, elimu inawadanganya sana wasichana,head is head, tail is tail
watu maarufu huwa hawaoi kabisa coz wanapendwa na wengi ila jipe moyoSikuwahi kutegemea kama nitashobokea mtu maarufu, haukuwa mpango wangu na kweli nilijizuia sana. Ila mapenzi yakija hayaangalii status, sura, rangi, kabila, umri wala nini. Don't judge me, u don't know me.
Ni kweli mkuu.. Kama nilivosema, sikutaka kuzama huko. Na ndio maana aliponitokea mwanzo nilimpotezea. Nimejitahidi kumkwepa kwa kweli. Ila, kila jambo linalotokea M/Mungu ana maana yake. Kwa kuwa sijui kwanini Mungu amenipitisha kwenye hili jaribu, namuachia. Yeye atanitoa kivyake. Asante mkuuwatu maarufu huwa hawaoi kabisa coz wanapendwa na wengi ila jipe moyo
Menopause ni kipindi cha lazima kwa mwanamke kupitia. Ila siwezi kujilazimisha kuwa na kidume kisa menopause inakuja. Kuna waliowahi kuolewa na mpaka sasa hawajajaaliwa watoto, kuna waliowahi kuzaa na mpaka sasa hawajajaaliwa waume. Kuna waliozaa na kuolewa, wamefiwa na watoto.Hata kama nimechelewa, kuna mayatima wengi tu wanaohitaji matunzo na upendo. Helooo! Mtoto ni Baraka.... Kuna ndugu namfahamu, amejaaliwa kupata mtoto akiwa na miaka 40+... kwa hiyo ndugu, usinitishe na habari hizo. Mungu ndio anapanga kila jambo kwa kila mtu.Menopause hiyo hapo kwenye kona unakaribia! Shikilia msimamo wako hivyohivyo huku ukimsubiria mwanaume maarufu maana umeshindwa kujua siyo kila mwanaume ni muoaji!!
All the best!Menopause ni kipindi cha lazima kwa mwanamke kupitia. Ila siwezi kujilazimisha kuwa na kidume kisa menopause inakuja. Kuna waliowahi kuolewa na mpaka sasa hawajajaaliwa watoto, kuna waliowahi kuzaa na mpaka sasa hawajajaaliwa waume. Kuna waliozaa na kuolewa, wamefiwa na watoto.Hata kama nimechelewa, kuna mayatima wengi tu wanaohitaji matunzo na upendo. Helooo! Mtoto ni Baraka.... Kuna ndugu namfahamu, amejaaliwa kupata mtoto akiwa na miaka 40+... kwa hiyo ndugu, usinitishe na habari hizo. Mungu ndio anapanga kila jambo kwa kila mtu.
Love doesn't ask why!!Thanks