Unamchagulia rais la kuanza nalo?
yaani anaona ni fahari kuzungumzia scrotums zake kuliko mambo ya kitaifa
IKULU:TUPO TAYARINi jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.
kiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious
Dar es Salaam. The US Congress has approved an allocation of $9.78 million (Sh16.14 billion) to help Tanzania lay the groundwork for the much anticipated Millennium Challenge Corporation (MCC) funding.
The October 28 approval means the government was in good stead to finally get the critical funding for MCC compact whose amount in project support is estimated at $700 million (Sh1.15 trillion).
This development would come as a big relief to the government whose image and reputation recently took a severe knock thanks to the Tegeta escrow account scandal. The Parliament approved a resolution at the weekend requiring the President to sack three ministers, the Attorney General and other top bureaucrats in the ministry of Energy and Minerals over the scandal in which up to Sh306 billion in tax-payers' money could be lost in a fraudulent conspiracy between government officials and private businessmen.
Read more: US Congress approves MCC funding
Mkuu umeandika kwa busara sana.
Kuna watu wanajifanya wao ndio wasemaji wa watanzania.
Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.
Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)
Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?
Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi
Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?
MH rais hatukuelewi na hueleweki.
Wewe unapiga mayowe tu, Bunge lina mamlaka ya kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais, angekuwa anahusika hakuna aliyekuwa anawazuia.
Chikaka Muhongo ameshatahadharisha kuwa akiguswa nchi itatetemeka unajua maana yake ATAMTAJA RAIS na mgao aliobeba subiri!!yaani anaona ni fahari kuzungumzia scrotums zake kuliko mambo ya kitaifa
Hivi neno upeo lina maana nyingine eti!!? Upeo wa kukimbia kujificha nje kuficha aibu ya wizi alioshiriki? Eti anarudi na kuzungumzia afya ya P$%%bu zake!! jamani huo ndio upeo. Kumbe aliagiza mahela yachotwe!! kweli upeo!! you can not be serious!!kama akili zako ziko likizo huwezi kumwelewa hata kidogo jk ni mwanasiasa mwenye upeo wa hali ya juu hawezi kuamua mambo kwa kufuata upepo mpaka athibitishe pasipo shaka kuwa waliotuhumiwa wanahusika lakini siyo chuki kama za kundi la zitto na mchaga wake mengi kwa muhongo.