G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,788
- 1,966
Ikulu kuna walakani pale.
nahisi safari hii jk atafanya maamuzi magumu. Ukizingatia muda wake ndo huooo unaisha. Tunakuomba rais simamia maslai ya tanzania yetu"
Ikulu kuna walakani pale.
yaani anaona ni fahari kuzungumzia scrotums zake kuliko mambo ya kitaifa
kiichobezwa ni nini?? kwani si kweli alizungumzia scrotums.
JK has never and will never be serious
Kama unapenda mambo ya kitaifa, automatically ungemheshimu na Rais , usingebeza masuala ya ugonjwa wake!
uamuzi aliochukua wa haraka ni kumwachisha CAG kazi. Hii inatoa picha kwamba hajapendezwa na taarifa na utendaji wake, hii inauma sana kaz yake kujichekesha tu kama ma---a jaman tuwe makini 2015 watu kama kina pinda, membe sio wa kupewa nchi kabisa
Kama unapenda mambo ya kitaifa, automatically ungemheshimu na Rais , usingebeza masuala ya ugonjwa wake!
Gombea hata udiwani basi tuone userious wako
Uharo!!!!Mkuu umeandika kwa busara sana.
Kuna watu wanajifanya wao ndio wasemaji wa watanzania.
Ndio nini hii CIG?CIG mpya yuko kwenye mapendekezo ya BUNGE???