Ukimya wa rais unatia shaka

Ukimya wa rais unatia shaka

Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.

Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)


Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?

Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi

Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?

MH rais hatukuelewi na hueleweki
.

Mkuu pole kwa kutokuja kuwa TZ hatuna Raisi bali mr Dhaifu!! Huyu ndo unataka achukue hatua gani. Nakushauri waelimishe wanaokuzunguka ili waone haya mambo na wafanye maamuzi kwenye box la kura!!!!!!
 
Mkuu pole kwa kutokuja kuwa TZ hatuna Raisi bali mr Dhaifu!! Huyu ndo unataka achukue hatua gani. Nakushauri waelimishe wanaokuzunguka ili waone haya mambo na wafanye maamuzi kwenye box la kura!!!!!![/QUOTE]

swala la msingi sana hapo kwa red
 
Back
Top Bottom