Ukimya wa Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi

Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je, kuna lolote linalomsibu?
Kwenu Burundi ndiyo utaratibu unakuwaga hivyo?
 
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je, kuna lolote linalomsibu?
Lockdown sababu anaogopa nimonia kali
 
Yani Mataga wazee wakiongea wanawasha,wakikaa kimya wanataka taarifa zao?

Nawdaz JamiiForums imekuwa kama Facebook yani anaandika post kama anamsongo wa mawazo.
Atafanyaje wakati siku hizi chakubanga kaja na masharti kibao kwa MATAGA hupati posho ya buku 7 hadi upande thread 10 kwa siku
 
Huna akili we mmakonde wa msumbiji.
Hiyo ndiyo kazi unayo iweza
JamiiForums1992601550.jpg
 
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je, kuna lolote linalomsibu?
Kwetu Usukumani tuna msemo, mtu umri ukiwa mkubwa sana, anarudi utotoni.
 
Vijana msiotaka kuvaa barakoa mnataka mumubukize sio? Na hamumpati ng'o
 
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake.

Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi kuona Marais Wastaafu wakiwa pamoja. Safari anaonekana mara kwa mara Jakaya Kikwete.

Je, kuna lolote linalomsibu?
nenda kwake msasani utamkuta
 
Watoto wengine wawili Wabunge wa Bunge la Muungamo

Wengine wafanyabishara wakubwa sana bara na visiwani na wanapata kandarasi kubwa kubwa tu za kuhudumia Nchi
Na atakaa kimya sana, karidhika mno, nyumba mpya yajengwa, mtoto kawa rais na makamu rais wa muungano, mwenyezi mungu akupe nini tena duniani???!!!
 
Familia zote zenye exposure, Elimu,upendo na huruma wamefungia ndani Wazee wao kipindi hiki cha 'pepo chafu'
Mzee wetu yupo mkuranga anakula madafu na mihogo tu hana shida ya kukaa msasani
 
Back
Top Bottom