Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 4,658
- 4,160
Ashik Majinun!
Gombea hata udiwani basi tuone userious wakokiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious
Cybercrime kumbe wewe ni Baba 0 unaona nani kakurupuka ile mijadala ya Bungeni ndiyo uhalisia wa hili jambo
wewe unafikiri Raisi anaweza kuongea lolote haraka hivyo wakati yeye mwenyewe kala?
Kwanza elewa kwa nini Pinda alikaa kimya anajua hili swala zima Raisi Kachota naye hivyo hana uwezo wa kumwajibisha
yeyote yule kati ya hao Mawaziri waliotajwa ataendelea kujifanya siyo swala la msingi na kujifanya yuko busy na mengine
angalia post zako za kujipendekeza.
Mitoto ilopatikana kwa uzinzi utaijua tu, adabu zero! Nahic ni ugumu wa maisha unaokukabili ndo unaokuchanganya hata usijue kuwa what you are doing is wrongkiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious
Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.
Chikaka Muhongo ameshatahadharisha kuwa akiguswa nchi itatetemeka unajua maana yake ATAMTAJA RAIS na mgao aliobeba subiri!!
Hoja ya msingi, umesoma magazeti ya leo kuhusu tamko la ikulu?
IKULU:TUPO TAYARI
SIKU chache baada ya Bunge kuhitimisha mjadala wa uchotwaji wa zaidi ya Sh bilioni 300 kwenye akaunti ya Tegeta Escrow na kupitisha maazimio nane ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha watendaji na wanasiasa waliohusika, Ikulu imesema itayafanyia kazi maazimio hayo kwa uzito mkubwa.
Hayo yalisemwa jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, alipozungumza na MTANZANIA juu ya hatua iliyofikiwa katika kutekeleza maazimio yaliyofikiwa na Bunge.
Balozi Sefue alisema hadi sasa ofisi yake ilikuwa haijayapokea maazimio hayo rasmi.
Source:kama uonavyo,gazeti la mtanzania Dec.2
uzuri wa jk yakuambiwa lazima achanganye na zake hakurupuki hata kidogo acha afanye kazi yake kwa umakini kama anavyofanya siku zote.
Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.
Kwanza nichukue nafasi kukushukuru kuleta hii mada,kwani ni leo hii nimeona kwenye citizen TV rais Kenyata na Ruto wakiongea na wananchi juu ya mauaji ya watu 36,ndipo nikajiuliza sisi rais wetu ana nini hasa mbona hana utamaduni wa kutoa mwelekeo na masuluhisho kwenye mambo muhimu yanayoliguasa taifa,kwa kweli mh tunasikitika sana tumekuwa kama kondoo wasio na Mchungaji!Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.
Kwanza nichukue nafasi kukushukuru kuleta hii mada,kwani ni leo hii nimeona kwenye citizen TV rais Kenyata na Ruto wakiongea na wananchi juu ya mauaji ya watu 36,ndipo nikajiuliza sisi rais wetu ana nini hasa mbona hana utamaduni wa kutoa mwelekeo na masuluhisho kwenye mambo muhimu yanayoliguasa taifa,kwa kweli mh tunasikitika sana tumekuwa kama kondoo wasio na Mchungaji!
Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.
Unataka Rais awe na papara kama za Wabunge ambao sasa wanajutia maamuzi yao ya kutumiwa kuwanyanyasa mawaziri? JK siyo wa hivyo
1.hamumuelewi wewe na nni? Usitusemee, wengine tunamuelewa, au wewe ni msemaji wa watz? Kama ndio, tangu lini?
2. Acha kihere here, soma magazeti ya leo kama shida yako ni tamko la ikulu
3.rais hafanyi mambo kwa kukurupuka