Kweli mzee Mwinyi katimiza lengo lake la kumrithisha mwanae nchi, sasa iliyobaki ni kumuomba Mola kwa sala tano!!Na atakaa kimya sana, karidhika mno, nyumba mpya yajengwa, mtoto kawa rais na makamu rais wa muungano, mwenyezi mungu akupe nini tena duniani???!!!