The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
daaah!!!!!
nazidi kugundua mengi kwenye mahusiano....!!!!
kosa ulilofanya dada ni kumpotezea mwanzoni halaf baadae ukajileta mwenyewe kwa tamaa za pesa!!!
yeye kafanya kukukomoa ili akufundishe dunia inaendaje..... siku nyingine usiseme umempenda mtu ambaye umepata ushawishi kwa dada zako!!!
by the way ni muda wa kutulia sio kuumiza kichwa maisha yenyewe hayaeleweki haya...!!!!