Murete
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 246
- 102
- Thread starter
- #241
Nakubaliana na wewe dada.... Nimependa nisikopendeka. That was my fault and inaweza kukutokea hata wewe. This is life.Mi nakwambia mwanaume akikupenda hata awe bize kiasi gani atakutafuta tuu.Mi kuna mbunge alikuwa ananifuatilia kipindi cha kampeni alikuwa ananipigia simu kila siku I mean everyday hadi nikawa nazima sim coz naogopa wanasiasa mie.
Eti Msaga sumu [emoji23] [emoji23] [emoji23]