Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

sio kukuoa tu hata mahusiano hataki alitaka kukuonja tu, kamata hamsini zako
 
Kama unajua yote hayo hata usingekuja huku bidada. Nilidhani hata picha pia huoni. Achana na wote hao n endelea kufanya yako atakuja tu akufahaye
Nimekuja huku ili niseme moyo wangu utulie mkuu. Linitoke tu hili zigo & nipate kusikia ushauri wa wengine. Nashukuru yote nnayopata hapa yamenijengea sana ujasiri wa kumsahau. Peke yangu, nilishindwa. Ni kama aliniloga, sikuweza kabisa ku-move on. Nimekua wa kulia tu hadi saa ingine namlaumu Mungu. Ila nafarijika sana na ushauri wenu. Asante
 
Muda mwingine huna budi kutumia akili kwenye kufanya maamuzi na sio moyo.
 
Mkuu asante kwa mchango wako. Hayo ni maono yako na nnayahesimu. Ilaa, ucheap wangu uko wapi? Au labda ni kwa vile nilitafutiwa baadae na mtu wangu, dadangu? Coz mimi sikukumbuka hata kuchukua namba yake in the first place. Na hata nlipoipata sikuanza mimi kumtafuta. Je, ningemkubalia na kumpa shoo the same day aliyonitongoza ungeniitaje kwa mfano?
Mbona hunielewi sasa toka lini mwanaume anayekupenda kwa dhati akakuchukulia kwa mtazamo huo wa kukutongoza Leo na kukugonga km sio kaona you ar cheap, huku jipeleka mwenyewe baada ya kupewa story za kijinga na dada zako? Je alikuita au ulijileta mwenyewe? Je hujipeleki mwenyewe saiv? Mbaya zaid saiv ndo kbs kbs ur price ina enda zero, nkupa maneno magumu ili uwe nunda na utumie akili sio hisia mbona darasa mnatumia akili nn kina washinda hlf usiniambie unampenda coz una prove zaid ww ni cheap manake ntakuuliza mpenzi wa kwanza uliyempenda kwa dhati je upo nae umekufa alivyokuzingua Hizo tamthilia zenu hizo shauri zenu love is not blind.... Mi ni mwanaume nakuambia hivi utagongwa mpk ujue kusimamia thamani yako na kujua hs nn unataka ngumu kumeza lkn ndo tiba meza tiba hiyo mchumba angu [emoji15] [emoji15]
 
Naona umekomalia hilo mkuu. I'm not cheap. Ni vile hunijui ndio maana unanichukulia poa, but mimi sio cheap kama unavodhani. Huo ni mtazamo wako, wewe wasema.
 
Mbona hunielewi sasa toka lini mwanaume anayekupenda kwa dhati akakuchukulia kwa mtazamo huo wa kukutongoza Leo na kukugonga km sio kaona you ar cheap, huku jipeleka mwenyewe baada ya kupewa story za kijinga na dada zako? Je alikuita au ulijileta mwenyewe? Je hujipeleki mwenyewe saiv? Mbaya zaid saiv ndo kbs kbs ur price ina enda zero, nkupa maneno magumu ili uwe nunda na utumie akili sio hisia mbona darasa mnatumia akili nn kina washinda hlf usiniambie unampenda coz una prove zaid ww ni cheap manake ntakuuliza mpenzi wa kwanza uliyempenda kwa dhati je upo nae umekufa alivyokuzingua Hizo tamthilia zenu hizo shauri zenu love is not blind.... Mi ni mwanaume nakuambia hivi utagongwa mpk ujue kusimamia thamani yako na kujua hs nn unataka ngumu kumeza lkn ndo tiba meza tiba hiyo mchumba angu [emoji15] [emoji15]
Naona umekomalia hilo mkuu. I'm not cheap. Ni vile hunijui ndio maana unanichukulia poa, but mimi sio cheap kama unavodhani. Huo ni mtazamo wako, wewe wasema. Halafu kwa kukurekebisha tu. Yes, jamaa alinipigia mwenyewe mara kibaoo baada ya kunikosa siku ya kwanza. Nakumbuka vizuri hio siku alipiga simu sanaa. Ila mie sikupokea. Alikuja kutafutwa baada ya miezi 3, tena si mimi nilimtafuta. Ni dadangu. Appointment alipanga yeye, sio mimi niliforce. Najielewa, najiheshimu sana asee. Huo ucheap unauona wewe tu kwenye screen. Maarufu hata siku ya kwanza kunitongoza ilibidi amtumie sista, kunisinesha mwenyewe alishindwa. Usinichukulie poa kaa mwajuma ndala 3. Hunijui, eboh!

Kakutongoza na kuomba game on the very same day. Umejirudisha kwake, akakuambia ana girlfriend, bado ukakubali. Kashakula tunda, sasa anakupotezea. Ishara zote hizo ina maana huzioni tu dada??

Take it from a man; desperate women(excuse my patois) are a turn off. You proved desperate ulipojirudisha kwake, baada ya kuweka ngumu mwanzo. You proved more desperate alivyokuambia ana girlfriend, na ukakubali. You're proving the most desperate anavyoku-ignore, na bado unamfata tu.

The fool is rich, and famous as you say. He got babes throwing apple pies at him from all angles. Not to be offensive, but you're one of them to him.
Hii thread ilitakiwa iishie hapa baada ya comment hii.
 
Oh and another piece of advice...usi panick sana mdada. Take the pill meza na maji move on. Uliomba ushauri na hukusema kama unataka kubembelezwa

We all know each other through what we write hivyo sijaona sababu ya kujibu kwa hasira sana, maandishi yako yameonesha uko cheap...ama kwa maneno matamu uko desperate.
 
Ok...
 
R

raw but I couldn't have said it better!
 
Oh and another piece of advice...usi panick sana mdada. Take the pill meza na maji move on. Uliomba ushauri na hukusema kama unataka kubembelezwa

We all know each other through what we write hivyo sijaona sababu ya kujibu kwa hasira sana, maandishi yako yameonesha uko cheap...ama kwa maneno matamu uko desperate.
Ok... Siwakatazi kuona muonavyo, ila nimeomba tokea mwanzo msinihukumu. I'm not desparate at all. I just fell in love with a wrong guy.

Back
Top Bottom